Prof. Lipumba na Mtatiro tafuteni ukazi Z'bar uwaziri SMZ unalipa, CUF Bara siyo riziki tena

DT125

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
378
571
Kukataa kuhojiwa Hamad Rashid na Kamati ya Nidhamu ya CUF ni dalili za wazi kuwa CUF siyo riziki tena Bara. Kwani kuwepo kwa wajumbe wengi kutoka Bara katika maamuzi ya CUF kunaweza kukwamisha kufukuzwa HR kwa kura kutokutosha kumwengua, hii itatokana na wajumbe kutoka Bara kupiga kura za kuwakomoa wa visiwani kwa chuki ya kutonufaika na CUF kama walivyo wenzao wa visiwani. Watu wa Maalim Seif walioko mbali ni wakati wa kutafakari ili wauchukue ukazi wa Z'bar.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom