Prof. Muhongo tuondolee EWURA, ni zigo zito kwa Tz

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Hongera kwa uzalendo, ANDAA MSWAADA tuondoshee hawa EWURA IBAKI KAMA IDARA NDOGO.ITAPUNGUZA GARAMA KWA WA TZ KWA 1%:pIA ITAONDOA MANUN'GUNIKO YA WA TZBWATUMISHI WA IDARA.WASALITI MFANO MAJUMUISHO WAKIBARIKI BEI MPYA TANESCO , WALISEMA WA TZ KIMA CHA CHINI HAWATO ATHIRIKA 50Units ( TWO BALB 40 W PER 12 HRS)BAADA YA WIKI CHACHE MALAMLAKA MAJI NYINGI NCHI NZIMA ZIKAOMBA KUPANDISHA BILL ZAIDI YA 100%: IVUNJWE NACMAJUKUMU YAPEWE WACHACHE WAISHI KWA MISHAHARA KAMA WATUMISHI WENGINE.NI AIBU TUNAIBIWA NA KUDANGANYWA NA WABUNGE WANAZIBWA MDOMO.
 
Kazi ya EWURA kwa upande wa maji, je kazi yake kubwa ni kudhibiti bei tu au hata upatikanaji na ubora wa maji?

Kama ni kuendelea kuwepo, ni afadhali iitwe Energy and Water Prices Regulatory Authority.
 
ewura na rea nitaasisi zinazomuongezea mzigo mwananchi.wao sio wazalishaji lakini katika kila unit ya umeme tunayonunua ewura wana 1% na rea wana 3% safari hii walijisifu wamepata faida ya shilingi bilioni 14 je hayondio yalikuwa madhumuni ya kuundwa ewura kama tunakatwa pesa 18% ya vat kwanini tuendelee kuchangia sehemu nyingine ndio maana wana matumizi ya ajabu ikiwa pamoja na kuchangia pesa ili bajeti ya wizara ipite
 
Jamani mchangiaji wa kwanza ana hazira za bure. Kuwepo kwa ewura kumewaaidia sana kupunguza gharama za huduma! Zunguka central and East Africa halafu sema nani bei yao ya mafuta ni ndogo zaidi ya Tz. Hata umeme TZ ni cheap kilimo nchi zingine afrika
Mashariki. Juu ya maji Ubora tunapima muda wote na tunahakikisha mamlaka za maji zinafuata maagizo. Nakubali
 
Ewura haijawahi kuchangia wizara kupitisha bajeti masons report ya Kamati ya Bunge ipo wazi kabisa. Tukubaliane kuwa kunachangamoto kwenye huduma hizi. Kuhusu Tanesco, unwell wa gharama utachulikana mwezi huu wa nane pale aliyepewa kazi ya kuchanganua gharama halisi ya kuzalisha umeme atakapotoa report yake. But don't be surprised tariffs go further up.
 
Sishangai hii thread kuanzishwa sasa...inaendana kabisa na nia ya makampuni ya mafuta kuona EWURA inafutwa, kwa sababu imewabana sana wafanya biashara wa mafuta kwenye wizi wa mafuta ya transit...hata kamati iliyovunjwa inapendekeza fuel marking ifutwe, sijui wanahongwa sh ngapi watu waisoptaka kuangalia ukweli? Hakika fedha ya mafuta ina nguvu kubwa sana.

Wewe mtoa mada, umejiuliza ingekuwaje kama EWURA isingeizuia Tanesco kupandisha umeme kwa 155% kama walivyopanga, badala yake wakairuhusu ipandishe kwa 40% baada ya kushindwa ku justify 155% yao?

Kama 2009 bei ya mafuta wastani ilikuwa 2200 kwa lita, sasa hivi ingekuwa sh ngapi kama EWURA isingekuwepo? Watu wengine msipende rushwa mpaka mnauza utu wenu, simple facts zinawaumbua...acheni uvivu wa kufikiri. Hivi unafikirije kwamba EWURA iko kwa Prof. Muhongo?
 
Jamani mchangiaji wa kwanza ana hazira za bure. Kuwepo kwa ewura kumewaaidia sana kupunguza gharama za huduma! Zunguka central and East Africa halafu sema nani bei yao ya mafuta ni ndogo zaidi ya Tz. Hata umeme TZ ni cheap kilimo nchi zingine afrika
Mashariki. Juu ya maji Ubora tunapima muda wote na tunahakikisha mamlaka za maji zinafuata maagizo. Nakubali

If the mentioned stand to be the truth sasa ndio wakati muafaka mrudishwa wizarani kama kitengo maalum na muache matumizi ya induction courses ughaibuni, mara mahotelini na mishahara yenu irudie scale ya wizarani ili kwa pamoja tuongeze ufanisi na kupunguza matumizi ya authoritarian manner

Yaani manaweza kuwa kitengo tu hapo wizarani na mkaendelea na kazi let say it was a survey na sasa we work on recommendations zenu........research team haina umuhimu tena...ou are good to go
 
Sishangai hii thread kuanzishwa sasa...inaendana kabisa na nia ya makampuni ya mafuta kuona EWURA inafutwa, kwa sababu imewabana sana wafanya biashara wa mafuta kwenye wizi wa mafuta ya transit...hata kamati iliyovunjwa inapendekeza fuel marking ifutwe, sijui wanahongwa sh ngapi watu waisoptaka kuangalia ukweli? Hakika fedha ya mafuta ina nguvu kubwa sana.

Wewe mtoa mada, umejiuliza ingekuwaje kama EWURA isingeizuia Tanesco kupandisha umeme kwa 155% kama walivyopanga, badala yake wakairuhusu ipandishe kwa 40% baada ya kushindwa ku justify 155% yao?

Kama 2009 bei ya mafuta wastani ilikuwa 2200 kwa lita, sasa hivi ingekuwa sh ngapi kama EWURA isingekuwepo? Watu wengine msipende rushwa mpaka mnauza utu wenu, simple facts zinawaumbua...acheni uvivu wa kufikiri. Hivi unafikirije kwamba EWURA iko kwa Prof. Muhongo?

Tha base has already been established sasa muwe kitengo chini ya wizara tu na sio Authority kama sasa......as jina halitabadili functions ila itasaidia kupunguza gharama......au ???????
 
Ole Saidimu, comments zako zina reflect any knowledge ulioynayo juu ya Regulatory Authorities ulimwenguni kote au unaielezeaje? I would be glad to see EWURA go, even now, but would that mean TCRA, SUMATRA, TCAA, TIRA, SSRA should go too? kwenye soko huria, ukiacha private sector ijitawale bila kudhibitiwa unapata soko holela na la kihuni...umesahau tulikotoka?

Unadhani Wizara itaweza kufanya udhibiti...ambao unahitaji dhamira ya dhati bila visingizio vya "hatuna fedha" kama inavyotokea kwa mahospitali, mashule, na hata maofisi yetu?
 
Tha base has already been established sasa muwe kitengo chini ya wizara tu na sio Authority kama sasa......as jina halitabadili functions ila itasaidia kupunguza gharama......au ???????

MKuu, i dont work for government, but my understanding on regulatory bodies is derived from the research am doing for academic purposes. Hivyo ukisema "Muwe" unanipandisha chati bure...

Ila, "Authority body" ni independent, autonomous body ambayo kimsingi maamuzi yake yanapaswa kuwa final, na actually hutoa "orders" ambazo zinafanana na order za High Court. Kupingwa kwake huenda Tribunal. lengo la kuweka regulatory authorities limekuwa ku strike balance btwn users, suppliers and policy maker ili kufanya biashara iwe ya haki.

Sasa ukisema wizara ifanye kazi ya EWURA, ni sawa na kusema polisi wawe mahakimu.
 
Ole Saidimu, comments zako zina reflect any knowledge ulioynayo juu ya Regulatory Authorities ulimwenguni kote au unaielezeaje? I would be glad to see EWURA go, even now, but would that mean TCRA, SUMATRA, TCAA, TIRA, SSRA should go too? kwenye soko huria, ukiacha private sector ijitawale bila kudhibitiwa unapata soko holela na la kihuni...umesahau tulikotoka?

Unadhani Wizara itaweza kufanya udhibiti...ambao unahitaji dhamira ya dhati bila visingizio vya "hatuna fedha" kama inavyotokea kwa mahospitali, mashule, na hata maofisi yetu?

I feel the concern you are having and I assure you we share it ....................but is this Authority pattern the panacea?????? Are they performing at their best????? you have named them well...........are you pro-SSRA and its mission leaving aside the SUMATRA and day to day on road accidents due to its weakness and distortion of Archmedes principal they are supposed to be supporting????? TCRA; if you are a TigO subscriber you know what m talking about..........

Free market is there to stay.......weak and lazy will perish while strong and tough will survive so as a Nation we need to choose a side....period

Wizara must be strong than the Authority if we choose to be strong and tough buddy........we lack the strong will and thus we are doomed to fail unless stated otherwise............ I am not participating in the chorus by the name of Authority can perform better than the ministry itself

Serikali must take a shape and motives of a company and make sure it survive the era of globalization and its features......the balance sheet way
 
Mbalamwezi nakuelewa vizuri sana ila kwenye Globalization na free market copy and paste is never healthy......as context and other intermediate variables may interfere the expected outcomes thus we need to check the map again before buying the same vehicle that have been used by other travelers for the same purpose elsewhere............
 
Last edited by a moderator:
Sishangai hii thread kuanzishwa sasa...inaendana kabisa na nia ya makampuni ya mafuta kuona EWURA inafutwa, kwa sababu imewabana sana wafanya biashara wa mafuta kwenye wizi wa mafuta ya transit...hata kamati iliyovunjwa inapendekeza fuel marking ifutwe, sijui wanahongwa sh ngapi watu waisoptaka kuangalia ukweli? Hakika fedha ya mafuta ina nguvu kubwa sana.

Wewe mtoa mada, umejiuliza ingekuwaje kama EWURA isingeizuia Tanesco kupandisha umeme kwa 155% kama walivyopanga, badala yake wakairuhusu ipandishe kwa 40% baada ya kushindwa ku justify 155% yao?

Kama 2009 bei ya mafuta wastani ilikuwa 2200 kwa lita, sasa hivi ingekuwa sh ngapi kama EWURA isingekuwepo? Watu wengine msipende rushwa mpaka mnauza utu wenu, simple facts zinawaumbua...acheni uvivu wa kufikiri. Hivi unafikirije kwamba EWURA iko kwa Prof. Muhongo?

Nahisi na wewe ni mdau wa EWURA. Ewura wanapata kipato kwa kupandisha bei za umeme na mafuta. Hii ni kwa sababu huwa wanalipwa kwa asilimia. Gharama ya umeme ikiongezeka na kipato cha EWURA kinaongezeka.
 
HUMU Ndani mnaonekana na mnajitangaza kuwa mnachangia kwa hoja mbona naona vululuvulu hakuna hata hoja watu utafikiri walevi wa gongo?
 
HUMU Ndani mnaonekana na mnajitangaza kuwa mnachangia kwa hoja mbona naona vululuvulu hakuna hata hoja watu utafikiri walevi wa gongo?

Hoja is subjective as well kama huoni hoja check the chit chat forum......................kukubaliana kutokukukubaliana ni sehemu ya mjadala as well ila unapoanza kuona wachangiaji wengine ni walevi...............then it tells a lot on your personality Mr Sober
 
Back
Top Bottom