Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba

Ndio sababu hawakumuweka kwenye tume ya katiba maana angemkosoa live hata Warioba na ToR alizopewa azishikilie!!kile kichwa ni balaa!!!
Mkuu Lambardi, kuna viongozi ambao kazi yao ni kuongoza, na kuna watawala ambao kazi yao ni kutawala!.

Tungeunda katiba mpya kwa kutumia mtindo wa viongozi, Prof. Shivji, lazima angekuwemo ili tupate katiba bora!.

Lakini tunaunda katiba mpya kwa kufuata misingi ya utawala, mtawala mzuri ni yule anayewajua vizuri watu wake, kitendo cha kumchagua Prof. Kabudi na sio Prof. Shivji, is not by a mere chance, but for a reason!.

Shiviji is never a compromising person, hivyo ili upate kila unachokitaka kiutawala, lazima uwachague watu watakao tawalika, if the have to bend, they will bend ili kipatikane kinachotakiwa lakini sio kinacho paswa kiwe!.
P.
 
Kukosoa ni kazi rahisi sana.
Its true, kukosoa ni kazi rahisi, ila ukikosoa with hard facts, ukosoaji huu ni healthy. Katika kipindi cha kesho, prof. Shivji atalikosoa bungu la katiba litakakalo undwa, litaindwa bila "constitutionalism legitimacy"!.
 
Nashukuru sana kaka Pasco ubarikiwe hadi upigwe na butwaa! Kila jema na lenye kheri lisikuponyoke mkuu.
Thanks, baraka zitaongezeka tuu, hapa nilipo mimi tayari ni mbarikiwa, ndio maana maisha yangu yote, nafanya kazi kwa kujitolea, japo ni "rugged trousered philanthropist" nina upendo wa mshumaa kwa taifa langu, nikimulikia jamii ipate mwanga fulani!.
 
Hongera Pasco naona self esteem iko juu umeamua kujipigia rula mwenyewe! Safi kwa kuuona mchango wako kwa taifa kabla haujaonwa na wengine.
 
Last edited by a moderator:
Hongera Pasco naona self esteem iko juu umeamua kujipigia rula mwenyewe! Safi kwa kuuona mchango wako kwa taifa kabla haujaonwa na wengine.
Mkuu Mohamed Mtoi, asante, ila sio kujipigia rula, bali kujitolea kwa dhati kwa ajili ya wengine na kuji appreciate mwenyewe kwa kazi ya mikono yako na sio kusubiri zile appreciation za watu wakati wa eulogy!.
P.
 
Ana kinyongo hakuwemo.

Hisa yake katika jumuiya ya weledi na watoa maoni kwa niaba ya Watanzania imeporomoka.
 
UP DATE
Sehemu ya pili ya mada ya Prof. Shiji na Mchakato wa Katiba Mpya kinaendelea ITV saa hizi na kitakuwepo TBC-1 saa 1:30. Leo Prof. Shivji anajibu maswali ya washiriki.
Karibuni tuendelee.
 
Prof. Shivji ameanza na ukosoaji wa Tume ya Katiba, akasema Tume za katiba ziko supposed to be a "professional body" hazikuhitaji uwakilishi, kwenye kukusanya maoni, uwakilishi wa nini?. Amesema, uwakilishi, anahitajika kwenye Bunge la Katiba. Pia ameuliza kwa nchi masikini kama Tanzania, wajumbe 30 wa tume ya kukusanya maoni, "wote hao wa nini?.
 
Prof. Shivji poa amekosoa bunge la katiba litakaloitishwa, amesema sheria iliyopo inawataja wabunge wote bunge la JMT, na wajumbe wote wa BLW automatically wanakuwa ni wajumbe wa bunge la katiba, akasema "wabunge hawa ni wawakilishi wa wananchi kwa mujibu wa katiba iliyopo, sasa nani kawatuma wajumbe hawa kuwa wawakilishi wa wananchi katika bunge la katiba?. Waunge wote na wawakilishi wote wamechaguliwa kutoka vyama vya siasa. Jee Watanzania wasio wanachama wa chama chochote cha siasa, watawakilishwa na nani?,

Akatoa angalizo, ukujumlisha wabunge wote na wajumbe wote wa BLW katika ujumla wao, wabunge wa chama kimoja peke yao, wanafikia theluthi mbili za kupitisha katiba mpya!.

Prof. Shivji amesema this is a good chance kwa Watanzania kupata katiba bora, ila tusiharakishe, bora tuchelewe lakini tupate katiba yenye uhalali wa kikatiba na kisheria.

P.
 
Alikuwa wapi kutoa ushauri wake huo kabla tume haijaundwa? Au alitoa na hakusikilizwa?
, Kabla tume haijaundwa serikali ilitoa fursa ya kupokea maoni, sijui kama alitoa na hakusikilizwa!, kama nakumbuka vile Prof. Shivji alitoa maoni.
 
Prof. Shivji amesema Bunge la Katiba ni bunge maalum kwa kazi maalum!, Wabunge wa bunge la sasa, hawakupaswa kuwa wajumbe wa bunge la katiba automatically.

Kwa msiojua Katika uundaji wa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977, wabunge wa bunge la Tanzania ndio walijitransform na kujigeuza wajumbe wa Constituent assembly, na bunge likajiuza bunge la katiba, likaipitisha katiba ile within 45 minutes!.

NB. Kipindi kinaendelea saa hizi kule TBC-1
 
Hizi ni baadhi ya sura katika vitabu vya Shivji zinazoongelea mchakato wa kuandaa katiba mpya inayotoka kwa wananchi:

We, the People

The Pitfalls of Constitution-Making

Constitution-Making by the People: The National Conference

Constitution-Making by the People: The Constituent Assembly

Constitution-Making by the People: The Referendum

Serious Gaps in Msekwa's History of Constitution-Making

Mutilating Constitutional History

The Constitutionality of our Constitutions

Three Generations of Constitutions and Constitution-Making in Africa

Towards a New Constitutional Order: The State of the Debate in Tanzania

Constitutional Limits on Parliamentary Powers
 
Mkuu Udadisi, asante sana kwa hii kitu, sikuiona kabisa!, leo imetokea by chance tuu kupita hapa ndipo nimeikuta!. Kiukweli, narudi kidogo darasani!.
Thanks.
Pasco.
 
Back
Top Bottom