Prof. Mukandala afanya kufuru UDSM

Ndugu zangu kama kwaida huwa sikurupuki kuchangia madahumu nafanya utafiti kwanza. Kwa hili mtoa hoja ameshindwa kuthibitishia ummaukweli wa swala hili, naungana na Satellite kuomba source ya aliyoaandika.Labda mimi niweke wazi unafiki wa mtoa mada na kuueleza umma kuwa mtoa mada isnot matured interms of reasoning and fact searching bali ni mchochezi yeyepamoja na wanaowahamasisha wanafunzi wastrike bila kuwaeleza uwazi wa jambolenyewe
 
6. Kuhusu Ukwasi: Hapa siwezi semamengi ila najua UDSM wanategemea pesa toa serikalini mtumeni CAG akafanye kaziyake kama ukwasi unatokana na matumizi mabovu au la.

7. Matumizi mabaya ya fiedha: Mi ninavyomjua huyu bwana anajaribu sanakupunguza matumizi na nikipiga mahesabu ya kwenda Iringa kwa gari yaani: Muda,mafuta, tahadhari, na posho za wote na siku watakazo kuwa huko utagundua ni kwakiasi gani huyu bwana alivyoliona hilo na kushukuru kampuni ya Auric kupelekausafiri wa ndiege Iringa. Tafakari!

8. Mliman City wanakula: ukweli ni kwamba mwekezaji lazima anataka kula lakiniMradi huu hakuuanza Mukandala ujue, pia tangu ameingia madarakani lazima tufanyeutafiti kujua chuo hicho kinafaidikaje na mradi huo. Nilikutana na moja wawakurugenzi wa pale nilopokwenda Botswana last week wakasema VC wa sasa paleUDSM anawabana sana.

9. Chuo Kimeharibika: Ukweli ni kwamba anayejenga na kubomoa chuo ni wewe, mimina waliopo chuoni pale; wewe unaambia wanafunzi waandamane kupinga kituulichotunga kisicho na ukweli, unwatakia mema wanafunzi na chuo kwa ujumla?watasoma saa ngapi? watatafiti pumba na makande saa ngapi kama mnawajazaemotional greefs.

Wandugu nitaendelea kusema ukweli hata kwa kifo uongo, majungu na fitina kwangumwiko. Tuache makelele, tuongee; tuache siasa za chuki tujenge hoja tuibuemijadala ya kifikra na kimaendeleo; tuache uvivu wa kufikiri na kutenda,tufanye kazi kwa bidii.

Hii tabia ilianza kimya kimya kwa mawaziri sasa inasambaa kwa watumishi wengine. Hakuna magari Iringa? Chuo cha Mkwawa hawawezi kumtembeza huyu Mukandala kwa muda mfupi aliokuwa hapo Iringa? Kwa nchi maskini kama hii inakuwaje mkuu wa chuo (mkuu wa chuo!) asafiri kwa ndege huku gari lijazwe mafuta na kumfuata Iringa kwa safari za hapo mtaani Iringa? Kweli Mukandara anaweza kusimama mbele za watu na kuhubiri utawala bora?

Huyu Mukandala siyo hilo tu, anaishi kwenye nyumba yake Makongo, lakini kwa tamaa zake bado amechukuwa nyumba za lecturers hapo chuo kikuu? Sijui inakuwaje anakaa kwenye nyumba mbili kwa wakati mmoja? Au anatumia kwa shughuli 'maalum?'. Sijui ni kitu gani waliangalia na kumfanya huyu Prof awe mkuu wa chuo? Anakiuwa kabisa.

Hahahahahahaaaa lete data je ana nyumba ndogo?
 
acheni kujustify the 'unjustifiable', kama mna chuki na current VC UDSM tafuteni issue nyingine za kumpaka matope sio kubwabwaja hearsays, kwa hili ni big no, anzeni upya period

Dada nahisi wewe ni kati ya wale walioshindwa kufikisha requirements za kuwa Waalimu pale UDSM kwenye Masters Degree na ukapewa nafasi ya upendeleo kule Utawala Udsm, hasa baada ya ........................ Dada tunafahamu mengi sana kuhusu UDSM hata kama hatuko hapo, kwani kuna wenzetu wengi tu tuliosoma nao hiyo miaka ya 90 na sasa ni Seniors hapo UDSM kwenye Ofisi mbalimbali. Na hawa wanatupa updates zote. Wewe lazima umtetee tu kwasababu hata hiyo nafasi uliyonayo hukuipata kwa vigezo bali kwa upendeleo.
 
6. Kuhusu Ukwasi: Hapa siwezi semamengi ila najua UDSM wanategemea pesa toa serikalini mtumeni CAG akafanye kaziyake kama ukwasi unatokana na matumizi mabovu au la.

7. Matumizi mabaya ya fiedha: Mi ninavyomjua huyu bwana anajaribu sanakupunguza matumizi na nikipiga mahesabu ya kwenda Iringa kwa gari yaani: Muda,mafuta, tahadhari, na posho za wote na siku watakazo kuwa huko utagundua ni kwakiasi gani huyu bwana alivyoliona hilo na kushukuru kampuni ya Auric kupelekausafiri wa ndiege Iringa. Tafakari!

