Promotion Ya Zain TBC

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,713
12,063
Kila saa 3 usiku TBC wanaonyesha kipindi cha promotion ya zain.
Kinachoniwewesesha ni yule mtangazaji wa kike "Doreen", ivi yale matt ni ya mchina au???

kwanini anayaachia vile tena makusudi kwa kuyabana yapande juu?
kwa haraka haraka unaweza ukadhani ni makalio.
Ivi kwanini asivae tshirt za zain kama wale wadada wanaochezesha droo???

Ile mitindo anayovyaa mbona inadhalilisha???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom