Prof. Lipumba na Bajeti ya 2011/2012

I just wish this Prof was alocated somewhere, where Tanzanians can benefit from his ideas
Huwa nasema mara kwa mara, Lipumba ni genius, na bahati nzuri anatupenda Watz kwa vitendo, kuacha kufaidi mapato ya elimu na ujuzi wake kutetea umma wa watanzania.

Prof ni mtu ambaye Tanzania tuna bahati ya kuwa nae.

Mwenyekiti wa CUF bw Lipumba ameichambua bajeti na kubainisha mapungufu kadhaa yakiwemo;

1. Matumizi ya kawaida ya serikali (trilioni 8) ni makubwa kuliko mapato ya ndani ya serikali (trilioni 6). Kwa maana hiyo serikali itakuwa inakopa fedha kugharamia matumizi ya kawaida
2. Bajeti haijaainisha mapato yatokanayo na sekta ya madini, ambapo kwa mujibu wa Bw. Lipumba, wakati mauzo ya madini nje ni zaidi ta trillion moja, mapato ya serikali katika sekta hiyo ni bilioni 40 tu
3. Bajeti imeshindwa kuonyesha utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliozinduliwa juzi na raisi. Kwa maana hiyo ama mpango huo ni usanii, au bajeti haitatekelezwa kama ilivyowasilishwa

Source; TBC1

Kama matumizi ya kawaida ni shillingi trillion 8 na mapato ya ndani ni trillion 6 maana yake kuna deficit ya tillion 2 ambazo ni lazima zitafutwe toka mahala!! Kuna options mbili aidha kupunguza matumizi yaendene na mapato au kukopa toka benki kitu ambacho kitaathiri private sector kupata mikopo na hivyo kudumaza ukuaji wa uchumi, na uchumi ukidumaa maana yake kukosekana kwa ajira kwa vijana/ mapato ya serikali kupungua hence more suffering to the populace!! Hii bajeti ni ya kisanii!!

Prof Lipumba ni Mchumi, tena mzuri tu, lakini tatizo lake kubwa ni kigeugeu na mnafiki, hupenda kujipendekeza na huwa hayupotayari kufanya kile ambacho wengi huwa tunatarajia akifanye, namkubali kwa taaluma yake lakini simkubali kama kiongozi makini.

Baada tu ya waziri Mkulo kumaliza kuwasilisha bajeti ya mwaka huu bungeni, mwandishi wa TBC1 akiwa anawahoji wadau nje ya bunge akakutana na Prof. Lipumba (Mchumi).

Mbali na kukosoa mambo kadhaa Lipumba kasema moja ya mapungufu ya bajeti hii ni kuwa tofauti na ile ambayo serilkali iliwasilisha IMF.

Hii mi sijaelewa inakuwaje. Ina maana huwa bajeti za nchi zote duniani huwa zinawasilishwa kwanza IMF kabla hazijasomwa katika mabunge ya nchi husika!!?

UPDATED (9th June 2011):

Mwenyekiti wa CUF bw Lipumba ameichambua bajeti na kubainisha mapungufu kadhaa yakiwemo;

[LIAirport toST=1]
[*]Matumizi ya kawaida ya serikali (trilioni 8) ni makubwa kuliko mapato ya ndani ya serikali (trilioni 6). Kwa maana hiyo serikali itakuwa inakopa fedha kugharamia matumizi ya kawaida
[*]Bajeti haijaainisha mapato yatokanayo na sekta ya madini, ambapo kwa mujibu wa Bw. Lipumba, wakati mauzo ya madini nje ni zaidi ta trillion moja, mapato ya serikali katika sekta hiyo ni bilioni 40 tu
[*]Bajeti imeshindwa kuonyesha utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliozinduliwa juzi na raisi. Kwa maana hiyo ama mpango huo ni usanii, au bajeti haitatekelezwa kama ilivyowasilishwa
[/LIST]

Hapo kwenye madini ndio pamenigusa sana,kama viongozi wetu hawatakuwa wawazi ktk mambo ya msingi Kama hayo na kuyafanya ni siri itakuwa ngumu kwa Tanzani kusonga mbele.

Kifupi hakuna jipya katika bajeti ya mwaka huu ukilinganisha na miaka yote tokea uhuru hususan vyanzo va mapato.

