Prof. Shivji adhalilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bungeni

Naomba nihitimishe mjadala kwa kusema TZ tuna AG TAAHIRA!!! Mods tafadhali bwana anaudhi huyu mtu! Sijawahi kusikia mtu anamdharau hadi Lecturer wake Kisa eti kwa vile yeye kazawadiwa u-AG Nyamb...ff!
 
wanajua fika kuwa wanachi wengi hatuutaki muungano, hata huyo Nahodha pia hautaki na kwa kuwa anaogopa kusema ukweli kuwa hautaki anabaki kuumia tu kindanindani maana akisema hautaki ccm watamvua gamba. Pia kwa kitendo alichofanya Werema ni vema amuombe radhi mwalimu ake..Prof Shivj au mnasemaje wadau wa maendeleo?
 
Back
Top Bottom