Program Alert: Mahojiano ya 1 na Al-Adawi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Tutarusha mahojiano na Brig. Gen Al Adawi kuanzia saa sita mchana EST sawa na saa moja za jioni East African time leo hii. Katika sehemu hii ya kwanza Generali wetu anasema kimsingi haijui Dowans.. lakini..

Sikiliza live kupitia mwanakijiji.com au kupitia Bongoradio.com na kama invisible ataweza kulink hapa live basiitakuwa vizuri.. see you then
 
Naona dk chache zimebakia kufikia hiyo saa moja, ngoja tupate kusikia toka huko na kujua kipi ni kipi.
 
Nasikia mwangwi tuu na kama nyimbo za kihindo kwenye back ground.

Then kuna sauti inasema welcome to mwanakijiji.com something.
 
Dah mzee nimekong'oli kwa mwanakijiji hivi sasa kuna taarab. Don't get me wrong, nainjoi vidole juu lakini halikuwa lengo hivi sasa...hamna chochote kisikiachwo....
 
Nadhani ameshamaliza hiyo kitu anasema ilikuwa fupi kama dakika 10. Mimi nimerudisha matangazo LIVE Bongo Radio.
 
tayari imetoka sehemu ya kwanza.. waliomiss nitarusha nikiwa live jioni ya leo tena na kesho tutakuwa tumeunganisha sehemu ya kwanza na ya pili na kuyarusha tena mchana..
 
tayari imetoka sehemu ya kwanza.. waliomiss nitarusha nikiwa live jioni ya leo tena na kesho tutakuwa tumeunganisha sehemu ya kwanza na ya pili na kuyarusha tena mchana..

Heshima yako mzee!

kama inawezekana si utuwekee kama alivyofanya invisible kwenye ishu ya mtetezi wetu Mwakyembe ili tuweze kuisikiliza muda wowote hii itatufanya kesho mchana tusifanye kazi tukivizia
 
Nimeamua kuichimba hii thread just to find that interview ya mwanakijiji na al adaw but no luck since it was ''broadcasted'', i mean streamed audio... So anybody who has it please please please ''seed'' so that we ''leech" it because I (WE) need in PRONTO! And anyway why mwanakijiji is making it a "secret", come on be dontcha wanna be a ''superman''? AND WHY WASN'T IT TELEVISED, or he stood for his no-picture policy since back then? **yeah, i see! A lotta questions**
 
Ni kweli tunahitaji hayo mahojiano tuone Jinsi anavyo jichanganya na habari ya hivi karibuni kuwa yeye ndo mmiliki wa DAWANS.
 
Me, Myself and I are waiting (anxiously) for the Mwanakijiji Special on this Dowans Saga...because there is no dought...MM has both interviews on the record.
 
Back
Top Bottom