Prof Maji marefu anaumwa, yupo India kwa matibabu

..kweli kinyozi hajinyoi.

..lakini kwanini Prof. Maji Marefu hakutafuta matibabu kwa mabingwa wenzake wa miti shamba, badala ya kwenda India??
Niliwahi kumsikia pale mjengoni akipigia debe miti shamba na kupinga watu wanaodharau waganga wa kienyeji,I wonder kwanini hataki tena kuwatumia kumtibu. This is double standard
 
Mbunge tapeli wa chama cha magamba, kama kweli yeye ni prof wa mitishamba si angejitibu mwenyewe?
 
Selasini kaendesha spidi kamuua mama yake, makafara mengine ya ajabu kweli kweli
 
Mh. Maji marefu anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo ambapo kwa sasa amepelekwa India, alianza kuugua tangu kikao cha Bunge kilichopita ambapo alilazwa hospital ya Mkoa wa dodoma'GENERAL' kisha akapelekwa muhimbili, lakini katibu wa bunge Dr Kashilila alithibitisha hilo na akasema kuwa kwa sasa amepelekwa









hospitali ya 'VIGOGO' ya APOLLO.

Hapa ndo naamini kuwa mganga hajigangi.

Dhambi ya kwenda kuwa kebehi CHADEMA Arumeru Mashariki
 
Back
Top Bottom