8. Mliman City wanakula: ukweli ni kwamba mwekezaji lazima anataka kula lakiniMradi huu hakuuanza Mukandala ujue, pia tangu ameingia madarakani lazima tufanyeutafiti kujua chuo hicho kinafaidikaje na mradi huo. Nilikutana na moja wawakurugenzi wa pale nilopokwenda Botswana last week wakasema VC wa sasa paleUDSM anawabana sana.

9. Chuo Kimeharibika: Ukweli ni kwamba anayejenga na kubomoa chuo ni wewe, mimina waliopo chuoni pale; wewe unaambia wanafunzi waandamane kupinga kituulichotunga kisicho na ukweli, unwatakia mema wanafunzi na chuo kwa ujumla?watasoma saa ngapi? watatafiti pumba na makande saa ngapi kama mnawajazaemotional greefs.

Wandugu nitaendelea kusema ukweli hata kwa kifo uongo, majungu na fitina kwangumwiko. Tuache makelele, tuongee; tuache siasa za chuki tujenge hoja tuibuemijadala ya kifikra na kimaendeleo; tuache uvivu wa kufikiri na kutenda,tufanye kazi kwa bidii.

Naona Prof. umeamua kuingia front mwenyewe.....karibu sana, ila angalia ulivyojichanganya........mara fundi gereji, mara upo Iringa, mara ulikuwa Botswana mmhhhh...
 
1. Kwenda Iringa: Ni kweli Prof. Mukandala na Msaidiziwake walienda Iringa
2. Kutembelea MUCE: Ukweli ni kwamba Prof. Mukandala alikwenda MUCE kuhudhuriamkutano wa 21 wa Governing Board Na sio just kutembelea chuo.
3.Hoja ya kukodi ndege: Ndege haijakodishwa ila Ukweli ni kwamba Prof.Mukandala na msaidizi wake walikwenda iringa kwa ndege ya shirika la ndegelinalojulikama kama Auric Air inayofanya safari zake kwenda Iringa na Mbeyakila siku kwenda asubuhi kurudi mchana. Kupata ukweli wa hili wasiliana naAuric Air kwa namba zifuatazo 0783233334.
4. Kukodi Ndege kwa Million nne (4): Hivi ni nani atakubali kutoa ndege yakekutoka Dar kwenda Iringa kwa milion 4? tuache uongo Kwenda Iringa kwa kukodindege nulizia Tanzaniair watakupa gharama ambazo ni minimum costs. Garamahalisi walizotumia kwenda Iringa kwa wote waeili wanazo Auric Air na unawezakupitia website yao. Nimefanikiwa kupata invoice na receipt ya malipoyaliyolipwa mkitaka kujua amount mseme nitawapatia.
5. Magari V8 kutangulia bila mtu: Acheni uongo wajameni muangalie tu UDSM wanaV8 ngapi? Kampuni yetu ndiyo inatengeneza magari yao ila fanyeni utafiti.Mukandala mwenyewe anatumia VX la kizamani. Hapa nipo Iringa na wakati Raisanasuburiwa kuingia Prof. Mukandala ndiyo alikua anaondoka na nimeona ameletwa naNissan ya Prof. Mushi wa MUCE sasa sijui hayo ma VX mawili yalienda kufanyanini huko? Tafakari

Akiue chuo mara ngapi!!!, kimeshakufa kabisa, kipo kipo tu!!!, Bila huyu jamaa kuondoka pale hakutakuwa na jipya.
Unategemea nini kuingiza siasa katika institution nyeti kama UDSM? Amewekwa maksudi na swaiba wake. I appreciate science guys like Luhanga. Alikuwa na weaknes zake lakini huyu anakandamiza wanafunzi, anatumia mali hovyo. Nadhani umefika wakati jamaa naye aachie ngazi.
 
acheni kujustify the 'unjustifiable', kama mna chuki na current VC UDSM tafuteni issue nyingine za kumpaka matope sio kubwabwaja hearsays, kwa hili ni big no, anzeni upya period
Chuki kwani sisi majina yetu yalikatwa wakati VC anabebwa kwa mbeleko iliyochanika kupewa hicho cheo na Baba M?? We unafikiri hizo 4m zingekuwa zinatoka mfukoni mwake huyu nshomile angeenda Iringa kwa ndege?? Tungeskia kuwa ameonekana ubungo anapanda Sumri. Lakini kwa vile kodi zetu ni shamba la bibi wanajifanyia wanavyotaka. Nakuhakikishia kuwa hakuna hata kiongozi mmoja hapa Tanzania mwenye COST SAVING MENTALITY... Kama yupo mtaje hapa jukwaani. Hata kama unalipa fadhila uwe na ujasiri wa kukemea maovu dada
 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.

Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?

