Propaganda chafu za Netanyahu kwa bara la Afrika

hivi Munich massacre 1972 walifanya Palestine kwa Jews mpaka leo ndugu zetu nyie mnaona Jambo ya kijasiri sana mkipigwa ooh mnalaumu si mlichezea sharubu wenyewe.....Isis kukimbia Israel ni propaganda mbona bado wako syria, Iraq,Libya? juzi tu watu wakalipua uwanja wa nyumbani bado mnamlaumu muisrael.....mlipuko wa Paris pia muizrael anahusika? wiki iliopita nilikuwa nacheck documentary moja AL Jazeera inaonyesha vijana wengi wa kiarabu kutoka North ya Africa wanaenda middle East kujoin ISIS sababu wanapigana Vita iliyoandikwa kwenye Quran sasa pia mmarekani na muizrael bado anahusika? amsha akili hiyo ndugu

hebu naomba soma tena nilichokiandika kwa sababu ni kama vile hukusoma au hukuelewa kabisa nilichoandika. umetoa majibu ambayo haya akisi nilichoandika. usione aibu kuuliza na usione aibu kujifunza kusoma na kuelewa kabla hujajibu. pole sana.
 
Mkuu suala la magaidi ni suala Tata SANA. Magaidi hawa wanapata wapi silaha, mafunzo na chakula? Tumeona ISIS iliweza shambulia mataifa manne KWA mpigo na ikawa in again grounds. Uwezo waliouonyesha watakuwa wanapatiwa msaada na mataifa makubwa kama ISRAEL, Marekani na au Uingereza. Magaidi wanapatiwa wapi vifaru mbona Palestine wanaotambulika hata UN hawapati? Kwanini ISIS walitangaza kiama kwa Palestine? Silaha na magari ya Israel waliokutwa nayo ISIS wa Syria waliyapataje? Kwanini Israel Mara kadhaa imeshambulia Syria but haijawahi rusha risasi KWA ISIS? Wakati Urusi inatembeza kichapo KWA nini baadhi ya Askari wa ISIS walikimbilia Israel?
Ugaidi unatengenezwa na mataifa haya halafu wanajitia kutusaidia.

Mkuu achananao hao, hawajui kinachojiri kule middle east! Wao wandelee kulima kuvuna,kula kulala baasi.Isis yenyewe wamekuja kuijua hapa JF, kazi kweli kweli hawa watu
 
Nawachukia sana wazungu, hakuna jema hata moja wanalofikiria dhudi ya ngozi nyeusi, popote pale penye vita zinazopelekea kufa watu wasio na hatia mhusika ni Mzungu, wanatuundia silaha wanatugonganisha vichwa wao wanauza silaha sisi tunamalizana, wanatengeneza magonjwa maabara wanayasambaza Africa watuuzie dawa, wanatupora rasilimali zetu za asili mfano madini, ges na mafuta kwa mikataba mibovu yenye shinikizo na vitisho au kwa bunduki wanatuletea vyandarua ambavyo hatujui madhara yake. Nawachukia kweli.

Kiongozi Maneno yako yanasikitisha muno, ukiangalia hata dawa ya ku-treat Aids ama ukimwi si kwamba they failed to make, laa hasha they can,, na lau huu ugonjwa ungetapakaa europe nadhani leo hii tungezungumza mengine, ila kwakuwa ni Africa ni sawa tu acha wafe, hawa wazungu kwakweli hawafai.
 
Nawachukia sana wazungu, hakuna jema hata moja wanalofikiria dhudi ya ngozi nyeusi, popote pale penye vita zinazopelekea kufa watu wasio na hatia mhusika ni Mzungu, wanatuundia silaha wanatugonganisha vichwa wao wanauza silaha sisi tunamalizana, wanatengeneza magonjwa maabara wanayasambaza Africa watuuzie dawa, wanatupora rasilimali zetu za asili mfano madini, ges na mafuta kwa mikataba mibovu yenye shinikizo na vitisho au kwa bunduki wanatuletea vyandarua ambavyo hatujui madhara yake. Nawachukia kweli.
Hizi thinking ndio zinafanya mtu mweusi unaonekana mwehu tuu, your ignorance is so deep hata pa kuanzia kukujibu sipaoni
 
Hata kwa ujinga tulio nao tunatafuta mtu wa kumtwisha lawama hivi ni kwanini nchi za ulaya zinawatumia vijana wa kiarabu ktk ugaidi na hasa waislamu?wakati dunia imejaa watu wa aina mbalimbali
 
Hilo ni kweli kabisa, ukiona kiongozi wa Kizungu anakuja Afrika ujue kuna sababu maalumu na kwa kuwa sisi tuna IQ ndogo Wazungu...

....Magufuli, hana mpango na hao takataka na wala kwanza hajaenda kwenye upuuzi wao!!
Sio Wazungu tu ndugu zangu.

Hata Mhindi yule juzi aliyekuja au Rais wa Vietnam all these slick willies hawakuaga kwao wanasema wanaenda Tanzania kutoa misaada jamani pleaaaase!

Ni wajanja, wanatafuta masoko na watu wa kuwa exploit tu! Israel wanatafuta ardhi ya kulima na pia UN allies, Vietnam wanatafuta masoko ya tech start up zao kama Halotel, India wanataka Tanzania iwe kama India, vi bajaji kila kona kama sisimizi, wanaudhi kinyama.

The prime minister of India does not tell the Indians "tomorrow I going to Tanzania to give them money and ability to start their own BAJAJ plant"! Watamrushia bomu la mkono wahindi wale njaa kama sisi tu! Tusiwaangukie kila wageni wanaokuja, wana yao, they have ulterior motives!!
 
Wazir mkuu wa israel benjamen netanyahu anafanya ziara Afrika.

Ziara hili anadai ni.kuimarisha uhusiano na bara la Africa.

Lakini duru za chinichini zinadai amekuja baada ya kuona israel imepoteza ushawishi katika nchi za ulaya na marekani.

hivyo bhas anatafutwa uungwaji mkono kutoka Afrika.

Lakini huyu ndo netanyahu yuleyule muuaji wa Wapalestina.

Adui wa waafrika anayechukia ngozi.nyeusi na pia mbaguzi.

Aliyetoa speech kwamba waafrika wanajua ngono tu, kuzaa tu, hawafikirii.maendeleo,
Kiongozi huyu atakumbukwa kwa jinsi alivyohutubia bunge la Israel Knesset kuwashawishi kupitisha sheria ya kuwafunga vizazi au kuwachoma sindano za sumu waafrika wote waishio israel bila huruma.

Je, kiongozi mbaguzi kama huyu kuna haja gani ya kujisogeza karibu naye?
Israel bado ni tegemezi haiwez kusurvive bila Marekani.

Naipongeza sana tanzania kwa kwa kutoa ushirikiano.mdogo sana kwa kiongozi huyu mpenda vita wa utawala hatari wa Israel.

Tena kusingekua na haja ya kumtuma hata waziri nchi zote zinapaswa kuvunja uhusiano na utawala huu haramu unaokalia ardhi za palestina kwa mabavu utawala unaoua wanawake na watoto wadogo wasio na hatia huko Gaza.
Ile speech ya Botha Rais wa Africa kusini kwa Baraza lake la mawaziri mwaka 1985,
Hayo maneno walimchomekea Netanyahu tu kipindi mapigano na Palestina yameibuka miaka kama mitatu au miwili ilopita, kwahyo si kweli kwamba Netanyahu alisema hayo maneno ni kama Trump anapozushiwa mara kadhaa kaongea maneno ya ubaguzi kwa waafrika hata kama hajayasema,
Mleta mada kama una uhakika na hiyo speech useme Netanyahu aliitoa lini na katika hadhara ipi.
 
