Promote your school for free with schoolbook

Schoolbook

Member
Aug 31, 2011
27
5
TAFUTA SHULE BORA KWA AJIRI YA MWANAO na TANGAZA SHULE YAKO BURE!
Tembelea Schoolbook Classic | Homepage or pofya hapa
Wakati wazazi wengi wanapoingiwa na wasiwasi ni vipi watoto wao watapata elimu bora ya kukidhi maisha yao. Swala linakuja ni shule gani nzuri yenye maadili mazuri kwa mwanangu au wanangu?. Basi tumekuletea mtandao wakijamii katika maswala mazima ya elimu, mtandao huu unakupa fulsa wewe mzazi au mlezi kupata kuzitambua shule mbalimbali na wasifu wake katika swala zima la elimu. Popote ilipo na popote ulipo utapata kuzijua shule na kufanya maamuzi yaliyona manufaa kwa watoto wako. Na hatakama wewe ni mmiliki wa shule utapata pia nafasi ya kutangaza shule yako iliijulikane kitaifa na kimataifa, na kupata wanafunzi wengi zaidi. Tembelea schoolbook leo ufurahiye matunda ya ICT mikononimwako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom