Mimi ni mmoja wao nilienda kumpokea pale air port baada ya ku danganywa kwenye masjid moja pale buguruni kuwa ni mwenyekiti wa maproff 500 lakini jf ikanifungua macho sitaki hata kumsikia tena Pambaf
Bila Shaka hataacha kuwaambia jinsi ambavyo chama chake kinavyozidi kuimarika.
huyu ndio dira ya uchumi hivi sasa Duniani bila huyu Dunia inateketea kwa njaa haraka sana, ni juzi tu amerudi kurebisha mtikisiko wa uchumi Duniani, najua haya yanakuuma lakini mungu ndiye aliyempa uwezo, kama hutaki unanyukwa.
amealikwa katika mkutano utakaojadili, "machafuko yanayoendelea ktk nchi za kiarabu na athari zake katika nchi nyingine" bado anaendelea na hasa anaelezea hali ya uchumi wa Tanzania umaskini unao wakabili waTanzania. nitaendelea kuwajuvya kinachoendelea, watu ni wengi mno.
huyu ndio dira ya uchumi hivi sasa Duniani bila huyu Dunia inateketea kwa njaa haraka sana, ni juzi tu amerudi kurebisha mtikisiko wa uchumi Duniani, najua haya yanakuuma lakini mungu ndiye aliyempa uwezo, kama hutaki unanyukwa.
SUNRISE.Mimi nashangaa sana wakuu,kwan nini profesa Lipumba mtaalam wa uchumi dunian saiombe kktana na JK nakumpa mbinu za kulikomboa taifa na hal mbaya ya uchumi nchini..........