Prof. Maji Marefu Bungeni aonya waganga wa jadi kutodharauliwa

Hicho ndicho nilichotegemea toka kwake, kweli profession matter! UGANGA WA TUNGURI MPAKA UBUNGE? duh! Ndugu zetu wa korogwe realy wajamaa!

Kweli sisi Wajamaa shukrani sana ila mie natoka Korogwe mjini mheshimiwa yeye anatoka jimbo la korogwe vijijini........
 
Mbona husemi kuhusu yeye kuzungumzia kilimo,barabara na umuhimu wa kujenga bwawa watakalotumia kwa kilimo!!!!
Ovyo sana,kuona mabaya ya wenzio tu!!!

Lazima kwanza ujue dhamira ya mleta mada kujenga au kubomoa then ndio ulete hoja ndugu yangu :)
 
Kazi kazi kweri kweri............mura.

Maji marefu amepeleka huduma karibu na wateja (wabunge na viongozi wa serikali), sasa hakuna haja ya kusafiri kwenda korogwe....tunakutana mjengoni dodoma.
 
Hakuna tatizo mbona akina mama rwakatale nao wanapotoa hotuba huwa wanaingiza na vionjo vya kazi yao!
 
mkuu usiseme hivyo, unaweza kwenda kwenye kisanduku cha kura na hasira zote kwamba iwe na iweje huumpigii kura kufika pale ndio kwanza unapowe vema ya ndio bila kujua ndio kwake. inabidi tujue huyu jamaa alishinda kwa kura ngapi huko jimboni kwake, tunaweza pata picha

Jamani tunapojadili haya lazima tuangalie na anakotoka. Huyo ni mbunge wa Korogwe vijijini ambako mtu yeyote atakaye teuliwa na CCM lazima atapita tu? Sidhani kama Maji mrefu anaweza kupita sehemu nyingine zaidi ya Tanga, Pwani, Mtwara na Lindi.
 
Amelaaniwa mtu yule amtumainiaye mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yake....haya ni maandiko matakatifu...sasa wabongo wategemee nini kutoka kwa viongozi walio laaniwa? Kwasababu karibu wote hawa ni washirikina wakubwa!!! Na wako chini ya laaana.....mtu aliye laaniwa atakusaidia ? Kwa jinsi gani? Haiwezekani hapa ndio shida yetu kubwa ilipo kuongozwa na viongozi walio laaniwa na mungu. Kwahiyo usishanga sangoma kuwa mbunge hiyo ndiyo ccm 99% wapo hivyo. Wanga wakubwa
 
Mbunge wa Korogwe Vijijini Mr. Ngonyani au almaarufu Prof. Maji Marefu ameanza rasmi kuchangia bungeni sasa hivi. Na katika shukrani zake amewapongeza waganga wa jadi wote nchini kwa kumwuunga mkono na kuwezesha kuchaguliwa kwake.

Hii inamaanisha nini? ni kwamba huyu jamaa waganga au wachawi wamechangia kwa kiasi kikubwa katika kuchaguliwa kwake kuwa mbunge. Kwa maana nyingine huyu bwana ameingia bungeni kugombea maslahi ya waganga wenzake.

Na ameanza rasmi kuwaonya wanaowadharau na kuwa donoa donoa waganga wa jadi. Ameonya kila mtu inampasa aheshimu fani ya mwenzake

hii inanifanya ni amini kuwa hata waliopiga kura inawezekana kwa macho walionekana ni watu lakini kimazingaumbwe walikuwa ghosts na hii inaonyesha kwa mtaji huu atakuwa mbunge mpaka atakapoamua kuacha mwenyewe.

Tunakuomba utufanyie mazingaombwe ya kumaliza ufisadi. Uwatoe mabusha woooote wanaofanya ufisadi.
Kaazi kwelikweli bunge la siku hizi hadi waganga wa kienyeji!!
Sasa akikaa next kwa mama Lwakatare itakuwaje?
 
Kazi kazi kweri kweri............mura.

Maji marefu amepeleka huduma karibu na wateja (wabunge na viongozi wa serikali), sasa hakuna haja ya kusafiri kwenda korogwe....tunakutana mjengoni dodoma.

Oooh Yeah!!.. Hiyo ndo "nguvu zaidi, kasi zaidi na ari zaidi!!!!!!
 
Sio mbaya kama akitumia vizuri nafasi yake bungeni kutetea haki za waganga wa kienyeji. Kuna waganga wzuri tuu wa kienyeji ambao wamesaidia kutibu magonjwa yanayowakabili watu mbalimbali lakini sidhani kama wanatambuliwa ipasavyo. Simaanishi wale waganga wanaosaidia kuengeza bonet ya nyuma, gia, etc.
 
Hakuna mganga wa kienyeji mzuri. Kila mganga ni mchawi. Uchawi ni dhambi!!
 
Yeye atapata wateja wabunge wengi zaidi kwani yeye ni LIVING EXAMPLE jinsi uganga ulivyomsaidia kupata ubunge. Nakuambia alichofanya leo kusema yeye ni mtaalamu wa mitishamba amefanya advataisi ya kwanza tena ndani ya bunge Live.

Tena amejifagilia kibiashara kwa wateja wenye fedha zao
 
Amelaaniwa mtu yule amtumainiaye mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yake....haya ni maandiko matakatifu...sasa wabongo wategemee nini kutoka kwa viongozi walio laaniwa? Kwasababu karibu wote hawa ni washirikina wakubwa!!! Na wako chini ya laaana.....mtu aliye laaniwa atakusaidia ? Kwa jinsi gani? Haiwezekani hapa ndio shida yetu kubwa ilipo kuongozwa na viongozi walio laaniwa na mungu. Kwahiyo usishanga sangoma kuwa mbunge hiyo ndiyo ccm 99% wapo hivyo. Wanga wakubwa

CCM hawakumpitisha kura ya maoni kimakosa , ana baraka zote toka magogoni
 
Back
Top Bottom