Profesa Safari ndani ya Kamati KUU CDM

chama akiwezi kufa tukiona safari afai situna mfukuza lakini kwa muda niliomfahau safari ni mstaarabu sana alafu ana machungu sana chama cha magamba kwa sababu walimfukuza kazi
 
CHADEMA TUSIPONGEZANE VITANI JAPO MUVU NI MURUA SAANA LAKINI MSISITIZO WANGU TU KWA SASA NI KULE KUWEKA MASLAHI YA WATANZANIA WOTE MBEEEELE KAMA TAI BILA UBAGUZI!!!!!!!

Kamati Kuu yetu CDM Taifa, Prof Safari na timu zaima ya Wapambanaji wetu;

Nyoooote mnajua tulikotoka na vita hivi vigumu dhidi ya kirusi hiki cha UFISADI WA KIMFUMO CCM, hadi leo hii mnafahamu fika wapi tulipo, na kubwa zaidi ni pale tunapoendelea kutumainia kwa faraja yetu sote walalahoi nchini kwamba bado mnaelewa fika ni wapi tunakusudia kufika na azma yetu katika vita hivi kama taifa;

Niendelee kuwasihi nikisema kwamba hebu chapeni kazi zaidi na zaidi katika kutuelimisha Watanzania katika kijiji ndani ya taifa hili. Hakikisheni kwamba vile vichaka vichahe vilivyobakia mkononi mwa CCM kama vile UDINI, Ukanda na Ufukara-Mtaji vyote vinafyekwa haraka ili tukafikie malengo ya msingi mapema iwezekanavyo.

Pongezi zangu bado nazizuia mpaka baada ya vita.
 
Huyu bwana mdogo asiwababaishe anajidai mtu wa 'system' kumbe ni muhindi mmoja anayetetea maslahi binafsi.iko siku yenu mtafungasha mizigo na kurudi kwenu bila kupenda.
Acha porojo bwana mdogo !
ni lazima mulewe ya kwamba habari yoyote ina upande wa pili hivyo basi ni lazima mvumilie habari ambazo haziwapendezi mbona mnapoongelea upupu wenu hatujibu mapigo kwa matusi
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Wacha udini wewe:tape:

Ni nani kaongelea udini hapo, it seem kila kitu tofauti na mtazamo wako au unaotegemea, kwako hicho lazima kiwa na harufu ya udini. I'm not as religious as you think........tofauti na wewe ambaye labda una tabia ya kupenda kuyasiia mambo unayayopenda tu, mimi nipo tofauti, mimi huwa nautafuta ukweli popote pale ulipo. Niliposikia kuwa Dr. Slaa atataja majina ya mafisadi, na Prof Saari atambana jukwaani kule Tabora, sikutaka kusubiri, taarifa za vyombo vya habari. Nilisafiri hadi kule ili nisikie watakayoyaongea ili niangalie kama watakayoyaongea yatakubaliana na lugha ya miili yao au vitapingana, hivyo ninapotoa alet najua nini nimekiona, mimi sishabiki, na wala sisubiri kusimuliwa, I would advise to be the same....
 
hiyo imejengeka kwa wana chama magamba wanaotaka kuendelea kutunyonya,
hakuna unafiki hapo kama unaongea upupi kwa masilahi binfsi na kwa makusudi utakutana na nguvu ya umma muda wa kuchekea mizaa yenu umekwisha na kama kuna mtu anadhani ataendelea kuchezea mboni cha macho yetu hakuna tena hiyo nafasi
nyie mna mpango wa kututoa macho kama tukiwachekea na hizi kauli za kejeli


ni vizuri ukaelewa kwamba hili jamvi ni huru kwa mtu yoyote kutoa maoni na siku zote maoni hayawezi kufanana hata siku moja na kibaya zaidi imeanza kujengeka zana kwamba wana cdm hawana ustaarabu[/QUOTE]
 
dr. slaa alitemwa na chama cha magamba na akajiunga na chdm ndani ya muda mfupi na amekuwa mwaminifu kwa chama na kutoa mchango mkumbwa kwa taifa. hivyo suala la haraka halina nafasi katika siasa kwani historia yake haina doa. prof. ifanye safari ya kuwaletea watanzania matumaini mapya iwe kweli. . prof. ameamsha mjadala wa uuzwaji wa nyumba za serikali ambazo watanzania wote wana haki ya kuzitumia.
 
Mpaka sasa kapi lililotoka kwenye magamba ndani ya cdm ni John Magale Shibuda kwa mtizamo wangu.Huyu hapaswi kupewa nafasi yoyote ya maamuzi ndani ya cdm.Mtu kama Pr.Safari mpaka hapa tulipo sioni cha kunipa wasiwasi juu yake.Ikumbukwe kuwa anayeharibu chama si lazima awe mgeni!Wengine wapo ndani ya cdm miaka mingi na mienendo yao ya hivi karibuni inatia mashaka kabisa.Kwa hiyo tuangalie mienendo zaidi ya viongozi kuliko kuangalia either mhamiaji au mwenyeji.
 
CCM nuksi sana mpaka wamefanikiwa kupenyeza mtu wao ndani ya Chadema, yaani Chadema wamempokea Prof, Safari na kumpa cheo nawasikitikia sana, kwa kuabia siri wana Chadema, Prof Safari ni wakili wa Makamba, vile vile ni wakili wa Sheikh Baisale, ni wakili Tambwe Hizza, wakili wa Londa, pamoja na Bujugu diwani wa Magomeni hayo ni machache tu, kuna mengine mengi mtayajua hapo baadae, ebu jiulize kwa nini wateja wake wengi wana CCM, Chadema wameingia choo cha kike
 
CCM nuksi sana mpaka wamefanikiwa kupenyeza mtu wao ndani ya Chadema, yaani Chadema wamempokea Prof, Safari na kumpa cheo nawasikitikia sana, kwa kuabia siri wana Chadema, Prof Safari ni wakili wa Makamba, vile vile ni wakili wa Sheikh Baisale, ni wakili Tambwe Hizza, wakili wa Londa, pamoja na Bujugu diwani wa Magomeni hayo ni machache tu, kuna mengine mengi mtayajua hapo baadae, ebu jiulize kwa nini wateja wake wengi wana CCM, Chadema wameingia choo chaa kike
inathibitisha usemi kuwa cdm si chama makini kabisa
 
CCM nuksi sana mpaka wamefanikiwa kupenyeza mtu wao ndani ya Chadema, yaani Chadema wamempokea Prof, Safari na kumpa cheo nawasikitikia sana, kwa kuabia siri wana Chadema, Prof Safari ni wakili wa Makamba, vile vile ni wakili wa Sheikh Baisale, ni wakili Tambwe Hizza, wakili wa Londa, pamoja na Bujugu diwani wa Magomeni hayo ni machache tu, kuna mengine mengi mtayajua hapo baadae, ebu jiulize kwa nini wateja wake wengi wana CCM, Chadema wameingia choo cha kike
Pamoja na maelezo yako mengi huyo ndiye tunayemtaka asante.
 
Back
Top Bottom