Prof Lipumba Mchakamchaka Mpaka Ikulu kama John Atta Mills, Ghana's president?

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,803
1,416
Nashindwa kumwelewa Prof Lipumba na harakati zake za kutaka ingia Ikulu. Zaidi ya Miaka 20 sasa bado hajakata tamaa na uchu wa Magogoni. Prof Lipumba nakubaliana na elimu yako katika taaluma ya Uchumi, lakini lazima ukubaline na mimi kuwa siasa siofani yako. Muungano wa CUF na CCM Zanzibar ni mfano tosha kutetea hoja yangu, pia jinsi mlivyotatua mgogoro na Ahmad Rashid. CUF kucheza nyimbo za CCM kukabiliana na CDM nayo ni hoja nyingine kukutoa katika ulingo wa siasa
Mh Lipumba! Jua karibu litazama kwa wewe kuzidi kukimbilia Ikulu, na Ukiingia ndio itakuwa kama John Atta Mills wa Ghana kabla mhula wako mmoja kuisha. Je CUF haina watu wengine zaidi yako Prof Lipumba na Seif Sharif ?
 
Lipumba anataka kwenda ikulu ipi wakati yuko ikulu chini ya ndoa ya CCM na CUF iliyofungwa kule Kiswandu? Inaonekana Lipumba anatafuta talaka na sijui kama maalim Seif atakubaliana na kasi hii ya kutaka kuachika. Yetu macho.
 
Chadema haina zaidi ya Padri Slaa mbona ni yeye tu mnayetaka agombee nyani haoni kundule move forward Prof wa ukweli.
 
Prof amechemsha alipo wakaribisha waislam peke yao kujiunga na cuf .je sisi wapagani na wakristo hatuna nafasi huko cuf?
 
Samahani wakuu, ebu nikumbusheni kidogo; labda bongo nimetoka siku nyingi. Eti "Lipumba" ni nani vile?
 
Nashindwa kumwelewa Prof Lipumba na harakati zake za kutaka ingia Ikulu. Zaidi ya Miaka 20 sasa bado hajakata tamaa na uchu wa Magogoni. Prof Lipumba nakubaliana na elimu yako katika taaluma ya Uchumi, lakini lazima ukubaline na mimi kuwa siasa siofani yako. Muungano wa CUF na CCM Zanzibar ni mfano tosha kutetea hoja yangu, pia jinsi mlivyotatua mgogoro na Ahmad Rashid. CUF kucheza nyimbo za CCM kukabiliana na CDM nayo ni hoja nyingine kukutoa katika ulingo wa siasa
Mh Lipumba! Jua karibu litazama kwa wewe kuzidi kukimbilia Ikulu, na Ukiingia ndio itakuwa kama John Atta Mills wa Ghana kabla mhula wako mmoja kuisha. Je CUF haina watu wengine zaidi yako Prof Lipumba na Seif Sharif ?

Chadema hakuna zaidi ya Mtei na Mkwewe?
 
Labda mtoa mada hamjui vyema Prof. Lipumba. Mie namchukulia kama kiongozi wa kuigwa, ni msomi aliyebobea.. Ni mchumi ajuacho ni nini wafanyiwe wanainchi BAHATI MBAYA HAJAPATA FURSA. Ni wasomi wachache sana wawezao kumix vyema Economics + Politics= Polical Economy na kuleta maana! Siasa ya Prof. Lipumba siku zote imekuwa ni ile ya kuelimisha na kuelekeza!
 
Mimi sina chama hili niliweke wazi mapema! Mkuu kwa jinsi ninavyofahamu CUF huwa nafasi ya mgombea inatangazwa na wanachama wanachukua fomu na mwisho hupigiwa kura,so kama Prof huwa anachaguliwa na wanachama wake agombee sioni tatizo lilipo maana wao wanamuamini. Mzee Wade wa Senegal aligombea mara 4 ndiyo akaingia Ikulu na hiyo ndiyo demokrasia.Kuna chama cha siasa hapa nchini wao huwa mgombea uraisi hachaguliwi kwa kufuata utaratibu huu wa CUF na sijui huwa wanatumia vigezo gani kuchagua mgombea ata the same time kinajinadi kufuata misingi ya Demokrasia.Mimi naona ya CUF waachiwe CUF na vivo hivyo kwa CDM na CCM.
 
