Prof.wa computer akitongoza demu

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
644
Prof.wa computer alisikika akitongoza demu!Penzi langu lina GB kubwa sana kwako mpenzi.Nataka ni INSTALL moyo wangu kwenye CPU ya nafsi yako.Naomba uni DOUBLE CLICK kwenye maisha yako niwe SOFTWARE moyoni mwako.Your life will not be at risk.....Condom itakuwa ni ANTIVIRUS tosha.Twende angaza tukaji SCAN rafiki.
 
Duh, baada ya muda atadai anataka kuformat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom