Professor Emeritus - UDSM

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Jamani,je UDSM ina ma Professor Emeritus?Ukiangalia treatment ya akina Prof Baregu na kuuwawa kinyama kwa Prof wa Law,juzi eti na majambazi ni jambo la kusikitisha sana.
 
Hakika wapo. Isaria Kimambo ni mmoja wapo. Kuna hawa wawili pia ambao kwa maoni yangu wanastahili hiyo heshima. Ni Arnold Temu na Bonaventure Swai. Sasa sijui wanatumia vigezo gani kumpa mtu heshima hiyo - labda long and distinguished service (whatever that is).

Pia Prof. R. Mabele - bingwa wa agricultural economics nadhani naye anastahili heshima hii kama ameshastaafu....hii namba kichwani zinachaji bana..tuache utani
 
NN acha kuungopea umma. Hakika yupo sio "Hakika wapo". Kwa jina Isaria Kimambo.
 
NN acha kuungopea umma. Hakika yupo sio "Hakika wapo". Kwa jina Isaria Kimambo.

Okay my bad, my bad....ina maana UDSM nzima ni mmoja tu? But I do have a deep reverence for the good professor. Alifanya kazi nzuri sana kwenye publications za UNESCO's General History of Africa. One of UNESCO's most important publishing projects in the last thirty years.

Lakini kwa nini awepo mmoja tu?
 
Wapo;

(1) Professor Issa G. Shivji, ni Professor emeritus wa UDSM na Mwenyekigoda wa Kigoda cha Nyerere.

(2) Professor Geoffrey Mmari ni professor emeritus wa UDSM akiwa anafanya hapo Tumaini

(3) Professor Awadh Mawenya ni professor emeritus wa UDSM akiwa anafanya biashara

(4) Professor Mwandosya ni professor emeritus wa UDSM nakiwa anafanya siasa.

Ndiyo maana wanaendelea kuitwa maprofessor.
 
Kichuguu: Unaelewa maana ya 'Emeritus' kwenye medani ya 'Academia' au unadhani mtu akiendelea kuitwa 'Professor' anakuwa 'Distinguished' kihivyo?

NN: Naam, ndio, Kimambo anastahili ila wengine nao wataibuka tu hasa baada ya wasomi kama ninyi kuacha kubeba maboksi majuu na kurudi nyumbani!
 
Asante jirani. Nilijua wapo zaidi ya Kimambo lakini sikuwa na prospectus yangu hapa ndio maana huyu mjamaa Companero akataka kunibabaisha
 
Kichuguu: Unaelewa maana ya 'Emeritus' kwenye medani ya 'Academia' au unadhani mtu akiendelea kuitwa 'Professor' anakuwa 'Distinguished' kihivyo?

NN: Naam, ndio, Kimambo anastahili ila wengine nao wataibuka tu hasa baada ya wasomi kama ninyi kuacha kubeba maboksi majuu na kurudi nyumbani!

Ebana eeeh kwani unayo latest prospectus hapo?
 
unaiamini prospectus ya kichuguu kuliko mtu aliyekuwa UDASA na hao mnaodai ni ma-professor emeritus?
 
Hakika wapo. Isaria Kimambo ni mmoja wapo. Kuna hawa wawili pia ambao kwa maoni yangu wanastahili hiyo heshima. Ni Arnold Temu na Bonaventure Swai. Sasa sijui wanatumia vigezo gani kumpa mtu heshima hiyo - labda long and distinguished service (whatever that is).

Pia Prof. R. Mabele - bingwa wa agricultural economics nadhani naye anastahili heshima hii kama ameshastaafu....hii namba kichwani zinachaji bana..tuache utani

Na Prof Mabele pia?
 
Kichuguu: Unaelewa maana ya 'Emeritus' kwenye medani ya 'Academia' au unadhani mtu akiendelea kuitwa 'Professor' anakuwa 'Distinguished' kihivyo?

NN: Naam, ndio, Kimambo anastahili ila wengine nao wataibuka tu hasa baada ya wasomi kama ninyi kuacha kubeba maboksi majuu na kurudi nyumbani!
Sikuelewa swali lako, lakini ngoja nijaribu kubashiri unachotaka kuelewa.