Funguka zaidi, usituwache tunakisia tu.
 
Labda mtoa mada hamjui vyema Prof. Lipumba. Mie namchukulia kama kiongozi wa kuigwa, ni msomi aliyebobea.. Ni mchumi ajuacho ni nini wafanyiwe wanainchi BAHATI MBAYA HAJAPATA FURSA. Ni wasomi wachache sana wawezao kumix vyema Economics + Politics= Polical Economy na kuleta maana! Siasa ya Prof. Lipumba siku zote imekuwa ni ile ya kuelimisha na kuelekeza!

Alikuwa Mshauri wa Uchumi kipindi cha Mwinyi. Hakuna kipindi ambacho almanusra Serikali ifilisike zaidi ya kipindi hicho!
 
Nashindwa kumwelewa Prof Lipumba na harakati zake za kutaka ingia Ikulu. Zaidi ya Miaka 20 sasa bado hajakata tamaa na uchu wa Magogoni. Prof Lipumba nakubaliana na elimu yako katika taaluma ya Uchumi, lakini lazima ukubaline na mimi kuwa siasa siofani yako. Muungano wa CUF na CCM Zanzibar ni mfano tosha kutetea hoja yangu, pia jinsi mlivyotatua mgogoro na Ahmad Rashid. CUF kucheza nyimbo za CCM kukabiliana na CDM nayo ni hoja nyingine kukutoa katika ulingo wa siasa
Mh Lipumba! Jua karibu litazama kwa wewe kuzidi kukimbilia Ikulu, na Ukiingia ndio itakuwa kama John Atta Mills wa Ghana kabla mhula wako mmoja kuisha. Je CUF haina watu wengine zaidi yako Prof Lipumba na Seif Sharif ?

CUF siyo chana cha siasa, ni kampuni binafsi, shareholder Seif = 75% and Lipumba = 25%
 
Chadema haina zaidi ya Padri Slaa mbona ni yeye tu mnayetaka agombee nyani haoni kundule move forward Prof wa ukweli.

Slaa kagombea mara ngapi kaka? Sana sana atapewa tena mara moja 2015 baada ya hapo atapaswa kupisha wengine. Sasa, Lipumba tangu 1995 ni yeye tu! Ha ha ha ha ha!

Yaani aliamua hadi kusuka zengwe akamtimua profesa mwenzake ili awe "mfalme" wa kudumu ndani ya chama upande wa bara na maalimu kamtimua HR ili awe sultan upande wa Pemba. Hebu oneni hata haya.
 
Prof amechemsha alipo wakaribisha waislam peke yao kujiunga na cuf .je sisi wapagani na wakristo hatuna nafasi huko cuf?

Hata mimi imenishangaza mno. Kama kwenye mkutano rasmi kama ule wamethubutu kutangaza hadharani hivyo, lol! Itawagharimu maisha yao yote. Tunarudi pale pale, CUF ni chama chenye mtazamo wa KIDINI. PERIOD.
 
Chadema haina zaidi ya Padri Slaa mbona ni yeye tu mnayetaka agombee nyani haoni kundule move forward Prof wa ukweli.

umelewa udini mpaka unajikojolea na hata haja kubwa unaji..yea kwenye nguo UNATIA AIBU SIYO POMBE TU NDO UFANYE ULEWE HATA UDINI. ALIYE TUGAWANYA 2015 ANAFURAHI KWELI KUWAONA WATU KAMA NYINYI. FOOLS ALWAYS ARE OF THE SAME COLOUR.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom