Prof Safari ni mhadhiri wa chuo gani?

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
wadau napenda kujua prof abdallah jumbe safari ni mhadhiri wa chuo gani nchini? Kwasababu ametokea kuwa mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini na anayeheshimika.
 
MOD ihamishie hii THREAD kule jukwaa la Elimu dogo akasubiri jibu lake huko. Jibu ninalo lakini simpi mpaka uzi ufikishwe kunako husika kwanza.
 
mi huwa namuona TBC1 akitoa maana ya nahau za kiswahili.Anayejua chuo plizzz tuwekee hapa.
 
wadau napenda kujua prof abdallah jumbe safari ni mhadhiri wa chuo gani nchini? Kwasababu ametokea kuwa mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini na anayeheshimika.

So,anae kuwa na hizo sifa lazima awe mhadhiri?
 
MOD ihamishie hii THREAD kule jukwaa la Elimu dogo akasubiri jibu lake huko. Jibu ninalo lakini simpi mpaka uzi ufikishwe kunako husika kwanza.

to know road a head ask those who are coming back.

hayo si maneno yangu bali nimaneno ya wachina, so sioni losa la jamaa.
 
Kwani ww umesoma wapi? Mm kipindi nipo ud alikuwa prof wa sheria cna uhakika kwa sasa yuko wapi! Kwani tatizo nini?
 
Prof. Abdallah J. Safari alikuwa mwalimu chuo cha diplomasia kilicho chini ya wizara ya mambo ya nje kwa miaka mingi

Prof. Abdallah J. Safari amekuwa mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa muda mrefu sana Tanzania

Hivi karibuni amerubuniwa na cdm (baada mshiko mzuri) ili chadema isionekana kuwa ni chama cha kanisa..

Anatumikia tumbo lake; huko chadema wakishamtumia watamtupa
 
Prof. Abdallah J. Safari alikuwa mwalimu chuo cha diplomasia kilicho chini ya wizara ya mambo ya nje kwa miaka mingi

Prof. Abdallah J. Safari amekuwa mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa muda mrefu sana Tanzania

Hivi karibuni amerubuniwa na cdm (baada mshiko mzuri) ili chadema isionekana kuwa ni chama cha kanisa..

Anatumikia tumbo lake; huko chadema wakishamtumia watamtupa kama toilet paper muda si mrefu

Ataendelea kubeba mabegi ya wakuu wa kanisa kama anavyofanya zitto hadi political career itakapo expire..

Are you normal?
 
wadau napenda kujua prof abdallah jumbe safari ni mhadhiri wa chuo gani nchini? Kwasababu ametokea kuwa mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini na anayeheshimika.

Mimi huwa napenda tu ule ' Mzuzu ' wake ambao huwa hautofautiani sana na alio nao Mchezaji Athuman Iddi ' Chuji '.
 
Back
Top Bottom