Project ya chuo / Chuo

skydmx

JF-Expert Member
Jun 3, 2010
229
96
Wakuu natumaini salama / Amani ya mola iwe nanyi.
naomba msaada nataka kutengeneza project ya chuo webiste ya kuuza mambo ya sport.
naomba kujua program language itakayo kua easy kuitumia japo kua wengi wamenishauri PHP au Dream weaver na nitumie MY SQL.

PhP/Dreamweaver nimeisha install naomba kujua utumiaji wake japo kua html language ninajua pia naomba kujua utumiaji wa my SQL na umuhimu wake hasa kuhusu database.

asanteni
 
Una programming experience yoyote?
Unajua simple datastructures? (arrays, linkedlist, hashmap, graphs)?? Moja kati ya hizi
Uko confident na html/css skills zako?
Unaijua Javascript? How deep?

Nijibu kwanza hayo maswali ili nijue kama hiyo project unayotaka kufanya kama utaiweza au la.
 
Samahan , ila kwa jinsi ulivyojieleza tu , Imeonyesha ni jinsi gan uko shalow ,

Ningekushauri kwa sasa weka idea pemben , then start learning everything kama HTML , CSS , Javascript , then baadae ndo uanze kusoma server side languages kama PHP na MYSQL & ways to use to interact hizo technology , , na kwa kifupi tu hakuna language inaitwa Dream Weaver instead ni IDE ( Integrated Development Environment ) .
 
nawashukuru wakuu / nipo vizuri kuhusu html /javascript/CSS/Array

nilikua nakusudia Adobe dreamweave C6 na idea kidogo kususu php,,,

nipeni ushauri
 
Unazid kuharib, Array ni nin kaka..?
nawashukuru wakuu / nipo vizuri kuhusu html /javascript/CSS/Array

nilikua nakusudia Adobe dreamweave C6 na idea kidogo kususu php,,,

nipeni ushauri
Unazid kuharib, Array ni nin..?

Bro fata ushauri, kasome kwanza. Trust me baada ya miezi 3 ukishapa uelewa kidogo rudi uje kucheki post yako, nakuhakikishia utatamani kuifuta
 
skydmx Nakushauri tafuta project ambayo utaweza, kwa muonekano wangu hii project hutoiweza kabisa.
Sio an underestimate, ni fact, Hujui programming, kutengeneza even a simple shopping site ni ndoto, JavaScript kujua (document.getElementById("")) sio kujua JavaScript, nimekuuliza how deep naona hukujibu, umejibu juu juu tu. Pia kujua HTML/CSS sio kujua programming, HTML sio programming language, ni mark-up language tu, na ndugu yake css humsaidia kupanga vitu kwenye page, haina part hata moja ya kuitambulisha kama programming language.

Sasa anza ku-brush up your skills, kama wengine wamesema uanze na PhP na wewe unahisi ni sawa basi anza nayo, sitokwambia uanze na programming language ipi maana naweza kupa choice ambayo itakua ngumu zaidi kwako. Utamaliza pitia tena vizuri HTML/CSS & JavaScript, fanya mazoezi ya kutosha kwa kutengeneza vi-site static kwanza uzoee syntax na some simple techniques, then hamia kusoma SQL Syntax, then uanze kufanya mazoezi kutengeneza dynamic websites unafetch data from the servers na kuziserve kwa client.
Hii site njoo utengeneze baada ya miezi kama 6 hivi, na hata baada ya hiyo miezi 6 utatengeneza a very basic website.

All the best mtanzania.
 
Mkuu Roby ndio nipo Masomoni nataka kufanya website ndogo kama project / Array ni function ya store variable /value .....na hizo DW na PHP Ni program language...
Kama ndio mmekwama basi nitaishia hapa na post hii.