Professor Emeritus au (Professor Emerita) ni professor ambaye amekwisha staafu rasmi shughuli za academia; anaweza kuwa anaendelea kufanya research au kufundisha kwa mikataba au kufanya kazi nyingine zisizohusiana na academics. Emeritus Professor wa chuo siyo lazima aendelee kuwapo hapo chuoni, lakini akitaka kutumia facilities za chuo anaruhisiwa kabisa; majina niliyonyesha hapo juu wote walikwisha retire UDSM lakini bado wanatambulika kuwa ni maprofessor wa chuo kile. Sikuelewa una maana gani ulipotumia neno "distingusihed," kwani "Distinguished Professor" haina uhusiano wowote na "Professor Emeritus", na wala sidhani kama UDSM walishaanzisha title hiyo ya Distinguished Professor. Niliposema kuwa ndiyo maana wanaendelea kuitwa maprofessor, nilitaka kuimarisha statement kuwa hata kama hawapo UDSM na wala hawako kwenye academics tena, bado ni emeritus professors wa chuo kikuu cha Dar es Salaam.

NB: Distinguished Professor siyo lazima awe ameshastaafu, ni mtu anayekuwa anaheshimika kuwa ni mkali sana katika nyanja yake.
 
Kichuguu kama kigezo kikuu kingekuwa ni kustaafu basi UDSM ingekuwa na maprofesa emeritasi wengi tu - hebu cheki vigezo hifi vinavyotumika huko SRU:

Eligibility
Upon retirement from the university, faculty members who meet the criteria for selection may be considered for emeriti designation. Other professional staff, may under exceptional circumstances, be recommended to emeritus status.
Recommendation
Faculty- Proposals for emeriti designation must be initiated by a faculty member, or other appropriate group and forwarded by the department's chairperson. The department proposal with recommendations, including the candidate's current vita, will be submitted for evaluation and recommendation to the appropriate Dean and then the Provost. Final approval is granted from the President.

Administrator- Proposals for emeriti designation must be initiated by division/department colleagues and submitted through his or her immediate supervisor. The proposal including the candidate's current vita will be submitted for evaluation and recommendation to the appropriate Vice President. Final approval is granted from the President.

*The title Professor Emeritus may, upon approval of the President, be conferred upon any person who on retirement has not attained the minimum of 10 years of service if it is determined that he or she has made outstanding contributions to the university in either the field of scholarship or public service

Criteria

Faculty must have:
1. Retired.
2. Shown excellence in teaching or administration.
3. Provided a minimum of 10 years of service to Slippery Rock University.
4. Completed a minimum of 25 years of service to the profession of education.
5. Produced scholarly publication(s) and research.
6. Offered service to the university, the community, and professional discipline.Shall be based upon length of
association with, and degree of contribution to his or her department, division or university.

Professional staff:
Shall be based upon length of association with, and degree of contribution to his or her department, division or university.
Privileges Granted Emeriti
The privilege to carry out the responsibilities of emeriti are subject to the collective bargaining agreement, and any legal and/or State System of Higher Education and/or university restrictions. In addition, Emeriti receive:
• Assigned office space for research, if available.
• Access to local retirement benefits administration.
• Listing with the faculty in the university catalogues and other appropriate publications.
• Receipt of special campus publications, announcements, and event invitations, as determined by the President.
• Invitations to participate in public ceremonies, commencement, processions, and convocation.
• Participation in appropriate campus seminars, colloquia, lectures, ad hoc committees, and other scholarly pursuits.
• Opportunity to serve in a volunteer capacity in accordance with Board of Governors Policy 1991-04.
• Use of university recreational/social facilities in accordance with university policy.
• Library privileges.

Revised September 2008.

Professor Emeritus
 
Wewe Companero...hivi vigezo ni vya chuo gani? Sidhani kama ni vya UDSM na kwa ufahamu wangu mimi kila chuo kina vigezo vyake ingawa sidhani kama vinatofautiana kwa sana....
 
Hakika wapo. Isaria Kimambo ni mmoja wapo. Kuna hawa wawili pia ambao kwa maoni yangu wanastahili hiyo heshima. Ni Arnold Temu na Bonaventure Swai. Sasa sijui wanatumia vigezo gani kumpa mtu heshima hiyo - labda long and distinguished service (whatever that is).

Pia Prof. R. Mabele - bingwa wa agricultural economics nadhani naye anastahili heshima hii kama ameshastaafu....hii namba kichwani zinachaji bana..tuache utani
Amedeliver kitu gani tangioble kwa hizo charge zake au ndio bingwa wa kukalili/copy kazi za wenzake na kuzihutubia
 
Amedeliver kitu gani tangioble kwa hizo charge zake au ndio bingwa wa kukalili/copy kazi za wenzake na kuzihutubia

Ubingwa wa kwenye makaratasi tu.....zaidi ya hapo hana tofauti na Miafrika mingine kama mimi na labda wewe (maana sijui kama wewe ni liafrika kama mimi)
 
hata mimi bado sielewi huyu Prof Mabele kafanya kitu gani cha ziada...i could understand ungesema Prof Luhanga hv
 
Back
Top Bottom