Professionalism: Umeme wa kisanii huu hapa

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Hamjambo kwa mara nyingine wanajamii, mfumo huu wa umeme umenishangaza, hapa ni jijini Dar es Salaam, mtaa wa Ohio, mkabala na hoteli ya Movenpick, karibu kabisa na Barclays Bank Ohio. kuna waya za umeme ambazo ziko supposed to be underground kwa inavyoonekana.

Nimeweka picha:
Picha ya kwanza inaonesha waya zikitoka juu ya nguzo kuelekea chini.

Picha nyingine inaonesha waya hizo zikitambaa kueleka kwenye vibanda ambavyo vipo opposite na Peugeot House (sijui kama bado inaitwa hivyo) lakini badala ya kupita chini kwa chini (underground) zinaambaa na ukingo wa bustani mpaka huko ziendako

kali zaidi kuna mahali zimeungwa kwa ile wenyewe wanaitaga selo tape, hapo nilipozungushia nyekundu

Naomba kuwakilisha.
 

Attachments

  • UMEME HATARI 1.jpg
    UMEME HATARI 1.jpg
    433.2 KB · Views: 45
  • UMEME HATARI 2.jpg
    UMEME HATARI 2.jpg
    41.6 KB · Views: 41

Similar Discussions

Back
Top Bottom