Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

Taarifa iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Nishati na madini Mh. Mhongo kuwa shule za St. Mary zinazomilikiwa na Mchungaji Getrude Rwakatale ni miongoni mwa wezi wakubwa wa shirika la umeme TANESCO imemvua nguo mama huyu ambaye pia ni mbunge viti maalum kupitia CCM.

Hizi si tetesi tena kwa kuwa mh. Waziri anaushahidi juu ya alichokisema Bungeni, hivyo sijui Mama huyu atakuwa na mahubiri yapi kujishafisha kwa kondoo wake. Pia hali hii inaleta picha kuwa kuna baadhi ya wabunge wamekuwa wakitumia Ubunge wao kama kivuli ili waweze kuiba rasilimali za nchi hii. Inasikitisha kuona mchungaji, mbunge, tena wa viti maalum anafanya upuuzi kama huu.

Kwa ushahidi huu kweli ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni.

Mkuu acha kuipersonalize hii ishu
 
Sijui hao waumini wake bado wana imani nayo au ndio bora liende

Hii kazi ndogo kwa Mch. Rwak - Sana sana ataingia kanisani kwake na kupeleka tuhuma nzito kwa wafanyakazi wake. So wanakondoo wake wataendelea kuwa na imani naye!
 
Kama kusoma huwezi hata picha huioni? Amsha akili! Ukiabudu abudu tu,ila ki ukweli ukimchunguza bata humli! Usanii tu!
 
Huyu mama hana uchangaji wala nini...Amekalowesha kakijana ka mwanamke mwezie mapenzi ya kimama kijana hataki kuoa. Mama mmpuuzi sana huyu. anakemea mapepo wakati usiku anamchosha kijana wa watu halafu dogo kabisa. Ushetwani mwingine kero sana. Sishangai yeye kuiba umeme manake hata mapenzi anafanya ya wizi

Binafsi nawashangaa wanaomwamini mama huyu kama mjumbe wa Mungu na wameacha kuabudu kwenye makanisa yao kumfuata "Nabii" huyu mwenye tamaa isiyoisha ya vyeo na fedha. Hivi shughuli za kanisa lake hazimtoshi mpaka ajikoki kwenye ubunge wa viti maalum? Walioshindana naye watakumbuka rushwa alizokuwa akimwaga wakati wa kuutafuta huo ubunge wa viti maalum.
Kwa vyvyote vile anahusika kikamilifu kuliibia TANESCO kama alivyofanya kuupata utajiri wa sasa kwa kudhulumu fedha za yatima miaka mingi iliyopita. Jasiri haachi desturi.
 
Jamani nimeamini kuwa siasa ipo ili kuficha madudu kwa wanasiasa wa tanzania.

serilkali tunayo, usalma wa taifa tunao na shirika la umeme tunalo bado kuna kikundI cha watu wachache wanafufua umeme bila serikali ya kikwete kujuwa? na wabunge wanaojifanya wana wa MUNGU nao pia ni wezi?

tunaelekea wapi? Hivi kweli MUNGU huyu ndiye mama rwakatare anamwomba ili afanye wizi?

kakampuni kenyewe kanaitwa low votage distribution.

una maoni gani kaka kwa hili
 
Naona maoni yanatakiwa toka kwa kaka, ngoja ninyamaze
 
wewe unamaoni gani? umeshafanyia uchunguzi ukisemacho?? Think
 
Kabla hatujaingilia Imani yake, hebu tujiridhishe na madudu anayofanya kama kweli ni muhusika wa moja kwa moja au?
 
Huyu mama hana uchangaji wala nini...Amekalowesha kakijana ka mwanamke mwezie mapenzi ya kimama kijana hataki kuoa. Mama mmpuuzi sana huyu. anakemea mapepo wakati usiku anamchosha kijana wa watu halafu dogo kabisa. Ushetwani mwingine kero sana. Sishangai yeye kuiba umeme manake hata mapenzi anafanya ya wizi

Halafu bado kuna WANAWAKE tena WASOMI kabisa eti wanaamini kwamba ukiienda kwa Mch. Rwakatale anaweza akakuombea UKAPATA MME.

Tna kuna wanawake wengine wasomi kabisa eti wanakwenda kwa Rwakatale kupata USHAURI NASAHA KUHUSU NDOA ZAO, NI MAZIGAOMBWE matupu.

Kama bado kuna MTU anamuani Mama Rwakatale kwamba ni nabii wa Mungu, basi ataamini kila kitu katika dunia hii, including manabii wa UONGO.

TODAY'S FOOD FOR THOUGHT: Jiulize hivi katika wale thinashara wa Yesu Kiristo(MITUME 12), Kwanini hakuwemo hata mwanamke mmoja? Usiniambie kwamba Yesu Kiristo hakuwaona WANAWAKE au Kwamba Yesu Kiristo hakujua kwamba watatokea akina Rwakatale miaka 2000 takribani baada ya KIFO CHAKE. TAFAKARI
 
Back
Top Bottom