Profesa Safari ndani ya Kamati KUU CDM

hacha matusi wewe,
sasa wewe ni paulo, haya ni majina ya kukera, ni lini wakristo walianza kuitwa wagalatia, kwa taarifa kwako hapo PAULO alikuwa aongea na wagalatia, na hakuna mgalatia wala mkristo hapa ndani, kila mtu anajina lake, udini peleka mbali na JF au nenda jukwaa la dini,
kwanza ulikuwa wapi toka

Join Date : 3rd October 2007
Posts : 119
Thanks
6
Thanked 19 Times in 16 Posts
Rep Power : 24

au ulikuwa na ban kwa hizo post zako 119 na mwaka uliojiunga inatia walakini
[QUOTE=Haki sawa;1916236]Kwani kuitwa wagalatia ni tusi ? si majina ya Wakristo?

Ndio maana Paulo aliwaandikia "Enyi Wagalatia nani amewaloga?"
 
Sijaona kukurupuka alivyofanya Mbowe. Kuna wachezaji wengine wakisajiliwa hawahitaji kipindi cha mazoezi ili kuelewana na wachezaji wengine. Tunahitaji jahazi la kuvuka bahari ambako reli haifiki
 
we Makupa unapenda kutukanwa, hata mimi sina mdomo mchafu lakini kuna wakati uwa najisikia kama nikushushie hayo makombora,
juzi ulikwenda kwenye post moja kuchafua hali ya hewa na hapa umeanza, hakuna hatakaye kuvumilia mpaka unakapomwambia makamba na msekwa hii kama imekushinda ndipo watu watakuhacha, na mwaka huu utaumia kichwa nunua panado za kutosha
ni lazima mulewe ya kwamba habari yoyote ina upande wa pili hivyo basi ni lazima mvumilie habari ambazo haziwapendezi mbona mnapoongelea upupu wenu hatujibu mapigo kwa matusi
 
unachotakiwa kufanya ni kumfuata Prof Safari, kama hao wengine ni wakatoliki basi wewe mfuate Prof
la sivyo utaangamizwa na mafisadi au kama wewe ni fisadi basi hama huko mabonde ya ufisadi kuna mafuliko yanakuja sio muda mrefu, husije sema hukusikia , mafuliko yatakomba kila kitu
Huyu jamaa ni kihiyo, ila anajitahidi sana kutumia elimu na maarifa ya wenzake kwa ajili ya kukuza chama chake.

Hamuoni kile chama chetu waislamu CUF kilikufa kutokana na Mwenyekiti wetu kutokutaka kuingiza wengine waje na mawazo mapya , kwenye hilo alichangia sisis waislamu kurudi nyuma hatua nyingine mia moja ndio maana leo tunaanza kuungana na wagalatia kwani hatuna pa kwenda.

Hawa jamaa ni wajanja sana , kwani walisemwa kluhusu ukatoliki wao sasa naona wameamua kujibu kwa kuingiza mwenzetu huko tena wakatafuta mwenye siasa kali ili aweze kuwabeba wakina Shekhe Bassale na wenzake sasa hapo tumeliwa , kama waislamu tusipojipanga sawasawa hawa jamaa wanamkakati mbaya dhidi yetu.

Kwani wamewaona kina Zitto sio waislamu wa kweli mpaka wamuongezee huyu?
Ama ndio kapewa kazi ya kujibu mapigo ya udini?
Wakiwa Tabora walisema kuwa CCM ndio wanaumiza waislamu kwani hawajawa tayari kuwatetea hivyo , Safari alisema kuwa yeye kaamua kuingia huko ili kwenda kusimamia maslahi ya waislamu ....sijui lakini ila hawa wakatoliki ni wajanja sana sana.
 
tatizo wewe umevamia jamvi kwa kasi ya ajabu sijuhi bado huko kwenye probation period kwenye hiyo ajira ya msekwa na makamba, si walisema watatubomoa kisayansi , kaa mkao kunyolewa sio muda wanakufukuza na utakuwa na stress ya kutusaliti watanzania, hivi una ndugu kijiji hapa tanzania? wapigie simu waulize ccm inachowafanya ndio utaelewa kwa nini watu hawana huruma na mtu kama wewe hapa jamvini?
mimi nakishukuru chama chama magamba kwa jambo moja tu,
kutumia vijana wajinga wajinga kujiosha katika jamii, matokeo yake ndio mnachafua kabisa
Huyu jamaa ni kihiyo, ila anajitahidi sana kutumia elimu na maarifa ya wenzake kwa ajili ya kukuza chama chake.

Hamuoni kile chama chetu waislamu CUF kilikufa kutokana na Mwenyekiti wetu kutokutaka kuingiza wengine waje na mawazo mapya , kwenye hilo alichangia sisis waislamu kurudi nyuma hatua nyingine mia moja ndio maana leo tunaanza kuungana na wagalatia kwani hatuna pa kwenda.

Hawa jamaa ni wajanja sana , kwani walisemwa kluhusu ukatoliki wao sasa naona wameamua kujibu kwa kuingiza mwenzetu huko tena wakatafuta mwenye siasa kali ili aweze kuwabeba wakina Shekhe Bassale na wenzake sasa hapo tumeliwa , kama waislamu tusipojipanga sawasawa hawa jamaa wanamkakati mbaya dhidi yetu.

Kwani wamewaona kina Zitto sio waislamu wa kweli mpaka wamuongezee huyu?
Ama ndio kapewa kazi ya kujibu mapigo ya udini?
Wakiwa Tabora walisema kuwa CCM ndio wanaumiza waislamu kwani hawajawa tayari kuwatetea hivyo , Safari alisema kuwa yeye kaamua kuingia huko ili kwenda kusimamia maslahi ya waislamu ....sijui lakini ila hawa wakatoliki ni wajanja sana sana.

ni lazima mulewe ya kwamba habari yoyote ina upande wa pili hivyo basi ni lazima mvumilie habari ambazo haziwapendezi mbona mnapoongelea upupu wenu hatujibu mapigo kwa matusi
 
  • Thanks
Reactions: LAT
tatizo wewe umevamia jamvi kwa kasi ya ajabu sijuhi bado huko kwenye probation period kwenye hiyo ajira ya msekwa na makamba, si walisema watatubomoa kisayansi , kaa mkao kunyolewa sio muda wanakufukuza na utakuwa na stress ya kutusaliti watanzania, hivi una ndugu kijiji hapa tanzania? wapigie simu waulize ccm inachowafanya ndio utaelewa kwa nini watu hawana huruma na mtu kama wewe hapa jamvini?
mimi nakishukuru chama chama magamba kwa jambo moja tu,
kutumia vijana wajinga wajinga kujiosha katika jamii, matokeo yake ndio mnachafua kabisa

nitaendelea kukugongea like mpaka uchoke
 
ni lazima mulewe ya kwamba habari yoyote ina upande wa pili hivyo basi ni lazima mvumilie habari ambazo haziwapendezi mbona mnapoongelea upupu wenu hatujibu mapigo kwa matusi

kunguru huyu ...hata kuandika hajui
 
Mtanikumbuka hili sio wazo zuri kabisaaa, Marando wiki moja akaingia kamati kuu, prof safari naye mnasahau hawa ni makachero na makachero hawaachi kazi kumtumikia bwana wao haya heri Mimi Sijasema
 
tatizo wewe umevamia jamvi kwa kasi ya ajabu sijuhi bado huko kwenye probation period kwenye hiyo ajira ya msekwa na makamba, si walisema watatubomoa kisayansi , kaa mkao kunyolewa sio muda wanakufukuza na utakuwa na stress ya kutusaliti watanzania, hivi una ndugu kijiji hapa tanzania? wapigie simu waulize ccm inachowafanya ndio utaelewa kwa nini watu hawana huruma na mtu kama wewe hapa jamvini?
mimi nakishukuru chama chama magamba kwa jambo moja tu,
kutumia vijana wajinga wajinga kujiosha katika jamii, matokeo yake ndio mnachafua kabisa
ni vizuri ukaelewa kwamba hili jamvi ni huru kwa mtu yoyote kutoa maoni na siku zote maoni hayawezi kufanana hata siku moja na kibaya zaidi imeanza kujengeka zana kwamba wana cdm hawana ustaarabu
 
Sijaona kukurupuka alivyofanya Mbowe. Kuna wachezaji wengine wakisajiliwa hawahitaji kipindi cha mazoezi ili kuelewana na wachezaji wengine. Tunahitaji jahazi la kuvuka bahari ambako reli haifiki

Na hili nalo neno 'kukurupuka' linaanza kushika kasi kwa kutumiwa vibaya.
 
Mtanikumbuka hili sio wazo zuri kabisaaa, Marando wiki moja akaingia kamati kuu, prof safari naye mnasahau hawa ni makachero na makachero hawaachi kazi kumtumikia bwana wao haya heri Mimi Sijasema

makachero zaidi ya shitambala .....?
 
Poa Mbowe, lakini Prof. Safari nae hana jipya kwenye ulimwengu wa modernization, lakini kwa kujenga chama sawa, kwani ni muhuni kidogo na anajua kukoroma, mara moja kutangaza TAKBIR!!!!
Inamaana CDM wanatakiwa watu ALELUYA tu! Fikiri kablaya kusema..
 
...........Safi M/kiti wetu,na karibu mpiganaji mpya kwenye hili chama la ukweli...........
 
Lat inawezekana kabisa Maana shitambala angekuwa kachero asinge kimbia Yule alikuwa mamluki tu
to

mkuu alikua kachero ndiyo maana akashitukiwa na kunyimwa top post kama ubunge wa viti maalum.... sasa amerudi kwenye profession yake ya kwata ...
 
Wakati mwingine kukurupuka is the best approach and enterprise hasa unapogundua umechelewa kuzinduka usingizini and now you are late and left with no time to dress up your bed.........

by the way Prof Safari anafahamika vizuri na history yake ipo kwenye viganja vya wanasiasa wanamapinduzi ndani ya Tanzania.......

Take out your worries unless otherwise "ajali ya kisiasa" ............teheeee

Mkuu nimekusukumizia ki-like hapo juu ila kiukweli SIAMINI kama Safari amekuja kwa wema CDM, Ikifika 2015 atatupa kazi ya KUVUA GOZI KAMA SIO GAMBA
 
Na hili nalo neno 'kukurupuka' linaanza kushika kasi kwa kutumiwa vibaya.

Mkuu, mchezo hauanzii na kuishia kwenye pitch tu, hata nje ya uwanja pia tunapaswa tuusome mchezo. Sina tatizo na Safari tatizo langu ni kuwa na hakika na dhamira yake kuja CDM. Na hilo hakuna wa kulithibitisha ndio maana nilidhani ingekuwa busara kwa chadema kuvuta subra. Vyeo hivyo vipo.... sasa subirini mwone atakaa mwaka mmoja ataanza kulilia uenyekiti au ukatibu ndo mtaona timbwili lake.
 
mtanikumbuka hili sio wazo zuri kabisaaa, marando wiki moja akaingia kamati kuu, prof safari naye mnasahau hawa ni makachero na makachero hawaachi kazi kumtumikia bwana wao haya heri mimi sijasema

pamoja sana mkuu. Hata mimi nahisi mbowe anataka kuua chama
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom