HeartBreak
JF-Expert Member
- Apr 21, 2008
- 346
- 27
mwisho wa regime unakalibia......libya,misri mambo yalikuwa hivi hivi!!!! lakini leo watu wako happy
Wala huhitaji ku-gogole kitu chochote kiongozi, rejea muswada wa katiba mpya ulivyokuwa mbovu, hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza could have done better!
Tatizo ni hajui kitu na hataki kukubali kwamba Hajui,Prof.Shivji hata akiondoka dunia hii Leo atakuwa ameacha athari kubwa ktk Tasnia ya sheria Katika Taifa hili na Prof. ni wale watanzania wenye uzalendo wa hali ya juu,Na ndiyo maana pamoja na uelewa na uwezo aliokuwa nao kitaaluma hajawahi kufikiria kuhama Tanzania kwenda kutumika sehemu nyingine.Well said!
Mtu dhaifu huchagua wasaidizi dhaifu watakaoulinda udhaifu wake kwa mbinu dhaifu.Werema ni janga kwa taifa ataleta katiba mbovu kama kichwa chake
Ukiwa kiongozi wa CCM lazima uwaze na kufikiri na akili za maiti. Bila kuwa hivyo huwezi niwaulize, moto wa Tibaijuka uko wapi???, Magufuli yuko wapi??? Kidadadekiiiiiiii
Nikweli kuwa Shivji hakusomea constitutional law lakini hilo pekeyake halitoshi kumfanya mtu kuupuuza mchango wake katika upembuzi wa kina wa sheria ya katiba ambao unatokana na tafiti za hali ya juu! Bado hatuja sahau maneno ya Werema kuwa katiba haina mapungufu na hakuna haja ya katiba mpya kama ilivyo semwa katika mdahalo wa akina shivji chuo kikuu na muda mfupi baadaye Raisi akaanzisha mchakato wa katiba mpya!
hakuna mwanasheria mkuu bogus kama werema, wale walioko kwenye kitengo chake ndo wanaelewa hili. kwanza analea magonjwa ajabu. nakumbuka kuna mwanasheria mmoja kule mwanza alikuwa incharge wa state attorney, ikatokea subordinate wake akaficha jalada baada ya kula mlungula, ilivyokuja kugundulika yule incharge alimuweka ndani...werema akaja juu na alimsumbua sana yule state attorney incharge....sitaki kutaja jina,kwa wale wanaofanyia polisi mwanza kama wlaikuwa wanaenda enda mahakamani au wako karibu na RCO watakumbuka hili.....sector ya state attorney ni mbofu mbofu kabisa hakuna lolote.