Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 474
Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salam prof. Rwekaza mukandala kahaha baada ya kusikia Daruso wametangaza kuna mgomo wa wanafunzi kutoingia madarasani kuanzia jumatatu . Prof mukandala akamua kumpigia simu raisi Wa Daruso akimuomba awatangazie wanafunzi kusitisha mgomo mara moja na kumuhakishia yeye yuko tayari kukaa na Daruso mezani na Kuyamaliza hayo Maswala .