PROFESA WA UD: Safari hii TUNAGOMA kweli kweli

mkuu na ile kamati ya bunge iliyopita juzi na kuondoka na maafisa wa duce na mkwawa kwa malipo hewa ninasikia iliyaona hayo madudu lakini cha kushangaza ud hakuna aliyeguswa km vyuo vingine!..
Yes! Kwa UDSM madudu hayo yana mkono wa Ma-Top pale mlimani. Unaelewa?
 
Kama hamtaki kazi achen.....CC haina pesa ya kuwalipa mishahara mipya!
 
Hivi hawajajifunza mambo mengine ya muhimu katk maisha ya kuwaweka huru zaidi?prof analia malipo, huku darasani aandaia kuwa wanabadili mitaala ili wahitimu waweze jiajiri wenyewe, sasa kinawashinda nini kama makabrasha yao wametujazia wanachokiita taaluma bora kabisa duniani.
 
'Kama mshahara wa mwezi huu utakuwa ule ule ambao hauna nyongeza ya mshahara,tunagoma. Hebu angalia,wenzetu wote wameshapata mishahara yao tena yenye nyongeza tangu Mwezi wa saba kwanini sisi bado? Hadi leo tarehe 3/10/2012 hatujapata mishahara. Tunafanyaje kazi? Nadhani tunataniana hapa.Safari hii tunagoma kweli kweli. Ngoja uone'

Ni maneno ya ukali na ya kutia huruma ya Profesa mmojawapo wa UDSM ambaye alinipigia simu leo 'kuniazima' hela ili auanze mwezi huu. Nimemuonea huruma yeye,Wahadhiri wengine na wafanyakazi wa UDSM kwa ujumla. Mkuu wa Kaya yuko nje anakula maisha. Kwanini lakini mambo haya?

Ungesema ni mhadhiri msaidizi ameongea hayo maneno kuwa watagoma kweli kweli ni sawa. Maprofesa wote sasa midomo iko wazi kusubiria kupewa mkataba baada ya kustaafu na/au kuteuliwa walau kuwa mkuu wa wilaya. Ha ha haaaaa! Kuna maprofesa wengine ukijifanya kuwa wewe ni mtu wa system akakujua halafu ukakutana naye mjini ukaamua kumkanyaga maksudi atakuomba samahani. Hii inaonyesha jinsi wasivyojiamini na taaluma zao wanategemea huruma ya wanasiasa.
 
Ni kweli Mkuu
 
'Kama mshahara wa mwezi huu utakuwa ule ule ambao hauna nyongeza ya mshahara,tunagoma. Hebu angalia,wenzetu wote wameshapata mishahara yao tena yenye nyongeza tangu Mwezi wa saba kwanini sisi bado? Hadi leo tarehe 3/10/2012 hatujapata mishahara. Tunafanyaje kazi? Nadhani tunataniana hapa.Safari hii tunagoma kweli kweli. Ngoja uone'

Ni maneno ya ukali na ya kutia huruma ya Profesa mmojawapo wa UDSM ambaye alinipigia simu leo 'kuniazima' hela ili auanze mwezi huu. Nimemuonea huruma yeye,Wahadhiri wengine na wafanyakazi wa UDSM kwa ujumla. Mkuu wa Kaya yuko nje anakula maisha. Kwanini lakini mambo haya?

Mwenzetu wewe umepata hela wapi mpaka ukopwe na Maprof? Naomba nami mkopo mimi ni dereva wa bosi.
 
Mwenzetu wewe umepata hela wapi mpaka ukopwe na Maprof? Naomba nami mkopo mimi ni dereva wa bosi.
Mimi ni Wakili tangu 1992.Profesa huyo ni classmate wangu wa Form Six Songea Boys. Tunasaidiana sana.Hata yeye hunikopesha ninapokwama. Ni rafiki yangu sana huyu jamaa tangu miaka ya 80.
 
'Kama mshahara wa mwezi huu utakuwa ule ule ambao hauna nyongeza ya mshahara,tunagoma. Hebu angalia,wenzetu wote wameshapata mishahara yao tena yenye nyongeza tangu Mwezi wa saba kwanini sisi bado? Hadi leo tarehe 3/10/2012 hatujapata mishahara. Tunafanyaje kazi? Nadhani tunataniana hapa.Safari hii tunagoma kweli kweli. Ngoja uone'

Ni maneno ya ukali na ya kutia huruma ya Profesa mmojawapo wa UDSM ambaye alinipigia simu leo 'kuniazima' hela ili auanze mwezi huu. Nimemuonea huruma yeye,Wahadhiri wengine na wafanyakazi wa UDSM kwa ujumla. Mkuu wa Kaya yuko nje anakula maisha. Kwanini lakini mambo haya?

Mzee Tupatupa (kupata kuna Mungu); hapo kwenye RED ungepaacha tu hapo. Sasa hii (hata kama hujamtaja jina - anaweza Prof mwenyewe kuwa mjumbe humu) huoni kuwa umemdhalilisha msomi wetu?
 
These are another group that constitutes educated elite but have done little to liberate this country from intellectual decadence, economic difficulties and unreasonableness. Whereas in many countries lecturers are demonstrating the lead when the situation is worsoned by the politicians ours have been passive and collaborators of the ruling regime. They keep on applauding the regime no matter oppressions, physical and psychological torture, brainwashing and what have you that the regime inflict on innocent wazalendo. However, not all lecturers have succumbed to ruling class business, some have taken bold and different route but at the expense of losing job, promotion and denied contract renewal when their contracts get expired. Hawa wa pili tunawasikitikia lakini wengine hatuwezi kuwaunga mkono hata wakigoma. Kwanini hawakuwaunga mkono walimu wa sekondari na primary? Gomeni lakini kwa wazalendo wa kweli you are birds of your own feather.

Huwa nashindwa kuwalaumu wasomi wetu moja kwa moja kutokana na mfumo wetu. Tumeona jinsi wanataaluma wanavyo nyanyaswa kwa kusema ukweli kulingana na taaluma yao. Mfano mdogo ni Prof. Baregu kupelekea hata kunyimwa mkataba wakati akiwa na nguvu ya kutumika katika taaluma yake. Jambo hili limepelekea wasomi wengi kukaa kimya na kuogopa kukosoa ama kutoa mapendekezo tofauti na yaliyopendekezwa na wanasiasa hata kama hayatekelezeki. Unakuta kwenye kikao cha Halmashauri kinachoamua maswala ya elimu, Diwani ana nguvu kubwa kuliko Afisa Elimu mwenye taaluma ya mambo ya elimu. Na kama Afisa elimu atasimamia taaluma yake na kumpinga diwani w(wengi wanatazama maslahi ya kichama/kisiasa) basi afisa huyo ni rahisi sana kufukuzwa katika almashauri hiyo. Ipo mifano mingi, ila kifupi ni kama alivyosema Mchungaji Msigwa kuwa system yetu imeruhusu akili ndogo kutawala akili kubwa kwa maslahi ya kisiasa zaidi kulingana na system tuliyonayo. Sasa ni wajibu wangu na wako ili kufanikisha kurekebisha mfumo kwa kuchangia vizuri kutengeneza katiba mpya na kuchagua viongozi wenye upeo katika kusimamia rasilimali na kuleta maendeleo ya kweli.
 
Kama ni member humu umemdhalilisha, by the way Nasupport Mkuu aliyesema Tanzania iongezwe kwenye maajabu 7 ya dunia na kuwa 8.
 
Balaa, Prof wa bongo salary haikutani na ya mwezi ujao. Tunaenda wapi jamani??

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom