Prof. Mwandosya azidi kuikoroga CCM aandika kitabu kuelezea rafu na rushwa ndani ya chama

Naamini ataacha legacy yake katika uandishi wake kwa chama cha mabwepande kabla ya kutuaga kwenda kwa mola japosiombei ,maana kila mmoja mavumbini atarudi.BIG UP Comrade Ndosya,naona ameanza kwa kumchanachana Makamba kwenye kitabu chake hicho.
 
Anaendeleza ile dhana ya muasisi wa chama ya TUJIKOSOE. Hii dhana inaitofautisha CCM na NGO yenu.
You used to call I Chama cha kikanda now that word has gone wakikukisikia ma CCM wenzako watakuangukia.NGO inakukosesha usingizi kwa nini sasa uweweseke?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
You used to call I Chama cha kikanda now that word has gone wakikukisikia ma CCM wenzako watakuangukia.NGO inakukosesha usingizi kwa nini sasa uweweseke?

We mwehu nini? Ni weweseke kwa ajili gani? Kinyago nilichokichonga mwenyewe chawezaje kunitisha?
 
CCM wangepswa kumshukuru Prof. Mwandyosa kwa kuandika hicho kitabu, ikiwa kama jitihada za kukizindua chama; lakini sikio la kufa halisikii dawa.
 
We mwehu nini? Ni weweseke kwa ajili gani? Kinyago nilichokichonga mwenyewe chawezaje kunitisha?
Wacha matusi wewe! nini kukiogopa unaweza hata kukiabudu kama mnavyofanya daima. Kama hamuviogopi vinyago mlivyo vichonga wenyewe(rushwa na ufisadi)basi mnaviabudu na kuvitukuza kama kazi!
 
Yeye na wenzie wengine wa ccm ni wanafki, ccm imekuwa ikitumia hila na rushwa toka vyama vingi vianzishwe hapa nchini, na wahanga wakubwa walikuwa na vyama vya upinzani, na wapinzani wamekuwa wakilalamika lakini viongozi wengi wa ccm walikuwa wakikanusha hadi sasa rushwa na hila walipoanza kutumia dhidi yao wenyewe ndio sasa nao wanalalamika, wote ni wanafiki, ccm wote ni wala rushwa tupambane kuwaondoa.
Mungu ibariki tanzania
 
Labda ndio maana katika kura za mchujo wa kumpata rais kwenye NEC 2005 alisema "kura zinatosha"...Hapa aliingia katika mchujo yeye: Mwandosya Mark, Prof. Salim Ahmed Salim, Dr. na Kikwete Mrisho Jakaya, Dr.
 
Kwenye Kata ya Nkoanrua katika wilaya ya Meru nilisikia walimnyima mshindi aliyeshinda na kura ya maoni na kumpachika mtu wao!!! Pamoja na malalamiko yaliyokwenda mpaka kwa katibu mkuu hakuna lililofanyika----hii inadhihirisha ni chama cha kujuana na si cha wananchi tena----Nape upo hapo? .........Nitafurahi sana kupata kitabu mkuu----Nadhani wapo wengi waliyoichoka ccm sio Mwandosya tu-ila wanakosa fora ya kutolea hisia zao!!! Big up Mwand....
 
Hicho kitabu lazima kiwe kina onesha jinsi kikwete alivyo dhaifu.
 
Safi sana prof M.M kwa kuona rafu,udhaifu,wizi,umabwepande wa ccm! Tunaomba uweke softcopy online tuweze kuwaelimisha umma madudu yanayofanywa na chama cha mabwepande!
 
Je yeye hakuwa sehemu ya hizo siasa za rafu na rushwa? Je angeshinda uchaguzi wa kumtafuta mgombea wa CCM 2005 leo hii angesema haya? Na je kama mwanaCCM amechukua hatua gani kuhusu tatizo hilo? Maana bado ni waziri kwenye serikali hiyo hiyo iliyoingia madarakani kwa siasa hizo hizo.
 
Huyu professor wa electrical engineering. Bora hata angeandika kuhusu 'conservation of charge and energy in electrical circuits'

Thubutu hayo mambo mazito tushawaachia wazungu sisi maprofesa wetu hadi wa science wanaandika tu riwaya kama za shigongo...kwi kwi kwi.
 
upumbafu, na unafiki mtupu....kwa nini asikihame? unaweza kusafiri kwa kukata ticket kwenye basi bovu?
 
Huyu professor wa electrical engineering. Bora hata angeandika kuhusu 'conservation of charge and energy in electrical circuits'

He wants to put the records straight...things aren't the way we look at them. As a professor, the only way to communicate is to put the writings for generations to know what really transpired when he was involved in politics.
 
Wacha matusi wewe! nini kukiogopa unaweza hata kukiabudu kama mnavyofanya daima. Kama hamuviogopi vinyago mlivyo vichonga wenyewe(rushwa na ufisadi)basi mnaviabudu na kuvitukuza kama kazi!

Hivi una elimu gani?
 
Source Nipashe

Waziri asiye na kazi maalum Pro Mack Mwandosya amezidi kukiweka chama chake pabaya mara baada ya kutoa kitabu kinachoelezea jinsi gani chama cha Mapinduzi kinavyocheza rafu katika siasa zake zikiambatana na tushwa na kujuana zaidi.

Impossible......prof. kafungukaaa ahaaa haaaa... magamba uchiiiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom