Program Alert:Mwanakijiji alonga na Star TV "Live" juu ya Busanda

Status
Not open for further replies.
Na wewe hiyo "authority" ya kuniambia hivyo umeipata wapi?

Tuliza kitenesi hicho....

sorry to disappoint you.. I mentioned on air both sites Jamiiforums.com and Mwanakijiji.com! Sizishindanishi kama wengi wangependa iwe hivyo.
 
Huyo ndio Shy...anaweza kuja kama mtaalam wa hali ya juu wa IT,kisha ukadhani ni mtu wa karibu na Osama kuliko Zawahiri,then akageuka kuwa kama afisa wa ngazi za juu wa Idara ya usalama wa taifa....nadhani ni multiple personality disorder or something like that!

Kaka huyu dogo anaboa sana kwa kweli huwa anajidai ni mtu fulani wa usalama sijui anategema nini akilini mwake, yaani kama policy za JF zingeruhusu kumwaga data za mtu walahi ningemlipua huyu dogo maana namfahamu fika na nilipokuwa likizo huko nyumbani nilishakutana naye siku moja na kuongea naye mazungumzo machache, hata kwenye IT Indusrty yupo chini sana asitake kuwatishia watu hapa JF alisoma kwa kuunga unga pale chuo naomba nisiitaje sehemu aliyosomea lakini si degree kasoma vikozi vya miezi mitatu mitatu tu.... SHY its a tym to feel SHY as u'r name is............ unaboa kwa kweli bwana mdogo
 
nilifikiri uyio mwanakijiji ameappea in person

kumbe kapiga simu...alaaa

mhhhh haya hebu mie
 
nilifikiri uyio mwanakijiji ameappea in person

kumbe kapiga simu...alaaa

mhhhh haya hebu mie

GT, Kama MM alikuja in person au kwa simu la muhimu ni kwamba message aliyotaka itufikie imefika! Ni vizuri aje kwa simu kwani nyie wengine tabia yenu ni kushambulia personalities rather than kujibu hoja!!
 
Umefanya jambo jema, na ni vizuri unge mfahamisha huyo mpambe wako hapo juu


kuita watu usiokubaliana nao kwa hoja majina hakufanyi kuwa hoja yako ina nguvu, bali inadhihirisha tu ni jinsi gani ni dhaifu.
 
Nilipata nafasi ya kuwa mmoja wa wachangiaji kwenye onesho la "Tulonge Asubuhi" cha Star TV ya Jijini Mwanza. Onesho hilo la siku ya Jumamosi iliyopita liliruhusu mambo ambayo kama Watanzania tumejifunza nini kuhusu Busanda na kutoka hapo maswali mengine pia. Pamoja na ukuu kuu wa mitambo yetu tumeweza kunasa mazungumzo hayo na Mratibu wa kipindi hicho Bw. Paul Mabuga.

Sikiliza:

StarTV.MP3
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom