MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 510
- Thread starter
- #81
wanazi tunaomba umakini wenu msipende kuongea kwa hisia kama wanamama
Una hoja nzuri na ningependa kukujibu lakini nasikitika sitoweza. HUNA HESHIMA KWA MAMA ZETU! Shame on you