Profesa Safari atakiwa Uzini Zanzibar

Ukifunga ndoa na mchawi nawe pia utalazimika kua mchawi kitendo cha CUF kufunga ndoa na CCM imewafanya nao wawe mafisadi na CHADEMA hatuna masihara na watu kama hawa
 
aseeee.....
Dr. Slaa anawapa taabu sana eeh!!
Uzi unasema wana uzini wanamtaka Prof. Safari, wewe umejisikia kuwashwa unashoboka na Dr. Slaa.
Kawashika pabaya ndiyo maana wakisikia jina lake wanaweweseka!! Kwani Mgombea wa CDM hafai. Mbona huyo hamjadili badala yake mnamrukia Slaa. Nyie vipi? (Suzan Kiwanga)
 
Kwa kampeni za kwenye mitandao na kupeana moyo CHADEMA mnaongoza lakini kihalisia bado sana hasa huku z'bar tusubiri matokeo ya kura akipata kura 200 ajisifu kashinda kiukweli z'bar hamuitakii mema mpo kimslahi zaidi
 
yupo na heche, Rema wanatoa elimu ya uraia kwa watu wa dar es salaam. kama vipi atakuja tu.
 
Back
Top Bottom