Professor Joseph SHIJA PHD SCHOLARSHIP FUND

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
409
31
Wakuu,

Napendekeza kama Watanzania Tuanzishe Mfuko wa Kitaifa kwa ajili ya masomo degree ya UZAMIVU kwa heshima ya Professor Joseph Shija ambaye kwa sasa ni VC wa IMTU. Kiwango kinachopendekezwa kuchangwa kila wiki na kila Mtanzania kupitia simu yake ya mkononi kwa ajili ya mfuko huu ni shilingi 300/=
 
Kwanini iwe Joseph SHIJA, mbona wengine hata hatuwahi kumsikia? ufanunuzi pliiiz!
 
Tupe sababu, KWANINI Prof Shija?
Ame(ana)fanya nini kustahili heshima hiyo?
Je, umekwisha wasiliana naye kuthibitisha kukubali kwake kuundwa kwa Mfuko huo?
Utaongozwa na nani? Kufuata utaratibu upi kwa katiba/kanuni zipi?
Hebu fanya bandiko lako liwe lenye muonekano wa ki-Great Thinker.
 
Mchango wake ni mkubwa sana hasa katika nyanja ya utabibu. Ameandika majapisho mengi na vitabu pia.
 
Back
Top Bottom