Thanks
 
Mbona unaongea vitu ambavyo avi releate aisee, DW ni editor na sio language, PHP ni language. Ingia youtube utafute kitu unachotaka kujifunza uwaze kufwatilie. Start small, hiyo project uwez fanya kwa maelezo yako. Project sio kitu kirahisi kama uwez kutofautisha editor na language
 
Null Pointer / divisible nawashukuru kwa ushauri wenu....haina shida acha nianze na hivyo then tutaonana after six month.
All the best
 
upo mwaka wa ngapi mwana, na chuo gani hicho?
Dreamweaver sio programming language, hiyo ni programming environment ambayo kwa kiasi fulani ni graphical user interface (GUI) ndio maana wadau wengi wanapenda itumia hasa kwa html coding, kama unavyotumia notepad kwenye html ndivyo hivyo hivyo utakavyoitumia dreamweaver, tofauti ni kwamba dreamweaver ni GUI.

Pia unavyocode sql na php hakuna tofauti kubwa ya kutumia dreamweaver na noepad, sababu picha halisi ya kazi yako utaaipata baada ya kuirun kwenye server, sema tu n dreamweaver syntax zote zipo pre installed, hivyo kukupunguzia muda kwenye kutype, yan ukianza kutype tu options za syntax zako zitajileta zenyewe na kama una kosa umelifaya kimaandishi (grammar) itakutonya mapema.

Unanikumbusha nilivyoangaka kuwasha LED kwa PLC miezi na miezi huku vifaa vyote vinavyoitakija ninavyo. Tafuta mtu akupige blah bla siku tatu tu zitakupa mwanga wa nini cha kufanya. Wenzako tuliangaika sana nzi hizo internet gharama, yani kufundishwa kuinstall phpMyAdmin nilimlipa jamaa 25k dakika 5tu kamaliza nikasepa zangu.
 
Naona kama hujui unachoandika..... Kwani wewe umejifunza languages gani?
Unajua language gani hasa inatumika kutengeneza website?
 
Asante sana , nami nimeona hio DW easy kama ulivyo sema inakupa code ready,
mkuu nipo hii college:
Ajman University of Science and Technology
united arab emirates.
ni mwaka wa 2 na nusu sasa...na kama usemavyo kuanza mambo haya yanataka juhudi na upate mtu close nawe akupe maunjanja / ndio maana nami nikalete kwenu wana ndugu ili mnisaidie.
nawashukuru sana wote from top to bottom.

K,Regards
skydmx
 
Naona kama hujui unachoandika..... Kwani wewe umejifunza languages gani?
Unajua language gani hasa inatumika kutengeneza website?

nifundishe dada mpendwa, wote tupo masomoni / elimu Bahari!
 
Dream Weaver mmmh .......unasoma chuo gani mkuuu labda niufundishaj tu
Samahan , ila kwa jinsi ulivyojieleza tu , Imeonyesha ni jinsi gan uko shalow ,

Ningekushauri kwa sasa weka idea pemben , then start learning everything kama HTML , CSS , Javascript , then baadae ndo uanze kusoma server side languages kama PHP na MYSQL & ways to use to interact hizo technology , , na kwa kifupi tu hakuna language inaitwa Dream Weaver instead ni IDE ( Integrated Development Environment ) .
 
Dream Weaver mmmh .......unasoma chuo gani mkuuu labda niufundishaj tu
Dreamweaver .. au sijakuelwa unamaanisha nin .. ?

what does dreamweaver au iyo post uliyoni qoute has to do with chuo nachosoma/nlichosoma .?
 
Wakuu natumaini salama / Amani ya mola iwe nanyi.
naomba msaada nataka kutengeneza project ya chuo webiste ya kuuza mambo ya sport.
naomba kujua program language itakayo kua easy kuitumia japo kua wengi wamenishauri PHP au Dream weaver na nitumie MY SQL.

PhP/Dreamweaver nimeisha install naomba kujua utumiaji wake japo kua html language ninajua pia naomba kujua utumiaji wa my SQL na umuhimu wake hasa kuhusu database.

asanteni
ushaferi project kwanza hakuna language inayoitwa dreamweaver pili inaonekana ulikuwa ukai darasani tatu tumia php+html na mysql db(database)
 
Back
Top Bottom