Profile ya Dr. Wilbard Slaa Wa Jimbo la Karatu

Check hiyo list.......jamani mwenye Gazeti la mwananchi aliweke hadharani ....labda uniambie jamaa waliamua kutu- mislead
1.MKOA WA KIGOMA

(i) Mjini: Peter Serukamba,
(ii)Kigoma South: Gulam Hussein Shaaban Kifu,
(iii)Kasulu Urban: Neka Raphael Neka,
(iv)Kasulu Rural: Daniel Nsanzugwanko,
(v)Manyovu: Albert F. Ntabaliba,
(vi)Buyungu: Christopher Chiza,
(vii)Muhambwe: Jamal Abdallah Tamimu,
(viii)Kigoma North: Rabinson, F. Lembo.

17.MKOA WA IRINGA
(i)Iringa Mjini: Monica Ngenzi MBEGA
(ii)Isimani: William Vangimembe LUKUVI
(iii)Kalenga: William Augustino MGIMWA
(iv)Kilolo:prof. Peter Mahamudu MSOLLA
(v)Ludewa: Deo Haule FILIKUNJOMBE
(vi)Makete:Dr. Binilith Satano MAHENGE
(vii)Mufindi Kaskazini: Mohamed Hassan MGIMWA
(viii)Mufindi Kusini: Menrad Lutengano KIGOLA
(ix)Njombe Kaskazini:Deo Kasenyenda SANGA (Jah People)
(x)Njombe Kusini: Anne Semamba MAKINDA
(xi)Njombe Magharibi: Gerson Hosea LWENGE



(hii list haijakaa vyema angalia hapo kwenye blue monica mbega hajapita)
 
Namfahamu huyu boss alishawahi kunipa kazi, na kwenye contract alisaini kama Dr Wilbard S. Lorri. Wakati huu wa mchakato wa uchaguzi ndio nimekuja kugundua kuwa ile 'S' ni Slaa, lakini huwa haitwi Dr Slaa, anaitwa Dr Lorri.
 
Check hiyo list.......jamani mwenye Gazeti la mwananchi aliweke hadharani ....labda uniambie jamaa waliamua kutu- mislead
1.MKOA WA KIGOMA

(i) Mjini: Peter Serukamba,
(ii)Kigoma South: Gulam Hussein Shaaban Kifu,
(iii)Kasulu Urban: Neka Raphael Neka,
(iv)Kasulu Rural: Daniel Nsanzugwanko,
(v)Manyovu: Albert F. Ntabaliba,
(vi)Buyungu: Christopher Chiza,
(vii)Muhambwe: Jamal Abdallah Tamimu,
(viii)Kigoma North: Rabinson, F. Lembo.

17.MKOA WA IRINGA
(i)Iringa Mjini: Monica Ngenzi MBEGA
(ii)Isimani: William Vangimembe LUKUVI
(iii)Kalenga: William Augustino MGIMWA
(iv)Kilolo:prof. Peter Mahamudu MSOLLA
(v)Ludewa: Deo Haule FILIKUNJOMBE
(vi)Makete:Dr. Binilith Satano MAHENGE
(vii)Mufindi Kaskazini: Mohamed Hassan MGIMWA
(viii)Mufindi Kusini: Menrad Lutengano KIGOLA
(ix)Njombe Kaskazini:Deo Kasenyenda SANGA (Jah People)
(x)Njombe Kusini: Anne Semamba MAKINDA
(xi)Njombe Magharibi: Gerson Hosea LWENGE



(hii list haijakaa vyema angalia hapo kwenye blue monica mbega hajapita)[/QUOT

Ni kweli Monica mbega hakupita kwenye kura za maoni...............lakini baada ya NEC kukaa Mh. Mwakalebela alikuja akapigwa chini ya yeye Monica Mbega aliteuliwa kuwa mgembea rasmi wa ubunge kwa Ticket ya ccm. Hivo basi Monica Mbega Ndiye anayeipeperusha bendera ya ccm Iringa Mjini. Wadau kama nimekosea naombeni mnisahihishe!
 
..Dr.Wilbald Slaa LORRI anajulikana muda mrefu sana. aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa shirika la Chakula na Lishe.
 
Pls Read Btn lines:

Mgombea Ubunge jimbo la Karatu kwa ticket ya CCM anaitwa: Dr. Wilbard Slaa
Mgombea Uraisi Kwa Ticket Ya Chadema Anaitwa: Dr. Wibroad Silaa

Kumbuka Dr. Wilbroad Silaa alishakuwa mbunge wa Jimbo la Karatu Kwa Ticket ya Chadema.....swali; je hii ni ko-incidence au ni mpango maalum wa kuwachanganya wananchi wa hilo jimbo?

Hapo nimekupata mkuu, nadhani wameamua kufanya janja ya nyani kuwachanganya wananchi!
 
Payuka, natamani sana kuelewa this thread lakini kila nikijitahidi kuelewa nagonga mwamba, unamaanisha nini hapa?

ingia kwenye tovuti ya CCM angalia mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la karatu utajua jamaa anasema nini?
 
Back
Top Bottom