Prof. Political scientist kumuita Rais Magufuli fascist, kuna tatizo chadema!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Baregu ambaye ni Mwanasiasa wa kusomea, yaani fani yake ni Uanasiasa kama vile watu husomea Hisabati au Uchumi yeye kasomea Siasa ambao wanajiita kama Political scientists ingawaje kwangu siyo mascientist lkn hiyo ni mada nyingine, amemuita Raisi wetu Magufuli fascist, kwa wasiofahamu mafascist ni kama Kiongozi wa Italia Benito Mussolini au Adolf Hitler sasa kwanza natoa maana ya fascism (wikipedia)

Fascists believe that liberal democracy is obsolete, and they regard the complete mobilization of society under a totalitarian one-party state as necessary to prepare a nation for armed conflict and to respond effectively to economic difficulties.[7] Such a state is led by a strong leader—such as a dictator and a martial government composed of the members of the governing fascist party—to forge national unity and maintain a stable and orderly society.[7] Fascism rejects assertions that violence is automatically negative in nature, and views political violence, war, and imperialism as means that can achieve national rejuvenation.[8][9][10][11] Fascists advocate a mixed economy, with the principal goal of achieving autarky through protectionist and interventionist economic policies.

Je, Baregu anapata wapi uhalali wa kumuita Raisi wetu fascist? Hii ni haki kweli kumlinganisha Raisi Magufuli na Benito Mussolini? Hii chuki inatoka wapi halafu huyu anajiita Prof., ni Prof. gani hata asiweye kuwa na uwezo wa kupima anachokiongea kabla ya kukiongea?
Hivi Baregu ni lini mara ya mwisho alichapisha chochote kwenye jarida lolote lile la political scientists Duniani kwa maana napata shida kuelewa kama huyu kweli ana akili timamu!
 
"Napata shida kuelewa kama huyu ana akili timamu." Hii kauli imetia doa andiko lako.Si kauli ya kiungwana.Umemkosoa kwa hoja nzuri kabisa,ilitosha sana kuishia hapo.Tupunguze mihemuko mkuu,kila mtu ana mtazamo wake kwa kila jambo.Tupingane bila ya kutukanana wala kupigana.
 
Baregu ambaye ni Mwanasiasa wa kusomea, yaani fani yake ni Uanasiasa kama vile watu husomea Hisabati au Uchumi yeye kasomea Siasa ambao wanajiita kama Political scientists ingawaje kwangu siyo mascientist lkn hiyo ni mada nyingine, amemuita Raisi wetu Magufuli fascist, kwa wasiofahamu mafascist ni kama Kiongozi wa Italia Benito Mussolini au Adolf Hitler sasa kwanza natoa maana ya fascism (wikipedia)

Fascists believe that liberal democracy is obsolete, and they regard the complete mobilization of society under a totalitarian one-party state as necessary to prepare a nation for armed conflict and to respond effectively to economic difficulties.[7] Such a state is led by a strong leader—such as a dictator and a martial government composed of the members of the governing fascist party—to forge national unity and maintain a stable and orderly society.[7] Fascism rejects assertions that violence is automatically negative in nature, and views political violence, war, and imperialism as means that can achieve national rejuvenation.[8][9][10][11] Fascists advocate a mixed economy, with the principal goal of achieving autarky through protectionist and interventionist economic policies.

Je, Baregu anapata wapi uhalali wa kumuita Raisi wetu fascist? Hii ni haki kweli kumlinganisha Raisi Magufuli na Benito Mussolini? Hii chuki inatoka wapi halafu huyu anajiita Prof., ni Prof. gani hata asiweye kuwa na uwezo wa kupima anachokiongea kabla ya kukiongea?
Hivi Baregu ni lini mara ya mwisho alichapisha chochote kwenye jarida lolote lile la political scientists Duniani kwa maana napata shida kuelewa kama huyu kweli ana akili timamu!
baregu tangu siku nyingi ni mwanasiasa mchumia tumbo. baadhi ya uchambuzi na matamko yake ni ya kisiasa kuliko taaluma yake ya political scientist. ukiona jinsi alivyoshupalia katiba ya kuvunja muungano ya warioba na alivyokua mstari wa mbele kumpokea lowassa cdm utaona ni mwanasiasa tu kama mbowe hakuna taaluma ya political science yenye maslahi ya umma.
 
Baregu ambaye ni Mwanasiasa wa kusomea, yaani fani yake ni Uanasiasa kama vile watu husomea Hisabati au Uchumi yeye kasomea Siasa ambao wanajiita kama Political scientists ingawaje kwangu siyo mascientist lkn hiyo ni mada nyingine, amemuita Raisi wetu Magufuli fascist, kwa wasiofahamu mafascist ni kama Kiongozi wa Italia Benito Mussolini au Adolf Hitler sasa kwanza natoa maana ya fascism (wikipedia)

Fascists believe that liberal democracy is obsolete, and they regard the complete mobilization of society under a totalitarian one-party state as necessary to prepare a nation for armed conflict and to respond effectively to economic difficulties.[7] Such a state is led by a strong leader—such as a dictator and a martial government composed of the members of the governing fascist party—to forge national unity and maintain a stable and orderly society.[7] Fascism rejects assertions that violence is automatically negative in nature, and views political violence, war, and imperialism as means that can achieve national rejuvenation.[8][9][10][11] Fascists advocate a mixed economy, with the principal goal of achieving autarky through protectionist and interventionist economic policies.

Je, Baregu anapata wapi uhalali wa kumuita Raisi wetu fascist? Hii ni haki kweli kumlinganisha Raisi Magufuli na Benito Mussolini? Hii chuki inatoka wapi halafu huyu anajiita Prof., ni Prof. gani hata asiweye kuwa na uwezo wa kupima anachokiongea kabla ya kukiongea?
Hivi Baregu ni lini mara ya mwisho alichapisha chochote kwenye jarida lolote lile la political scientists Duniani kwa maana napata shida kuelewa kama huyu kweli ana akili timamu!
Mkuu badala ya kulalama... Basi na wewe define unavyoona style ya magu kwa matazamo wako ili ku counter. Unalalama sana lakini unashindwa kumsahihisha prof.

You can do better than that
 
Baregu ambaye ni Mwanasiasa wa kusomea, yaani fani yake ni Uanasiasa kama vile watu husomea Hisabati au Uchumi yeye kasomea Siasa ambao wanajiita kama Political scientists ingawaje kwangu siyo mascientist lkn hiyo ni mada nyingine, amemuita Raisi wetu Magufuli fascist, kwa wasiofahamu mafascist ni kama Kiongozi wa Italia Benito Mussolini au Adolf Hitler sasa kwanza natoa maana ya fascism (wikipedia)

Fascists believe that liberal democracy is obsolete, and they regard the complete mobilization of society under a totalitarian one-party state as necessary to prepare a nation for armed conflict and to respond effectively to economic difficulties.[7] Such a state is led by a strong leader—such as a dictator and a martial government composed of the members of the governing fascist party—to forge national unity and maintain a stable and orderly society.[7] Fascism rejects assertions that violence is automatically negative in nature, and views political violence, war, and imperialism as means that can achieve national rejuvenation.[8][9][10][11] Fascists advocate a mixed economy, with the principal goal of achieving autarky through protectionist and interventionist economic policies.

Je, Baregu anapata wapi uhalali wa kumuita Raisi wetu fascist? Hii ni haki kweli kumlinganisha Raisi Magufuli na Benito Mussolini? Hii chuki inatoka wapi halafu huyu anajiita Prof., ni Prof. gani hata asiweye kuwa na uwezo wa kupima anachokiongea kabla ya kukiongea?
Hivi Baregu ni lini mara ya mwisho alichapisha chochote kwenye jarida lolote lile la political scientists Duniani kwa maana napata shida kuelewa kama huyu kweli ana akili timamu!

Good mind discuss issues
weak mind discuss events
poor mind discuss peaple
shame on u,poor minded woman
 
Acha kujilinganisha na Baregu sio saizi yako,saizi yako ni sie wenye majina bandia wenzio.Mkuu mbona unawaza matako tu kila wakati Utakuwa una undugu na Faki

Huwezi ni kunilinganisha mimi na kilaza huyo, tangu ini kusomea Siasa kukakufanya uwe intelligent? Huyo Baregu ni kilaza na ndiyo maana ameshindwa kuchagua maneno ya kuongea, watu intelligent hupima maneno yao kabla ya kuyatoa, na ndiyo maana ameshindwa kuishauri chadema chochote kile kizuri na kuisogeza mbele!
 
