Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

Kama issue za ndoa yake haziko wazi mpaka sasa basi hata huo uraisi wake hautakuwa wazi kabisa.. Inabidi ajibu hii hoja ili kututoa mashaka anaotuomba kura. Maisha ya msingi ya mgombea yana matter sana kuona hata jinsi atakavyojali hata wananchi wake. Inachotakiwa ni kututoa tuu wasiwasi wa kutomwelewa kwa nini anaficha hizi issue. Otherwise naona ni bora kama alivyosema mmoja hapo juu tumfungie computer awe anatutazamia uchumi wetu akiwa ofisini kama mshauri inatosha.
 
profesor lipumba, hajiamini na hana msimamo, kamwe hawezi ingia humu jamvini na kujibu hoja zinazoyakabili maisha yake, anaeweza fanya hivyo wote tuna mjua ni Dr slaa tu.
 
sioni uhusiano wa maneno yangu na ulivyojibu?????kaka sijui dada umelewa pombe nini????:embarrassed::embarrassed:
Mimi nimelewa? na wewe umeelemewa? Nadhani wewe ndiye hukuona uhusiano wa niliyoandika na wewe uliyoandika. Pole maana umeelemewa!
 
Binafsi sioni kama wazo baya sana kwa kuwa MwnaJf mwenzetu anataka kujua wasifu wa kiongozi anayemu admire. husun nikilinganisha na michango ya baadhi ya Wanajf iaiyo na mshiko.

Nilikuwa pale mlimani miaka hiyo na wakati huo kweli alikuw bachelor lakini ni prof. Kilichotokea mi kwamba akiwa anataka kuvombea urais 1995 alikamata mama mmoja ili asionekane Rais mtarajiwa ni bachelor na ninadhani bado anaye. Baada ya pale sikujua kilichoendelea
 
mamkwe, usiongee kama vile umebanwa na haja kubwa, labda we ndio uwe first lady wake, unaijua jinsia yangu au unajiongelesha tu? Mi ni rijali nina familia yangu inayojulikana na sio huyo prof anae leta utata kuhusu marital status yake.
 
hivi professor Lipumba kabla hajaingia katika siasa miaka ya 1990, alishawahi kufanya kazi gani hapa nchini?ningependa pia kupata maoni kutoka kwa watu ambao walishawahi fanya nae kazi au ishi katika mazingira fulani. nnaendelea kumpima katika viawango ili nijue kati ya proffesor na Dr nani waukweli zaidi theni nijitolee kumpigania kwa nguvi zangu zote.

haya mnaomjua lipumba wekeni mambo hadharani, karibuni sana.

Kawadanganye matutusa wengine kama wewe!
 
thank mams, im gona do that right now, but what about the book? Do you have an idea on how i can get his books? If he has any?
 
profesor lipumba, hajiamini na hana msimamo, kamwe hawezi ingia humu jamvini na kujibu hoja zinazoyakabili maisha yake, anaeweza fanya hivyo wote tuna mjua ni Dr slaa tu.
ni bora kuwa bachelor kuliko kupora mke wa mtu ukaanza kuaibika bure,nahayo nimaisha yake binafci profesor lipumba,je mna uhakika gani kama hajaoa?au mnataka aje achumbie kwenu?
 
kwani ubaya gani tukijua marital status ya ndugu yako huyo muislam mwenzako profesor?kuhusu kuiba mke wa mtu na huyo regina x girl friend wake alimtoa kwa wa mtu au alimkuta bikra?
 
Kwa kumbukumbu zangu huyu jamaa anaye mke, tuliwahi kuishi naye apartments za nssf maeneo flani bongo, na ninafikiri mke wake ni mpare kama sikosei - ni miaka mingi iliyopita sasa sijui kama bado wanaishi pamoja au..
 
Prof. Lipumba ana mke na watoto. Mke wake anaitwa Georgina Mtenga anafanya kazi UNICEF hapa DAR. Ila alimuoa baada ya Georgina kutengana na mme wake wa kwanza (amezaa naye mtoto) anaitwa Kweka.

Ndio maana katika kampeni yake ya mwisho pale Jangwani Rais JK aliwakandia Pro. Lipumba na Dr. Slaa kwa kusema "Wengine walichukuwa wake za watu(Lipumba) na wengine wanachukua wake wa kuazima(Slaa)"
 
Lipumba ni msela tu...no doubt hizi zingine ni porojo tu!

prof. Lipumba ana mke na watoto. Mke wake anaitwa georgina mtenga anafanya kazi unicef hapa dar. Ila alimuoa baada ya georgina kutengana na mme wake wa kwanza (amezaa naye mtoto) anaitwa kweka. Ndio maana katika kampeni yake ya mwisho pale jangwani rais jk aliwakandia pro. Lipumba na dr. Slaa kwa kusema " wengine walichukuwa wake za watu( lipumba) na wengine wanachukua wake wa kuazima ( slaa)"
 
Hata Rais wa Botswana anafuta mke sasa, na Evo Morales wa Bolivia aliposhinda urais ndo alioa!.

Speaking of Botswana prezo he is still young and if am not mistaken he given the seat after the death of his father. The question is Lipumba ameoa hajaoa at his age
 
Usilete uchokozi,mi sichangiagi mambo ya mtu binafsi,ina maana kama hajaoa yeye ni yeye tu yuko singo ni mtu binafsi,lakini ungenambia ana kimada au mke wa mtu hapo ningechangia kwa sababu hapo anakuwa ametoka kwenye utu binafsi maana siyo singo tena
 
Je, kuoa au kuolewa ni hiari ya mtu au lazima? Kama ni hiari lipumba hana hatia na kama ni lazima ana kesi ya kujibu.
 
Back
Top Bottom