Ni page 40 hivi. Naendelea kuzishape zaidi... NtakuPM
NimekuPM check your mail
Hebu mPM Mkuu Malila........atakupa malezo mazuri (experience ya vitu kama hivyo), kwani ni mjasiriamali mkubwa sana tu...........ngojanimtafute aje hapa amwage shule.......
Ni mradi mzuri, je unaweza kuweka hapa hiyo business plan yako.....au waweza kuniPM ili kujua twaweza kujoin vipi nguvu..........
It's a good project if funded.
Myself I have a plan to invest in social work. Proposal is ready seeking for fund.
I prefer to start it in Dodoma,the fast growing town.
Ninafarijika sana kusikia watanzania wenzangu una miradi ya kufanya ila tatizo ni fund;nitajaribu ku-check na baadhi ya venture capitalists fulanifulani halafu nione tunaendaje mbele katika kusukuma gurudumu la maendeleo.
Nitaunga nanyi nitakapofanikisha hilo.

Point taken sir!
NimekuPM check your mail
Mawazo yangu ni haya, tusisubiri kufadhiliwa/being funded, wanatakiwa wafadhili/benki itukute tayari hatua ya kwanza nimetoka/tumetoka tunatafuta ya pili.
Mimi nilipoanza mradi wangu mmoja,ilibidi hata kijiweni nipunguze trip,yaani niliingia chimbo. Naamini unanipata.
Nilifikiria kuanza na small scale lakini nikaona technology iliyopo sokoni kwa sasa haina mitambo midogo sana ya kuzalisha na iliyopo ina zalisha 1ton/hour ambayo ni almost 4 tons of cassava/potato u can imagine kama unaweza kufeed factory mwenyewe
Jamani....hata mimi ni mjasiriamali katika fani ya kilimo....kwa sasa nina projevcts mbili za mpunga na vitunguu....proposals zake zimetulia na ni bankable....lakini tatizo kama kawaida ni security...hivyo kama kuna mdau tunaweza kuunganisha nguvu..hasa ktk suala la kutafuta fund sources na mengineyo......anakaribishwa.....nitashukuru
zamani

WanaJF mwenye mchango zaidi naomba asaidie kupanua mawazo yangu na wenzangu wanaojaribu kujiinua na hatimaye kuinua uchumi wetu jamani!
Nashukuru kwa wote ambao tayari wamechangia na wengine tumewasiliana zaidi na kushauriana.
Ninahusika kwa karibu na mradi wa C:AVA unaofadhiriwa na USAID na kutekelezwa kwa ushirikiano kati ya CPE-UDSM na Greenwich University. Lengo lake ni ku-diversify na kupromote cassava in Africa. Kwa hapa Tanzania tayari kazi inaenda vizuri na viongozi wa kisiasa kukubali kupeleka mswada wa kutaka kila confectionery iwe na angalau 20% ya unga wa muogo ili kupanua soko la ndani.
Kwa ufupi, naomba tuwasiliane Mkuu