Programme alert:16th-october-2010

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
UKWELI NI KWAMBA,kutakuwa na very very very hot and serious programme

JS KOKOTE ULIKO JIPANGE SAWASAWA,nadhani unajua nina maana gani

WAPWAAZ,mabinamu,marafiki na wote wenye mapenzi mema anzeni kushona suti maanake this time patachimbika kweli kweli!

MCHAKATO UMEANZA KUCHAKATUKA!hakika kumekucha na makucha yake.hongera sana ''BWANA-HARUSI'' wa mwaka 2000.

UPDATE NUMBER ONE :14/10/2010:HABARI NI KWAMBA ONE OF OUR BEST FRIEND IN THIS CLAN WILL BE CELEBRATING HIS JUBILEI OF TEN(10) YEARS OF HIS MARRIAGE.................
 
Nini tena?
Leo naona umeamua kuja na mambo mapya. Lakini nimekugongea kale kakitu ketu.
 
Nini tena?
Leo naona umeamua kuja na mambo mapya. Lakini nimekugongea kale kakitu ketu.

LEO NIPO KIKAZI MKUU!......
jf mpya
mambo mapya
wapwaaz wapya
wapwaaz chipolopolo wamepotea kwenye ramani
 
Hehehehe!
From Makambako to Mapinga with Love!
Long live JF.
Long Live Valuu.
Long live Tuk tuk!
 
Binamu hizi suti za nini jamani ?? tupe full info bwana sio robo nusu...nimekuwa vere enterest why?
Hii habari njema
 
Niko Geoff niko niko kaka yangu mpendwa ila sijajua napaswa kujipanga wa lipi............ninong'oneze basi binamu
 
October I c... hivi ni? :eek: ... si useme Geoff
Anaogopa akisema ataharibu uhondo.
Huyu mpwa ni muzee ya masapraizi.
Ntamtonya anidokeze tukiwa kaunta. Nikija na mahangover yangu nawamwagieni mapointi!
 
Niko Geoff niko niko kaka yangu mpendwa ila sijajua napaswa kujipanga wa lipi............ninong'oneze basi binamu

hehehe!
jipange mama JIPANGE!
infact akaunt yako itaanza kumwagiwa maji sasa hiivi....
 
Binamu hizi suti za nini jamani ?? tupe full info bwana sio robo nusu...nimekuwa vere enterest why?
Hii habari njema

usiwaze sana binamu!
natarajia kuja huko so soon
infact wale fish dah!
enewei.......
kabla sijaendelea PLEDGE YAKO TAFADHALI!kwa ajili ya project 16/10/2010
 
LEO NIPO KIKAZI MKUU!......
jf mpya
mambo mapya
wapwaaz wapya
wapwaaz chipolopolo wamepotea kwenye ramani

hahaaa mpwaz nimenusa kitu hapa
wapwaz n binamuz orijoz......wapi Kaizer muzee ya red kapeti??

Naomba niwe kaimu wa JS mimi nayeye tutafanya kazi vizuri sana (historia inaonesha)
 
hahaaa mpwaz nimenusa kitu hapa
wapwaz n binamuz orijoz......wapi Kaizer muzee ya red kapeti??

Naomba niwe kaimu wa JS mimi nayeye tutafanya kazi vizuri sana (historia inaonesha)
hehehehe!
kabla hujajua kunani kunako 16/10/2010.....!unadhani bajeti ya sh ngapi itafanikisha tukio?...halafu kumkaimu js hiyo ni GIVEN

hahaa Biggy, sounds kinda even now eti???
sasa naweza kuwatrace
network ilipotea, kept on searching over n over!!!
.....
 
hehehehe!
kabla hujajua kunani kunako 16/10/2010.....!unadhani bajeti ya sh ngapi itafanikisha tukio?...halafu kumkaimu js hiyo ni GIVEN

.....
mpwaz hapo tu.......ndo hujaelewa au umeingia ndani zaidi??

bajeti mpwaz nipe mda kidogo niongee na mkuu wangu wa kitengo muhishimiwa JS!!
 
mpwaz hapo tu.......ndo hujaelewa au umeingia ndani zaidi??

bajeti mpwaz nipe mda kidogo niongee na mkuu wangu wa kitengo muhishimiwa JS!!
mpwaaz hapo ni kiashiria cha mtu anaesoma katikati y a mistari na anakonekti dots
sasa fanyeni bajeti haraka haraka kabla hamjajua kuna tukio gani,ili watu waanze kuchanga kabla hawajajua kunanini
 
mpwaaz hapo ni kiashiria cha mtu anaesoma katikati y a mistari na anakonekti dots
sasa fanyeni bajeti haraka haraka kabla hamjajua kuna tukio gani,ili watu waanze kuchanga kabla hawajajua kunanini

mpwaz tutaambia watu tunachangisha kwa ajili ya tukio la kusafikika au kufikirika au neiza of ze abovu??

anyway tutaangalia how to go about it lakini event lazima iwepo na michango itoke!!

btw: hii likizo ya JF imekusaidia sana, siku hizi kuunga dotiz sio inshu tena kwako!!
 
HEHEHEH!
SIO INSHU KABISA
INSHU NI UBWABWA NA KAMBALE!.....

naifufua thread kwa update nr one
 
Back
Top Bottom