Hilo ni kweli kabisa, ukiona kiongozi wa Kizungu anakuja Afrika ujue kuna sababu maalumu na kwa kuwa sisi tuna IQ ndogo Wazungu wanasema IQ ya Kusini mwa Sahara ni 70 wkt ile ya Dunia nje ya kwetu inaanzia 90 kuendelea (hii ni kulingana na hao Wazungu tunaowaabudu hivyo usinihukumu)!

Kilichomleta Netanyahu Afrika ndicho kile kile kilichomleta Kim wa Korea Kaskazini na ndicho kilichomleta Park wa Korea Kusini Afrika pia, hawa wote wanahitaji mtu wa kuwaunga mkono kwenye mambo yao huko UN, sasa kwa kuwa Dunia nje na Afrika watu wanajitambua sehemu pekee ya wao kupata kura za bure ni Afrika kwetu (Kusini mwa Sahara) hakuna kingine, wanazuga kuja na Wafanyabiashara lkn ajenda ndiyo hiyo wanataka kura za Afrika huko UN, sasa Israeli (hasa utawala wa Netanyahu) unabanwa na Dunia nzima kuhusu uonevu wanaowafanyia Wapalestina hata Ulaya wanasapoti Palestianian State mpaka Obama mwenyewe sasa wanahitaji (Isreali) mtu wa kuwasapoti huko UN ni nani huyo?



Ndiyo maana nampenda na kumkubali Raisi wangu Magufuli, hana mpango na hao takataka na wala kwanza hajaenda kwenye upuuzi wao!!

Long live raisi Magufuli!
Usiseme Magufuli hakwenda kwa sababu alituma mwakilishi, Dr Mahiga kwahyo ameenda, angepuuzia asingetuma mtu, mbona PM wa India kampokea Ikulu, hao unaowaita takataka ndio tunawategemea kwa kila kitu, isingekuwa wao pengine usingepata kifaa na Internet ya kukomenti hayo maneno humu,
Tujitegemee kwanza ndio tuwabeze.
 
Mwenyezi Mungu anahukumu hapa hapa duniani nyatanyao amkumbuke mwenzake Mwenyezi Mungu kamzalilisha hapa duniani kwa ukatili wake aliouonyesha .alilazwa hospitali kwa miaka minane alikuwa hajitambui .hizo ni baadhi tu za hukumu za Allah hapa hapa duniani

Umri ulifika....ndo maana bado wanawashikisha adabu waarabu.
God bless Israel.
 
hao unaowaita takataka ndio tunawategemea kwa kila kitu, isingekuwa wao pengine usingepata kifaa na Internet ya kukomenti hayo maneno humu,
Tujitegemee kwanza ndio tuwabeze.
Kwa hiyo Israel ndio wamegundua internet ninayotumia hapa?
 
Mkuu asikuumize kichwa huyo mkaukie tu, ktk watu wanaowachukia waarabu na uisilamu kwa ujumla.. mmoja wao huyo "echolima"

ImageUploadedByJamiiForums1468989824.290977.jpg
 
Mkuu suala la magaidi ni suala Tata SANA. Magaidi hawa wanapata wapi silaha, mafunzo na chakula? Tumeona ISIS iliweza shambulia mataifa manne KWA mpigo na ikawa in again grounds. Uwezo waliouonyesha watakuwa wanapatiwa msaada na mataifa makubwa kama ISRAEL, Marekani na au Uingereza. Magaidi wanapatiwa wapi vifaru mbona Palestine wanaotambulika hata UN hawapati? Kwanini ISIS walitangaza kiama kwa Palestine? Silaha na magari ya Israel waliokutwa nayo ISIS wa Syria waliyapataje? Kwanini Israel Mara kadhaa imeshambulia Syria but haijawahi rusha risasi KWA ISIS? Wakati Urusi inatembeza kichapo KWA nini baadhi ya Askari wa ISIS walikimbilia Israel?
Ugaidi unatengenezwa na mataifa haya halafu wanajitia kutusaidia.

Kwani waarabu wana akili sasa... saa hiz wanauwana wenyewe kwa wenyewe(wanapunguzana).
Kichwa ndio mtu
 
Back
Top Bottom