Inasikitisha kuona kuwa makamu mkuu wa UDSM anaishi maisha ya kifahari kwa kutumia mali za chuo huku chuo kikiwa na mahitaji mengi ikiwemo majengo, ukarabati, vitabu na vifaa vinginevyo. Inasikitisha zaidi kuwa wasomi, wanafunzi,wanasiasa na jamii haikemii matumizi makubwa ya fedha yasiyo ya ulazima. Hivi kweli makamu mkuu wa UDSM anahitaji gari mbili na dereva? Ninauliza hivyo maana mimi nimeona wakuu wa vyuo vilivyo bora na vikubwa kuliko UDSM vilivyo nje ya nchi wakiendesha magari yao wenyewe(hawana madereva).
 
Naomba nikurekebishe kidogo TELO umemkashifu Freema Agyeman kuwa ametoa rushwa kua mwalimu UDSM bila kuwa na vigezo stahili. Pale UDSM nimewahifanya kazi kabla sijaingia mtaani kupiga ujasiriamali. Hiyo miaka ya 90 ndiyo niyosoma pale mkuu na nilikua kiongozi na niliwahi ingia senate. Senate ina mamlaka kuliko ya huyo VC pia ili mwalimuaajiriwe Chuo chochote lazima akidhi vigezo na ni lazima ipo kisheria. Kam unauhakika wa mwalimu UDSM asiyekuwa na kigezo ni halki yako ya msingi kwenda mahakamani kufile case.
 
Soma kwa umakini Kintiku acha kukurupuka. Nimeeleza wazi kuwa huwa wanatengeneza magari yao kwenye kampuni yet(Garage). Nimesoma Mechanical Engineering pale. Kuwa Iringa ni kikazi hivyo haimaanishi kuwa Iringa siwezi kuwa fundi? au umezoea mafundi magari kazi yao ni garage tu na hawazunguki kutafuta tender wala kumfuata mteja (corporate customer) pale alipo? Kwenda Botswana inategemea nimeenda kufanya nini so uliza niko wapi nafanya nini au nimeenda wapi kufanya nini acha kujichanganya toa hoja. Pamoja na hayo acha kumdharau Baba wa watu mimi sistahili hata kufunga viatu vyake.
 
Mhh! Kukodi ndege iringa - dar, dar - iringa 4ml? V8 mbili tupu? Mada inaukweli na uongo pia.
 
A driver is the part of the car,ndio maana hata kwenye vivuko au sehemu gari inalipiwa ili kupita lets say Ferry wanatoza saloon Tshs 1,500/= na ikiwa na abiria watalipa kiwango cha abiria according to the number of them.
Wait a minute, assuming uliyondika hapa ni kweli, je hizo V8 zilitumwa zikiwa kwenye auto pilot mode?
 
ndio nshomile bwana`bila kukodi ndege na vx kutangulia mtajuaje kama yy ni mtu mkubwa?
msishangae hiyo tu hata fedha za miradi ya mliman city zinaliwa who cares?
kula baba hata ukiweza uza na chuo kabisa

Hahahah apige bei chuo na wanafunzi wote
 
Naomba nikurekebishe kidogo TELO umemkashifu Freema Agyeman kuwa ametoa rushwa kua mwalimu UDSM bila kuwa na vigezo stahili. Pale UDSM nimewahifanya kazi kabla sijaingia mtaani kupiga ujasiriamali. Hiyo miaka ya 90 ndiyo niyosoma pale mkuu na nilikua kiongozi na niliwahi ingia senate. Senate ina mamlaka kuliko ya huyo VC pia ili mwalimuaajiriwe Chuo chochote lazima akidhi vigezo na ni lazima ipo kisheria. Kam unauhakika wa mwalimu UDSM asiyekuwa na kigezo ni halki yako ya msingi kwenda mahakamani kufile case.

Hakuna kashfa hapo, kwani kuna wengi tu tunawafahamu pale UDSM walipewa kinote kutoka kwa wakubwa wa UDSM ili wahamishiwe utawala na katika mambo mengi sana ya wakubwa wa UDSM utawakuta.

Acha kudanganya watu hapa wewe kwamba kwenye hiyo miaka ndiyo ulikuwa UDSM wkt hata sasa wewe ni sehemu ya ufisadi pale UDSM. Ndugu yangu ninafahamu mengi sana kuhusu UDSM na Prof. Mukandala na kama tukianza kumwaga data hapa, wewe na Prof. Mukandala mtachanganyikiwa kabisa.

Usitake kutudanganya kwa kisingizio cha Senate wakati wewe Prof. Mukandala unafahamu hata jinsi ulivyoitumia hiyo Senate kujustify rafiki yako Kikwete kupewa PhD ya heshima wakati UDASA na wafanyakazi wengi wa UDSM hawakubaliana na hilo suala.

Ndugu yangu, kutetea utendaji wa Prof. Mukandala unatakiwa uwe na roho ngumu sana na zaidi utakuwa na wewe unafaidika kwa namna moja au nyingine.
 
Back
Top Bottom