Prof. Lipumba: Nitatumia hekima za Ndesamburo kuimarisha utalii...

Bora umesema genekai. Eti ni kwanini anatamkwa kisichowezekana? Wakati kila mwenye macho anaona, yeye pamoja na kuwa mchumi mwandamizi bado hajaliona hilo. Very strange. Eti na yeye anasema akichaguliwa kuwa rais, yaani mpaka sasa bado anawaza kuwa ipo siku atachaguliwa? Kupitia chama kipi tena?

Yale mapazia yakuficha uchi wa CCM ndio ayatumie kama daraja la kumpeleka Ikulu? Labda ikulu ya Pemba. Sasa na wakati wenzake wameshapanga kujitenga na yeye atachaguliwa kwa chama kipi tena?
 
Last edited by a moderator:
Hivi cuf mbona hawaeleweki?Si ndio hawa wanaokisaga chadema iweje leo?
Wamegundua wasipotaja CDM na kukisifia watajikuta awamebaki wenyewe.
 
Zamani nilikuwa nina amini kuwa kadri mtu anavyozeeka ndivyo na busara zake zinavyozidi kuongezeka,kumbe sometimes it can be the otherway round.
 
namheshimu sana mh.pro.lipumba ila kiukweli lipumba ni janga ni mchumi kweli ila hebu tumuangalie upande wa pili pale tabora ni nyumbani kwake sio hebu tuone elimu yake ilivyobadilisha maisha ya jamii inayomzunguka pale .endapo hakuna anatumika sehemu nyingine sawa.maisha yanasonga mbele ,kisiasa ,amekuwa hana msimamo wa kueleweka kujenga demokrasia imara nchini ,hebu apime mwenyewe nguvu ya chama chake tanzania bara na visiwani ,cuf zanzibar ni imara hapa bara imesinyaa kwanini asisome maandishi ukutani nani anakubalika tuunganisha nguvu ,lakini kutokana na mh.huyu kuwa ni tatizo wenzake wana muacha akienda ulaya CUF . INABOMOKA AKIRUDI ANAJENGA
 
Anataka ndoa na chadema sasa ,huwezi kumkubali ndesa pesa bila kuikubali chadema
 
Prof lipumba ni mwanasiasa msomi na mwadilifu haoni tabu kusifia ukweli popote ulipo iwe ni ndani ya chama chake cha upinzani au hata ccm. in short ni mwanasiasa asiye na nongwa kama watu fulani hivi..
Kwa maana hiyo anamkubali Ndesa na Chadema kiaina
 
Kuomba ushauri kwa Ndesa pesa ni kupotea njia.Huyu si ndio alikuwa anataka mawaziri watumie helcopter kutembelea ili waone vizuri.
 
Anazeeka vibaya kweli!
Ndesapesa mwenyewe hata ubunge wenyewe anastaafu, Lipumba amepoteza mvuto hana tena sifa!

Unataka mvuto gani au unataka ahutubie siasa za vurugu na kutaja mafisadi kilasiku baada ya kuonesha strategies how we can develop!
 
M/kiti wa Chama Cha CUF Prof Lipumba amesema akiingia madarakani kuongoza Tanzania atamtumia kamanda Mzee Ndesamburo kuimairisha utalii kwenye nchi yetu, amezungumza hayo wakati akihutubia wananchi wachache kwenye mkutano wa hadhara mkoani Kagera leo jioni.

My take: Nashukuru sana Prof. Lipumba kufahamu uwezo wa Mzee Ndesamburo, ila inaonekana kasha jitangazia kuwa mwaka 2015 atagombea tena.

Ndesamburo tena? Kwani hatoki kaskazini?
 
kuongea nihaki ya kila mtu ila naona Pro. Lipumba kwa sasa mvuto wake umeisha kabisa kwa kifupi labda ahame chama lakini kama bado yuko CUF asitegemee atashika dola hata kwa nguvu za kuzimu
 
Kwa hiyo Kagera wanajua hekima za Ndesapesa kuliko za Prof. Lipumba. Namshauri Prof akafundishe uchumi UDSM.
 
Lipumba hana jipya la kuleta na isitoshe hakuna mtu wa kumchagua mchovu kama huyu anayeendeshwa na Maalim Seif wakati ana elimu kuliko yeye. Hana tofauti na makapi ya kisiasa kama Mrema, Cheyo, Mbatia, Kabwe, Kaboro, Wassira na wengine wengi.

Hapo kwenye red naomba picha ili nione kama namjua.......
 
je cuf ni chama cha kifalme.
akihutubia mkutano wa chama bukoba alisema akichaguliwa atamtumia ndesamburo kwenye utalii.na juma duni akakomelea msumari wa mwisho kuwa watu wachague kiongozi anayejulikana ulimwenguni na mtaalamu wa uchumi.
ninachojiuliza hapa demokrasia ndani ya cuf inasemaje.
cuf walikaa lini kumpitisha kugombea urais.
je haooni kama alishakataliwa kuanzia miaka 10 iliyopita sasa amejiandaa kupunguza kura za upinzani.
 
Back
Top Bottom