PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,723
Proffessor Karim K.N.HIRJI amefariki, mazishi yake kesho 16/03/2010 huko Njiro Makaburini, Arusha!
Hirji alikuwa Msomi na Mweledi aliyebobea, akiwa amefanya kazi nyingi za utafiti.
Alipata kuwa Mkurugenzi wa Serengeti Wildlife Research Institute, na ameshika nafasi nyingi za uongozi nchini.
Hadi anafariki alikuwa member wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA).
Sina details zaidi za habari za maisha yake, lakini najua kuna wadau wengi hapa ndani wanaomwelewa, aidha walisha'interact nae katika taaluma au maisha ya kawaida, na hawatasita kutueleza zaidi.
Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu!