Program Alert: Mjadala wa ripoti on StarTV-Sunday

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Habari nyeti zilizonifikia zinadokeza kuwa kutakuwa na mjadala motomoto wa ripoti juu ya Meremeta siku ya Jumapili kuanzia kama saa 1.30 za asubuhi kwenye StarTV... Hope u'll be there!
 
wataoa mjadala ni nani? isijekuwa ni wazee walewale wa chichiem, hapatakuwa na maana
 
Tutausubiri huo mjadala wa Meremeta kwa hamu je content za Ripoti iliyoandalia juu ya Meremeta zitajadiliwa?
 
Habari nyeti zilizonifikia zinadokeza kuwa kutakuwa na mjadala motomoto wa ripoti juu ya Meremeta siku ya Jumapili kuanzia kama saa 1.30 za asubuhi kwenye StarTV... Hope u'll be there!
Ripoti juu ya Meremeta??? ukimaanisha ile uliyoitoa? utakua ni mjadala usio na tija kwa kua si uma wote wa watanzania wameiona ripoti hiyo (ni watu wasio zidi mia mbili tu wameiona) kwa maana nyingine watakua wanajadili kitu kisichojulikana (hiyo ni kama tu watajadili ripoti ya meremeta uliyoitoa wewe na timu yako!)
 
Mawazo matatu! uko sayari gani? mbona wameiona watu wengi tu? wewe unaishi wapi ujaisoma?
Ngoja nikufikirishe kidogo. Mimi nina familia ya watu 8 kwangu na wote wameisoma, sasa kama zilitoka kopi 150 je wamesoma kweli 200?
Hata hivyo JF si wachoyo, chonde chonde wataiweka hapa.
Ila mimi ningekushauri upate ya kwako. We lipia tu, Acha kutaka kila siku usome kila kitu bure! Mbona shule mnalipa jamani
 
Ripoti juu ya Meremeta??? ukimaanisha ile uliyoitoa? utakua ni mjadala usio na tija kwa kua si uma wote wa watanzania wameiona ripoti hiyo (ni watu wasio zidi mia mbili tu wameiona) kwa maana nyingine watakua wanajadili kitu kisichojulikana (hiyo ni kama tu watajadili ripoti ya meremeta uliyoitoa wewe na timu yako!)

usiwe na wasiwasi sana.. drama is about timing...
 
Kudos MKJJ ila sasa isije ikawa kama ile ya ripoti ya Dr Slaa Bungeni na TBC matangazo ya biashara yakawa mengi punde tukaambiwa hitilafu za mitambo
 
Mawazo matatu! uko sayari gani? mbona wameiona watu wengi tu? wewe unaishi wapi ujaisoma?
Ngoja nikufikirishe kidogo. Mimi nina familia ya watu 8 kwangu na wote wameisoma, sasa kama zilitoka kopi 150 je wamesoma kweli 200?
Hata hivyo JF si wachoyo, chonde chonde wataiweka hapa. Ila mimi ningekushauri upate ya kwako. We lipia tu, Acha kutaka kila siku usome kila kitu bure! Mbona shule mnalipa jamani

Mkuu taratibu baasi..! mbona unaanza kunishutumu kana kwamba nimeiomba bure vp kaka? suala hapa ninalozungumzia ni kua sina figure halisi ya waliosoma ripoti hiyo ila bado naamini ni wachache hata kama ni wengi, si wengi kiasi cha kuijadili kwenye TV na hadhira yote ielewe nini kinajadiliwa lakini mkkj ashalitolea maelezo hilo japo sijamuelewa lakini naamini anajua anachokifanya! narudia tena usidhaanie tu namaanisha nini bali soma kwa makini nilichoandika! heshima mbele...!
 
wataishia kusema RIPOTI YA MEREMETA KWENYE MITANDAO!period.
wamejitahidi sana watasema inauzwa kwa usd 30
 
Ninaomba Link maana mie niko juu ya Mlima Kilimanjaro nachoma mkaa ili niweze kufuatilia .Je kuna link ya kuona LAIVU ?
 
Tunaomba mapema, wale watakaopata nafasi ya kuangalia hicho kipindi wajitahidi kutupa summary ya mjadala ili tulinganishe na ripoti yenyewe.
 
Ninaomba Link maana mie niko juu ya Mlima Kilimanjaro nachoma mkaa ili niweze kufuatilia .Je kuna link ya kuona LAIVU ?

Where is Shamsa Mwagunga? Yaani wewe unatamba humu kuhusu uharibifu wa mazingira uanaosababisha? Aisee Meku geshi ra porisi rikikumata utakura mafi yako.
 
Mkuu Mwanakijiji.
Naamini ni busara watanzania kwa ujumla au baadhi kwa niaba ya wengine tukakupa KONO kutokana mchango wako katika hili. Serikali ilikuwa imetulia tu ikiwa ni pamoja na Bunge kuhusu hili. Sasa naona matumbo yameshaanza kuwa moto kwa wahusika baada ya kuona kile ulichokisema hapa na kwenye wesite yako juu ya Meremeta. Hongera mkuu.
UKOMBOZI HATA KATIKATI BADO HAUJAFIKA, KAZA BUTI BABU.
 
naamini utakuwa ni mjadala mzuri kwa taifa na kwa hatima ya raslimali zetu. Maswali ambayo nimeoneshwa kwa kweli ni ya msingi sana.
 
Habari nyeti zilizonifikia zinadokeza kuwa kutakuwa na mjadala motomoto wa ripoti juu ya Meremeta siku ya Jumapili kuanzia kama saa 1.30 za asubuhi kwenye StarTV... Hope u'll be there!

assumption kwa huu muda ni kuwa wote tuko TZ?
Mimi niko Vuanatu sasa ungetuwekea Time kwa GMT tungeweza kukotoa wenyewe tuwahi huo mjadala.
 
In about 4 hours the nxt step of the release of the rocket launched on wednesday.. mission control.. first separation check?
 
Back
Top Bottom