Profesa Safari atakiwa Uzini Zanzibar

Asha Abdala

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
1,130
44
Nimekaa na wanawake wa Uzini wamefurahi kumuona Dr Slaa akifanya mikutano nao mashambani. Hata hivyo wametaka Profesa Safari aje Zanzibar. Wanasema wamesikia sifa za Profesa huyu katika kuwasimamia haki za wanaharakati wa haki zao mahakamani.

Wanataka awaeleze sababu za yeye kujiunga na CHADEMA pamoja na shutuma ambazo zilikuwa zikitolewa na CCM na CUF kuhusu chama.

Kampeni hapa zinazidi kupamba moto, maskani kinachozungumzwa ni ushindani kati ya CCM na CHADEMA. CUF inaelekea kupoteza mvuto. Mwanzo wa mikutano ya hadhara ya CUF adui yao mkubwa ni CHADEMA, Bwana Jussa alieneza maneno kuwa CHADEMA haiwapendi wazanzibar ndio maana kwenye viti maalum haikuteua hata mbunge mmoja kutoka Zanzibar.

Kilichowashusha thamani ni kuanzia wiki iliyopita walipanda jukwaani wabunge wa viti maalum wa CHADEMA kutoka Zanzibar Raya Khamis na Mwanamrisho Abama watu wa Uzini wakajua kwamba kumbe CUF na Jussa kazi yao ni urongo.
 
Swadakta dada Asha tunashukuru kwa habari yako murua..tunatumaini Professor Safari na CHADEMA wataitikia wito wa wana-Uzini na kwenda huko kuongeza nguvu hadi ushindi upatikane
 
padri slaa mbona nasikia ametoroka bila kuaga?

aseeee.....
Dr. Slaa anawapa taabu sana eeh!!
Uzi unasema wana uzini wanamtaka Prof. Safari, wewe umejisikia kuwashwa unashoboka na Dr. Slaa.
 
Dr Slaa ukisoma hapa tafadhali mtume Professor Safari akaongeze nguvu
 
Nimekaa na wanawake wa Uzini wamefurahi kumuona Dr Slaa akifanya mikutano nao mashambani. Hata hivyo wametaka Profesa Safari aje Zanzibar. Wanasema wamesikia sifa za Profesa huyu katika kuwasimamia haki za wanaharakati wa haki zao mahakamani.

Wanataka awaeleze sababu za yeye kujiunga na CHADEMA pamoja na shutuma ambazo zilikuwa zikitolewa na CCM na CUF kuhusu chama.

Kampeni hapa zinazidi kupamba moto, maskani kinachozungumzwa ni ushindani kati ya CCM na CHADEMA. CUF inaelekea kupoteza mvuto. Mwanzo wa mikutano ya hadhara ya CUF adui yao mkubwa ni CHADEMA, Bwana Jussa alieneza maneno kuwa CHADEMA haiwapendi wazanzibar ndio maana kwenye viti maalum haikuteua hata mbunge mmoja kutoka Zanzibar.

Kilichowashusha thamani ni kuanzia wiki iliyopita walipanda jukwaani wabunge wa viti maalum wa CHADEMA kutoka Zanzibar Raya Khamis na Mwanamrisho Abama watu wa Uzini wakajua kwamba kumbe CUF na Jussa kazi yao ni urongo.
Du, Dada Asha, kumbe upo! Siku nyingi sijakusoma... usijipoteze hivyo bwana...
 
Dr Slaa ukisoma hapa tafadhali mtume Professor Safari akaongeze nguvu

Kampeni haziendeshwi kwa utaratibu huo leo kwa leo wote wapande jukwaani. Huyu anahitajika katika funga dimba kupigilia msumari wa mwisho.
 
wazanzibar wakijua ukweli watafanya kweli hawa jamaa si kama mama na baba zetu huku bara wakipewa kanga na fulana hata kura zao wanawapa magamba hatakama waliapa kutowapa. Nawapenda wazanzibar kwa kuzijua haki zao lakini pia niwapongeze CUF kwa kazi nzuri ya elimu ya uraia huko zenj japo wamewatelekeza wananchi baada ya kupewa kile roho inapenda. Sasa ni wakati wa wapenda mapinduzi zenj kuanza kutembea na chadema katika harakati za kuuondoa utawala wa chama kilicHopoteza mvuto na hakijui kinaelekea wapi!
 
nilishasema thread iliyopita ya waraka wa udini kuwa watu wasihofu..kule cdm haijaenda kuapisha sheikh au askofu..ni elimu kwenda mbele..ni wazenji wanajua cdm ilivyotifua wala nchi huku bara..tayari cdm ina rekodi iliyotukuka..ukweli na uwongo utajitenga na tumeshaanza kuona..lets wait..time will tell..
 
Nimekaa na wanawake wa Uzini wamefurahi kumuona Dr Slaa akifanya mikutano nao mashambani. Hata hivyo wametaka Profesa Safari aje Zanzibar. Wanasema wamesikia sifa za Profesa huyu katika kuwasimamia haki za wanaharakati wa haki zao mahakamani.

Wanataka awaeleze sababu za yeye kujiunga na CHADEMA pamoja na shutuma ambazo zilikuwa zikitolewa na CCM na CUF kuhusu chama.

Kampeni hapa zinazidi kupamba moto, maskani kinachozungumzwa ni ushindani kati ya CCM na CHADEMA. CUF inaelekea kupoteza mvuto. Mwanzo wa mikutano ya hadhara ya CUF adui yao mkubwa ni CHADEMA, Bwana Jussa alieneza maneno kuwa CHADEMA haiwapendi wazanzibar ndio maana kwenye viti maalum haikuteua hata mbunge mmoja kutoka Zanzibar.

Kilichowashusha thamani ni kuanzia wiki iliyopita walipanda jukwaani wabunge wa viti maalum wa CHADEMA kutoka Zanzibar Raya Khamis na Mwanamrisho Abama watu wa Uzini wakajua kwamba kumbe CUF na Jussa kazi yao ni urongo.

Umerudi?? tuliku miss sana dada Asha.
 
Back
Top Bottom