Kila siku wanabana Pombe, Sigara, na vinywaji baridi katika kupata mapato hakuna kufikiri zaidi ya hapo.

Poleni sana

I just wish this Prof was alocated somewhere, where Tanzanians can benefit from his ideas
Huwa nasema mara kwa mara, Lipumba ni genius, na bahati nzuri anatupenda Watz kwa vitendo, kuacha kufaidi mapato ya elimu na ujuzi wake kutetea umma wa watanzania.

Prof ni mtu ambaye Tanzania tuna bahati ya kuwa nae.

haika ongea taratibu
watu wa chadema hawataki kusikia hayo
wao wanataka mpaka mtu aje na orodha ya mafisadi ndo akubalike lol

bajet ni kimeo
cha ajabu ni waandishi wetu wa habari
na mwenyekiti wa chadema kuisifia hii bajeti
aibu sana

nilikua naangalia marudio ya bajeti tbc1 mara baada yakumalizwa kusomwa,waandish waliwahoji viongoz mbalimbali juu ya maoni yao, ndipo MBOWE ALIPOSEMA

" NIBAJETI ILIYOSIKILIZA MAONI YETU NA ITAKAYOMFAA MTANZANIA WAKAWAIDA,MARA AKATOKEA PROF NAKUSEMA BAJETI HAIELEWEKI MATUMIZI YAMEZIDI SHUGULI ZA MAENDELEO NA HAIJUMLISHIKI,NDIPO NIKAJIULIZA HV MBOWE ANAELIMU GANI MBONA CJAWAHI KUMUONA ATASIKUMOJA AKIFAFANUA MAMBO KISOMI???,KWELI SIKUHIZI VIJANA WANAWEZAKUMPENDA MTU ETI KISA MBISHI NA AKIONGEA ANAFOKA???????/ HIYO SIYO SIFA YA KIONZOZI[NYERERE]

Kwa elimu hauwezi kumlinganisha Lipumba na Mbowe coz lipumba ni Prof wa Uchumi aliyefanaya kazi nyingi za kimataifa. Labda unaweza ukawashindanisha kwa mengine lakini sio kwa elimu hasa ya masuala ya uchumi.

mzushi wewe , ulitaka Mbowe awe kama lipumba lipumba ni lipumba na mbowe ni Mbowe, Mbowe alisema bajeti ni nzuri japo, zirejee zile japo nakupa assignment, maana unaanza uzushi

ASANTE KUELEWA KUWA MBOWE KAIKUBALI BAJETI.

kwa elimu hata baba Na boss wako Jk,hamfikii Lipumba,kwa uongozi thabiti Mbowe kawazidi wote!

mbowe ana uwezo mkubwa wa kukosoa kinachotishia uwepo wake kitini na sio kwenye masuala ya msingi kama haya ya takwimu wewe, umekosea sana kumlinganisha lipumba na mbowe..........muulize amefanya tafiti ngapi hapa tz na amewakilisha paper ngapi wapi. acha kukurupuka kumlinganisha msomi na mwenye uwezo kama lipumba na watu wanaoenda kwa maandaamano eti kisa wananchi wameichoka ccm.

Unaona sasa na wewe ilivyo Dr sijui wa nini.......

Watanzania hawajaichoka CCM. Wananchi si kuwa wanaiamini Chadema.

Watanzania tunapigwa RUMBA mkuu wangu. Msoto wa Njaa, joto, usafiri na ukifika nyumbani GIZA, linakufanya ufikirie mara mbili.

Inapofika mtoto akiona Tanesco HQ anamwambia baba yake "Hapo ndipo wanakata umeme......" na wewe unasema Mbowe anawaambia watu waichoke CCM? Mbowe anachofanya ni KUWAFUNGUA tu macho na ukifika wakati wa kura, wachague chama wanachoona kitaondoa kero zao. Kama hao watu hizo kero hawazioni kama sisi wa Tabora, tutachagua tena CCM.
mbowe ana uwezo mkubwa wa kukosoa kinachotishia uwepo wake kitini na sio kwenye masuala ya msingi kama haya ya takwimu wewe, umekosea sana kumlinganisha lipumba na mbowe..........muulize amefanya tafiti ngapi hapa tz na amewakilisha paper ngapi wapi. acha kukurupuka kumlinganisha msomi na mwenye uwezo kama lipumba na watu wanaoenda kwa maandaamano eti kisa wananchi wameichoka ccm.

Kwa elimu hauwezi kumlinganisha Lipumba na Mbowe coz lipumba ni Prof wa Uchumi aliyefanaya kazi nyingi za kimataifa. Labda unaweza ukawashindanisha kwa mengine lakini sio kwa elimu hasa ya masuala ya uchumi.
Haswa mkuu Jaka
Watu wengine bwana!
Wanashindwa nini kukubali kuwa , kielimu na kiujuzi Prof Lipumba ni moto wa kuotea mbali.
Hebu ona huyu:
mzushi wewe , ulitaka Mbowe awe kama lipumba lipumba ni lipumba na mbowe ni Mbowe, Mbowe alisema bajeti ni nzuri japo, zirejee zile japo nakupa assignment, maana unaanza uzushi

Nina wasi wasi kuwa wala hakufikiri kabla ya kupost.

Nashukuru sana kwa kuendelea kutoa darasa kwa huyo jamaa, unajua watu wengine wanaleta hoja hata hazina mwelekeo, Mbowe ni kiongozi na Lipumba ni msomi wa ukweli sasa unataka kulinganisha msomi na kiongozi wa watu,
Kwa kipindi chote hicho lipumba ameshindwa kueleweka kwa wapiga kura kwa sababu tu yeye si kiongozi
CDM kikichukua nchi tunamkaribisha awe mshauri wa rais mambo ya uchumi, haya nenda kalale naona umejichokea na hoja zako za kufakufa

Kwanini Mbowe? Kwanini usimlinganishe Prof Lipumba na Mkullo? au na Mh. Pinda? au na hata Rais Kikwete aliyekuwa anatamba kuwa Tanzania ni moja ya nchi 20 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi?

Let me guess, ni kwa sababu Mbowe anawanyima usingizi awe bungeni, awe mtaani anakula chips, awe police central, awe Arusha mahamani. Mbowe kawaharibia sherehe. You just dont know how to fight this man do you?

mbowe ana uwezo mkubwa wa kukosoa kinachotishia uwepo wake kitini na sio kwenye masuala ya msingi kama haya ya takwimu wewe, umekosea sana kumlinganisha lipumba na mbowe..........muulize amefanya tafiti ngapi hapa tz na amewakilisha paper ngapi wapi. acha kukurupuka kumlinganisha msomi na mwenye uwezo kama lipumba na watu wanaoenda kwa maandaamano eti kisa wananchi wameichoka ccm.

Kweli wewe ni MKUKI. Usomi wa Lipumba umemsaidia vipi ikiwa yeye anajiona Mgombea bora hata awamu sita? Ana elimu ya darasani lakini si Elimu Dunia.
Mbowe ana vyote viwili, elimu ya darasani kidogo na elimu dunia kidogo, akichanganya hizi mbili anakuwa KIONGOZI bora, na ndiyo maana CDM inapaa.

mbowe ana uwezo mkubwa wa kukosoa kinachotishia uwepo wake kitini na sio kwenye masuala ya msingi kama haya ya takwimu wewe, umekosea sana kumlinganisha lipumba na mbowe..........muulize amefanya tafiti ngapi hapa tz na amewakilisha paper ngapi wapi. acha kukurupuka kumlinganisha msomi na mwenye uwezo kama lipumba na watu wanaoenda kwa maandaamano eti kisa wananchi wameichoka ccm.

Magamba ata WORK. Kwani Lipumba kafanya tafiti ngapi na ziko wapi? Je, kuna yoyote iliyokuletea maendeleo?

I just wish this Prof was alocated somewhere, where Tanzanians can benefit from his ideas
Huwa nasema mara kwa mara, Lipumba ni genius, na bahati nzuri anatupenda Watz kwa vitendo, kuacha kufaidi mapato ya elimu na ujuzi wake kutetea umma wa watanzania.

Prof ni mtu ambaye Tanzania tuna bahati ya kuwa nae.

Uko sahihi wengine wako Botswana, Afrika ya kusini wengine kwa sasa tupo Malawi. Ukishakuwa mtaalamu mzuri bongo unakuwa tishio kwa wneye kushika mpini kama wanavyosema wao. Prof is a genous kwenye field yake ila siasa inamshushia hadhi.

Back
Top Bottom