Projector sony inauzwa

ndugu bei ni kitumuhimu, naweza nkakpigia nkajikuta bei unayonitajia hata nusu yake sifikii, sasa si utakuwa umeniaribia vocha zangu bure.
 
ndugu bei ni kitumuhimu, naweza nkakpigia nkajikuta bei unayonitajia hata nusu yake sifikii, sasa si utakuwa umeniaribia vocha zangu bure.

hili jukwaa sio la udaku,huna hata hela ya vocha projector utanunua kweli.? Sisi tuna make money through this blogs wewe unafanya masihara.shauri lako.
 
Halaf ndugu yangu hata mbuz kwenye gunia anauzito wake,weka bei we ndugu.... Aaargh unakera mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom