Programmerz help me

Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,934
1,043
jamani mimi ni mwanafunzi wa udom (bsc.mathematics) nataka kufanya field bank katika idara ya programming
kwahiyo naomba msaada wa kimawazo ni programming language ipi ambayo bank hupenda kutumii ili nianze kujinoa nayo
nawasilisha
 
Back
Top Bottom