Program Alert: Sanctus Mtsimbe kuzungumzia TPN kwenye ITV

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Habari zinazoingia mida hii ni kuwa mwanachama mwenzetu Bw. Sanctus Mtsimbe ambaye ni rais wa TPN atakuwa kwenye kipindi cha "Kumepambazuka" kuanzia saa 12:30 za asubuhi leo hii (j'tatu) kwenye kituo cha ITV na bila ya shaka baadhi ya mambo atakayoyazungumzia ni hilo la TPN.
 
Nimetazama kipindi husika, tafadhali kama kuna mwenye ripoti kamili ya Kongamano husika au japo maamizio ya mkutano anitumie kwenye mnyika@chadema.or.tz, nakala mnyika@yahoo.com.

JJ
 
TPN ndo nini kwa sisi tusiokuwa karibu? Wameongelea nini?

Tanzania Professionals Network (TPN) is a Non-Governmental Organization which brings together Tanzania Professionals and body corporates within and outside the country to address cross-cutting issues. The top agenda being mobilizing our resources using the Power of Brain to empower economically Professionals and Tanzanians at large by using diverse opportunities which have already been identified.

TPN is registered under the Ministry of Home Affairs, Registrar of Societies under the Societies Act Cap. 337 R.E. 2002, with the Certificate of Registration certificate number SO. 9746

Preamble
Tanzania is among the poorest nations of the world where more than fifty percent of her population live below the poverty line; and that the main cause of poverty is under development which can be expressed in terms of unemployment, underproduction, high rate of illiteracy, low level of Science and Technology and imbalance in its trade balance caused by among others unmanageable external debt and lopsided international trade practices.

We founder members therefore:

· CONSIDERING the present environment in which we operate, lack of formal forum where we can contribute our expertise ,air our views and exchange our experience:

· HAVING REGARD to the National advantage to be derived from the effective and continuous co-ordination of activities and exchange of information on our professions:

· AWARE of the need for a forum for professionals to encourage the carrying out of studies, research and dialogue with other stakeholders on National problems and common interests and concerns to foster closer relationship between them:

· CONVINCED that the establishment of an Association would best serve these purposes:

Have decided to establish an organ known as TANZANIA PROFESSIONALS NETWORK (TPN) which aims to have a very strong base for building a better future and promoting and facilitating Socio - Economic Development.

OUR VISION
To transform Tanzania into a POWERFUL KNOWLEDGE BASED SOCIETY by the Year 2050.

OUR MISSION
To stimulate and promote effective use of the POWER OF THE BRAIN among Tanzanians in addressing and solving their various Social, Cultural, Economical; Environmental; Developmental and Psychological Problems
 
Wameongelea nini?

1. Namna gani Wataalamu Wanavyoweza Kusaidia Kuweka Vipaumbele vya Kitaifa katika Kujenga Uchumi Imara

2. Ni Vipi Wanataaluma Wanaweza Kusaidia Watanzania wa Kawaida Waweze Kushiriki Katika Ujenzi wa Uchumi wa Taifa na Kuboresha Maisha Yao

3. Jinsi Wanataaluma Wanavyoweza Kukabiliana na Changamoto katika Kuleta Maendeleo ya Kiuchumi, Kisiasa, Kielimu, Kijamii, nk.

4. Namna Gani Wanataaluma Waliopo Nje ya Nchi Wanaweza Kushiriki Kuleta Maendeleo Nchini: Suala la Uraia wa Nchi mbili pia lijadiliwa. Mzalendo Bernard Membe alitoa Mada na Kijana Steve Kissandu kutoka Kansas marekani pia alitoa mada.

5. Wanataaluma na Dira ya Maendeleo ya Taifa Letu: Tukotoka; Tulipo, Tunakokwenda: Changamoto na Ufumbuzi

6. Je, Ni Wakati Gani Mwafaka Wanataaluma Walazimike Kuchukuka Hatua za Kuleta Mabadiliko Na kwa Vipi?

7. Ni Mikakati Gani Watumie Wanataaluma Kupeana Habari na Taarifa Za Uhakika na kwa Muda Muafaka
 
hilo swala la 4,
ninaomba kujua strategies mlizoziplan!hapo ni tatizo kubwa sana
 
Nashukuru sana Bwana Sanctus,

Ninawezaje kuwa mwanachama? I like it
 
Back
Top Bottom