Ni Bora usingeiweka hii definition maana wenye akili wakiisoma na kufanya comparison Juu ya kinachoendelea wanatafuta "the man is correct 100%"

Fascists believe that liberal democracy is obsolete, and they regard the completemobilization of society under a totalitarianone-party state as necessary to prepare a nation for armed conflict and to respond effectively to economic difficulties.[7] Such a state is led by a strong leader—such as adictator and a martial government composed of the members of the governing fascist party—to forge national unity and maintain a stable and orderly society.[7]Fascism rejects assertions that violence is automatically negative in nature, and views political violence, war, and imperialism as means that can achieve nationalrejuvenation.[8][9][10][11] Fascists advocate a mixed economy, with the principal goal of achieving autarky through protectionist and interventionist economic policies.
 
Mkuu, Umetoa tafsiri, hiyo sawa. ili kujenga hoja yako ungezitaja sifa za Magufuli na jinsi zinavyotofautiana na hiyo tafsiri au sifa za mafashisti. kisha ungehitimisha kwa kusema Prof kakosea.
thinking yako pia iweke sawa; scientist wewe unaielewa kwa maana gani hapa sijui una maana ya fizikia, hisabati kemia n.k.?
na Je, una maana walioita hiyo taaluma political science walikosea!
Ikiwa ni hivo basi ungefanya research na kuandika chapisho lako watu wakasoma.
Kama sisi humu ni ma great thinkers kweli ni kwa nini hatujengi hoja na badala yake tuna attack watu aidha kwa sifa zao au hata maumbile yao. mfano huyu mwalimu! mwanasiasa! dokta! ...
Mtu akisema X ni mchawi tunaweza kuanza kufikiri ah! ni kwa nn kamwita mchawi ni mambo gani X anafanya hadi afikiriwe mchawi na je, mtu ana imani gani hadi amwite mwenzake mchawi?
 
Mkuu, Umetoa tafsiri, hiyo sawa. ili kujenga hoja yako ungezitaja sifa za Magufuli na jinsi zinavyotofautiana na hiyo tafsiri au sifa za mafashisti. kisha ungehitimisha kwa kusema Prof kakosea.
thinking yako pia iweke sawa; scientist wewe unaielewa kwa maana gani hapa sijui una maana ya fizikia, hisabati kemia n.k.?
na Je, una maana walioita hiyo taaluma political scientist walikosea!
Ikiwa ni hivo basi ungefanya research na kuandika chapisho lako watu wakasoma.
Kama sisi humu ni ma great thinkers kweli ni kwa nini hatujengi hoja na badala yake tuna attack watu aidha kwa sifa zao au hata maumbile yao. mfano huyu mwalimu! mwanasiasa! dokta! ...
Mtu akisema X ni mchawi tunaweza kuanza kufikiri ah! ni kwa nn kamwita mchawi ni mambo gani X anafanya hadi afikiriwe mchawi na je, mtu ana imani gani hadi amwite mwenzake mchawi?

Acha kuandika upupu alichokifanya Baregu Wazungu wanaita character assasination dhidi ya Rais wa JMTZ na mimi siwezi kukaa kimya kwani Baregu ni kilaza kama asingekuwa kilaza angeelewa ni nini maana ya fascism na wapi inapaswa kulitumia hilo neno!
 
Kuna mwalimu mmoja watu walipenda kumuita 'Boss'. kila mahalia aliitwa boss hadi watu wengi wasijue hasa jina lake halisi.
Maafisa wake wakamwita na kumhoji kwa nini anajiita boss na kwamaba aachae mara moa kuiita boss la sivyo angechukuliwa hatua
Mwalimu akasema kwa unyeyekevu. My bosses, I salute you, but I am sorry I cant do that unless you go and tell those who call me boss to stop doing so ...
Sasa ukisema Baregu hastahili kuitwa profesa inakuwaje? Nadhani unawashambulia indirectly waliompa uprofesa.
 
Back
Top Bottom