Prof Maji marefu anaumwa, yupo India kwa matibabu

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mh. Maji marefu anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo ambapo kwa sasa amepelekwa India, alianza kuugua tangu kikao cha Bunge kilichopita ambapo alilazwa hospital ya Mkoa wa dodoma'GENERAL' kisha akapelekwa muhimbili, lakini katibu wa bunge Dr Kashilila alithibitisha hilo na akasema kuwa kwa sasa amepelekwa hospitali ya 'VIGOGO' ya APOLLO.

Hapa ndo naamini kuwa mganga hajigangi.
 
Mixer ya mitishamba kibao, itakuwa imetengeneza sumu, ikamletea Peptic Ulcer Disease (PUD) iliyo-complicate 2 Gastric Ca, au Duodenal ulcers. Angeweza kutibiwa hapa Bongo, labda kaenda kuongeza nguvu za giza India.
 
Wanaotuchimbia makaburi watatumbukia wenyewe. Alipotaka kuja kumloga Joshua Nasari mara akapigwa busu lenye nguvu ya Mungu hapo ndipo tumbo lilipata pigo la upanga.
 
asante kwa taarifa mkuu. naomba hii thread Invisible aihamishie jukwaa la siasa.
 
Last edited by a moderator:
Jamani Kweli uongozi raha! Menzies zile angeishia kujiganga na dawa zake na angepona ...
 
This is a good lesson....mambo hayakamiliki mpaka India! Tena kwa mtu ambaye wala hahitaji Xray kutibia wagonjwa wake.
 
...huyu si anawapanga watu foleni kutatua matatizo yao yote, tumbo tu ameenda India? Watu waelewe kuwa hawa waganga ni wasanii tu, anatoa dawa ya utajiri wakati yy mwnyw analala kwny kibanda cha nyasi. On a different note: nadhani huyu Bwana aligombea Ubunge kupromote biashara yake ya kuwapa tiba watu wanaotafuta uongozi, kawaonyesha namna ili apate wafuasi wengi.
 
Mh.Maji marefu anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo ambapo kwa sasa amepelekwa India,alianza kuugua tangu kikao cha Bunge kilichopita ambapo alilazwa hospital ya Mkoa wa dodoma'GENERAL' kisha akapelekwa muhimbili,lakini katibu wa bunge Dr Kashilila alithibitisha hilo na akasema kuwa kwa sasa amepelekwa hospitali ya 'VIGOGO' ya APOLLO.

.hapa ndo naamini kuwa mganga hajigangi.

Tatizo hapa ni kwa nini India?, kwa nini hatuboleshi hospitali zetu? Je kuna watu wanaonufaika na mradi huu??.
 
Lazima kuna ziada, najiuliza ukiacha ugonjwa hivi Ccm waliwaza nini au walikuwa na sbb gani kumpeleka majimarefu na lusinde Arumeru? sipatagi picha, there must b something behind or something very wrong. Anyway pona haraka mpiga muhuri wa sherid zetu.
 
Tatizo hapa ni kwa nini India?, kwa nini hatuboleshi hospitali zetu? Je kuna watu wanaonufaika na mradi huu??.

swali la mwisho nimeliwekea maanani,,,,,NGOJA IPO SIKU CAG atakuja na ripot...
 
Lazima kuna ziada, najiuliza ukiacha ugonjwa hivi Ccm waliwaza nini au walikuwa na sbb gani kumpeleka majimarefu na lusinde Arumeru? sipatagi picha, there must b something behind or something very wrong. Anyway pona haraka mpiga muhuri wa sherid zetu.

hope u mean sheria
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom