Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Huyu jamaa akichukua nchi tutashika sana adabu. Daaah

Ma Papaa na wapigaji wote kwisha habari.

Honestly. Lol
 
Huyu jamaa akichukua nchi tutashika sana adabu. Daaah

Ma Papaa na wapigaji wote kwisha habari.

Honestly simtaki. Lol
​Mahali ambapo Tanzania tumefikia tunahitaji rais ambaye ni serious na hana longolongo. He's way better than the other options we have from chama cha mafisadi.
 
Sijawahi Kupenda Mtu au Kitu Kikaniangusha. Nilianza Nae Na Nitamaliza Nae Nilisema Tokea Mwanzo Kuwa Mgombea Atakuwa Kati Ya Yeye Magufuli au Mwandosya au Muhongo Na Ndoto Zangu Sasa Zinaelekea Kutimia. Najiandaa Kulia Machozi Ya Furaha Dr. John Pombe Magufuli Akipitishwa Rasmi. Ana Sifa Zote Za Kuwa Rais Wa Tanzania.
Mkuu mimi furaha yangu itakuwa maradufu. Kuna uzi niliandika humu mwezi Desemba mwaka jana nikisema kwa kinywa kipana kwamba Dr. Magufuli ndiye kete ya CCM na ndiye atachukua kijiti, watu wakanishambulia ila nikawahakikishia kwamba ndivyo hivyo. Kuna mmoja akasema haiwezekani nikamwambia atakumbuka maneno yangu na aninunulie mvinyo. Kama atapita basi nitamlazimisha anunue mvinyo.
 
Namkubali jembe Huyu toka mwanzo chili ndilo jembe
Tunataka nchi ishike adabu asante wajumbe msituangushe
Tuwekeni hili jembe.
Hawa ndio aina ya viongozi tunaowahitaji.
 
Wakimaliza kupiga kura huyo wanayemchagua asisahau kuja kujisalimisha kwa wazee wa dar es salaam.
 
Mimi niliwaambia watu toka alipokabidhiwa wizara ya miundo mbinu kabla haijagawanywa,wahindi walitafutana toka day moja boss wng aliniuliza magufuri ni nani kitendo cha kutangazwa tu kila mtu alijua kazi yke nini
 
Wakimaliza kupiga kura huyo wanayemchagua asisahau kuja kujisalimisha kwa wazee wa dar es salaam.

Kwa lipi.??hawa wazee wa daslamu walipo hakuna maendeleo jaribu kuchunguza,kuanzia kwa young afrika mpka kwa ccm ya kikwete.
 
Wakuu, kwa mwenye CV ya Rais Mtarajiwa, Dk. Magufuli, please tunaiomba..

===========



Hapo elimu ya msingi na sekondari o' level mbona inanipa shida kujumulisha miaka au wakati huo madarasa yalikuwa mengi shule ya msingi na kupunguzwa o'level; lakini my brother ambaye ni age mate na Maghufuli alisoma mfumo wa 7-4-2.
 
kwa lipi.??hawa wazee wa daslamu walipo hakuna maendeleo jaribu kuchunguza,kuanzia kwa young afrika mpka kwa ccm ya kikwete.

wazee wa dar es salaam ndio wenye nchi kwani hata nyerere alitambua uwepo wao,, muulize magufuli anaishi wapi???
Ukitaka kujua uwepo wa wazee wa dar es salaam muulize mwamba wa kaskazini alipoishia!!
 
Back
Top Bottom