Prof. Nzali afariki dunia

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Jamani nina msg. kwenye simu yangu ya Kiganjani kuhusu mwanamapinduzi wa mambo ya Teknohama Prof. Nzali.

N+zali.jpg

Naomba mlioko Mlimani au karibu naye mtuhabarisheni!
 
kwamba ana nyumba ndogo, hilo sio tatizo hapa,leta khabari....

waberoya
 
Toa hiyo sms tujue ili tukuhabarishe

kwamba ana nyumba ndogo, hilo sio tatizo hapa,leta khabari....

waberoya

Nadhani kuhusu habari njema kuhusu 'technohama' right?

None of you meet the requirement I posted below thus why, your posts are another mauza uza!

It is not a MUST to post even when you are supposed only to read!

Naomba mlioko Mlimani au karibu naye mtuhabarisheni!
 
None of you meet the requirement I posted below thus why, your posts are another mauza uza!

It is not a MUST to post even when you are supposed only to read!

By the way, huna hoja na ndio maana watu wanashindwa wakusaidie vipi..
 
Professor Dr. Nzali amefariki jana asubuhi, kabla ya kufariki alikuwa ni Dean wa Faculty of Electrical and Computer System Engeering (ECSE)katika CoET (UDMS).

Raha ya Milele umpe Eee Bwana na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa Amani.
 
RIP Prof. Nzali. I knew the man. though he never taught me, but I heard from my compatriots who happened to pass in his hands that he was best at his job.

Poleni wafiwa na Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu.

Kwa waliokuwa wanafunzi wake, nawapa pole sana.

Masanja,
 
RIP Prof..

Sasa we ndg. Kasheshe habari nyeti kama hii ndo kuifanyia riddle?
 
Mungu wetu aliye muumba, akamkuza hadi kumuelimisha na kuwa Profesa, mpendwa wetu Prof. Nzali, hatimaye amemchukua.
Bwana alitoa na Bwana ametwa Jina la Bwana libarikiwe. Amen.

Poleni sana Wafiwa, kuanzia mke, watoto na ndugu, jamaa, na marafiki wote wa karibu.

Raha ya milele umpe Ee Mungu Muumba, na Mwanga wa Milele umuangazie, Apumzike kwa Amani. Amen.
 
Pigo kubwa kwa Watanzania, wanajumuiya wa UDSM, wanaTeknohama na na wasomi kwa ujumla. Utakumbukwa kwa mchango mkubwa wa elimu ya Teknohama ndani na nje ya madarasa ya CoET.

Mungu ailaze roho yako pema peponi, AMINA!
 
Apumzike kwa amani.
Kasheshe, siku nyingine habari kama hii haifai kufanywa kwa mafumbo mafumbo. Habari za kifo cha mkongwe kama huyu si lazima zijulikane kwa wanajumuiya ya mlimani tu. Ungeeleza umesikia nini kwenye msg yako watu wengi wangetoa clue tangu awali.
Lakini shukrani kwa kuileta hii habari
 
Professor Dr. Nzali amefariki jana asubuhi, kabla ya kufariki alikuwa ni Dean wa Faculty of Electrical and Computer System Engeering (ECSE)katika CoET (UDMS).

Raha ya Milele umpe Eee Bwana na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa Amani.

OOh my GOD nimesikitika sana MUNGU aiweke Roho yake mahali pema peponi!J
 
RIP Nzali, nitakumbuka upole wako na utulivu.Ni pigo hili kwa UDASA NA TAIFA
 
Wajameni,

Kama nilivyosema nilipata msg. kwenye simu yangu ya kiganjani lakini sikuwa na source nyingine ya kuweza kujihakikishia kuhusu msiba huu mzito kwa taifa!!!

Kumbukeni kuna watu waliuwawa kwenye mitandao... hali ya kuwa wako hai!

RIP prof. Nzali tutakukumbuka kwa mijadala motomoto... kule kwenye kijiwe cha Empty Think Tank.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom