Prof. Lipumba: Nitatumia hekima za Ndesamburo kuimarisha utalii...

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
M/kiti wa Chama Cha CUF Prof Lipumba amesema akiingia madarakani kuongoza Tanzania atamtumia kamanda Mzee Ndesamburo kuimairisha utalii kwenye nchi yetu, amezungumza hayo wakati akihutubia wananchi wachache kwenye mkutano wa hadhara mkoani Kagera leo jioni.

My take: Nashukuru sana Prof. Lipumba kufahamu uwezo wa Mzee Ndesamburo, ila inaonekana kasha jitangazia kuwa mwaka 2015 atagombea tena.
 
Huyu babu bado ana ndoto za kugombea na kuchaguliwa kuwa rais wa tz? awe mpole tu manake kikombe hiki kishampita!!!!
 
Mwambieni hizo mbinu za Ndesamburo makabrasha yake yapo kwj Dr. Slaa, hivyo amuunge mkono.
 
Lipumba hana jipya la kuleta na isitoshe hakuna mtu wa kumchagua mchovu kama huyu anayeendeshwa na Maalim Seif wakati ana elimu kuliko yeye. Hana tofauti na makapi ya kisiasa kama Mrema, Cheyo, Mbatia, Kabwe, Kaboro, Wassira na wengine wengi.
 
anakupiga fimbo za mgongo huyu.kuwa profesa hakumuondoi kuwa raia wa kawaida anaeweza kuongozwa.na baregu ampindue mbowe basi ambaye ni fom 6 failure
 
Mbona umejigonga na kukwepa hoja mwanangu? Tatizo lenu ni kutafuta visingizio na wa kulaumu karibu katika kila tatizo linalowakabili. Endelea na kujipa matumaini mwanangu. Lakini elewa umeishapotea na mawazo mgando.
 
kwenye mkutano alikuwa anahutubia watu 50 tu!

Kagera mbali, ilikuwa ngumu kuchukua makabwela Buguruni na kwenda nao kama ilivyotukia Arusha.

Angekuwanayo hiyo inayoitwa hekima, basi angeacha kugombea na kutoa nafasi kwa mtu mwingine ndani ya CUF. Makabwela wenzake wanaburuzwa buruzwa tu kuitikia SAWAAA kila Maalim anapohutubia lkn hawana wanachojua.
 
wivu na chuki
 
anajua akitaja chadema anawataja wakristo kwa hiyo anakuwa amepiga ndege wote kwa jiwe moja

Ndugu mdini, makabwela mngekuwa na akili angalau kidogo mngejiuliza maswali haya:
1. Ikiwa CUF inataka ridhaa ya wananchi kushika dola, inao watendaji wa kutosha?
2. Kama wapo, mbona hamna anayempokea Sultani Lipumba kazi hii ya kugalagazwa kila uchaguzi?
3. Ikiwa hamna mwingine zaidi yake, itakuwaje endapo Allah atamuita Jehannum?

Makabwela amkeni. Hawa wenzenu wanalamba ruzuku ilhali wanajua hawana ubavu wa kushinda. Mtaishia kuulizwa HAKIII? Nanyie kuitikia SAWAAA, huku haki ya kugombea Urais ikibakia kwa Sultani na Maalim peke yao.
 
wivu na chuki

Unatamani kuimba taarabu lkn maneno hayatoshi. Sasa wivu na chuki dhidi ya nani? Hebu funguka.

Kama una hoja ya kukataa niliyosema leta. That three words are shallow and pathetic.

WIVU kwa sultani au nani? Yaani nimuonee wivu anavyoshindwa kila uchaguzi? Hiyo ni sawa na kuniambia namuonea wivu mwenye majipu kwa kuwa anameza dawa
 
Nimesikitika sana na kumuonea huruma nilipoangalia idadi ya watu aliokuwa anahutubia.Ni kati ya watu 50 hadi 100.Na hapo ni katikati ya mji wa Bukoba.
 
Anazeeka vibaya kweli!
Ndesapesa mwenyewe hata ubunge wenyewe anastaafu, Lipumba amepoteza mvuto hana tena sifa!
 
Back
Top Bottom