Prof. Shivji, Deus Kibamba et al 11th JUNE ndan ya UDOM-KONGAMANO LA KATIBA

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
wadau kesho trh 11th JUNE hapa UDOM patakuwepo na Kongamano la katiba, watoa mada watakua ni prof. Shivji, Deus Kibamba na wengine wengi. Kuanzia saa 3-9 asubuh-jioni. Jitokezeni kwa wingi tujadili mustakhabari wa nchi yetu!
 
Hawa jamaa nawazimia sana kwa sababu ya hoja zao murua,nadhani litakuwa kongamano zuri.Kila la heri.
 
Huyu kijana wa kinyalu (kibamba)namkubali sana! Sijajua itikadi yake ipo kwa mkweere au kwa dr halisi?
Mtatujuza kinachoendelea kesho!!
 
Jamani mbona katiba iliyopo bado inafaa.Dr kitine alisha sema katiba mpya bila uadilifu ni sawa nakumfunga bata nepi! Hakuna katiba isiyo kuwa na mapungufu duniani.Sauth africa ilitengeneza katiba nzuri sana lakini miaka 3 iliyopita zuma alifanya ufisadi wa kutupa.Tuna jisumbua kuhangaika na katiba utadhani ni msaafu vile wiz m2pu.Mi nadhani 2anze kujenga familia ambako hapako shwari kwani pakiwepo na maadili kwenye familia basi Taifa litapona zaidi ya hapo ni kujidanganya.
 
Nyamaza kulia,wanaume wanaongea mustakabali wa nchi...
 
Km mpo dodoma JITOKEZENI TUKATOE MAPENDEKEZO YETU, Si mnakumbuka that time Bungeni tulipigwa mabom? This time hapana, NDIO NAFASI YETU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom