Program Alert: Mjadala wa ripoti on StarTV-Sunday

Mwanakijiji,
tumekusikia, na mafisadi na watawala wamekusikia.
Shida nimeona kama star tv wamekupa muda kidogo sana.
Nadhani nao wamefanya kwa tahadhali maana wanaogopa:D
Walitakiwa wakupe kama lisaa moja hivi ueleze nje na ndani ya Meremeta.
Naona waliwahi kurukia kukuuliza mengine wakati hili la Meremeta bado hujalitolea ufafanuzi mzuri.
 
nadhani kulikuwa na umakusudi fulani kwa sababu walijua nawapigia simu na wakasubiri hadi dakika zile za mwisho; simu zilikuwa zinaita tu. Ndio sehemu ya mapamnbano yenyewe.
 
shekhe hapa inabidi kubadilisha strategy...i saw this coming sasa muhimu hapa ni kujua who is with you and who isnt with you kwenye hii vita

Inamaana hata ITV na IPP MEDIA nao wamegoma?

itabidi tubadilishe na my suspicion of these so called local media zimetimia...they are a bunch of comedians na nadhani itakuwa si vibaya na wao kuwachanganya humo humo then watajua umuhimu wa hii vita

achana nao hao...its so dissapointing kwa kweli

alternatives zipo
 
shekhe hapa inabidi kubadilisha strategy...i saw this coming sasa muhimu hapa ni kujua who is with you and who isnt with you kwenye hii vita

GT.. ulisoma email ile iliyoambatana na hizi nyaraka? Hivi kama ingelipuka juzi halafu suala la Bunge na mambo ya Temeke nayo yanaibuka nani angeijadili? So far the strategy is working perfectly. What were you expecting to happen?
 
Ikulu kutoa statement kuhusu Meremeta and not Richmond

IKuhusu Nyaraka i think you know perfectly well kuhusu situation yangu na hizo Nyaraka...so far mie bado niko pale pale nilipokuwa last week ndio maana unaona sitii neno

one thing is for sure once the circle is gone itakuwa ngumu kurudi tena afterall chakula kitamu kingali moto
 
Hivi unafikiri hadi hivi sasa hawajaandaa statement kuhusu Meremeta?
 
Unauliza madrasa kwale?

Wakati mwingine GT unatulia kweli, lkn wakikugusa mahali pako mhh, inakuwa taabu kweli.

Nadhani mjadala haujaanza kwani wengi walikuwa wanasoma kwanza report yenyewe na pia ilikuwa katika harakati za kusambaa. Thread ya kujadili report yenyewe nadhani ndio inatakiwa itoke sasa. Si hata muswada unaandaliwa na kusomwa kwanza na wanakamati pamoja na wajumbe kabla ya kuwekwa mezani?
 
nyie ndio mnatuchelewesha sie
 
Nadhani Yalikuwa Matatizo ya Simu, Kwa sababu inaonekana Star TV walikuwa na nia ya dhati kabisa kumpa Mwanakijiji huo muda wa Dk tano, Maana niliona hata baada ya kupita muda uliotarajiwa lakini bado Mwanakijiji alipatikana.

Wakati Star TV na Raia Mwema angalau wamewasha moto huu wa Document wengine wapo kimya. Pia siyo mara ya kwanza tunamsikia Mwanakijiji kupitia Star TV
 
Back
Top Bottom