Prof Lipumba kunguruma kesho kibandamaiti Zanzibar.

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
katika kutuliza hali ya hewa iliyokuwa imechafuliwa na kibaraka wa ccm Hamad Rashid mbunge wa wawi kupitia cuf, kesho mwenyekiti wa cuf ambaye ni Mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani kesho atawahutubia wakazi wa zanzibar na viunga vyake na baada yake kufanya hivyo kesho kutwa pemba.
 
huyu prof Lipumba mimi namuaminia maprofessor wa kizungu wenyewe wamesurrender sembuse hawa maprofessor wetu vichwa vya kuku!
 
katika kutuliza hali ya hewa iliyokuwa imechafuliwa na kibaraka wa ccm Hamad Rashid mbunge wa wawi kupitia cuf, kesho mwenyekiti wa cuf ambaye ni Mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani kesho atawahutubia wakazi wa zanzibar na viunga vyake na baada yake kufanya hivyo kesho kutwa pemba.
Bora aende huko huko kwa wanywa kahawa na wala halua. Huku Bara hatutaki chama cha KIDINI. Aende huko kwenye vikofia vya ajabu ajabu. Bull sh..it
 
CHADEMA inalipa mishahara walinzi wa kanisa analosali Josephine!
 
jamani jaribuni kuchagua mambo yakuleta humu ndani,mtu anashabikia m.kiti wa chama taifa kwenda kuhutubia mkutano kibanda maiti,bila kujiuliza kwann chama anacho kiongoza hakishiriki uchaguzi arumelu????????????huko znz si wamo na serikalini?bara kuna nn?
 
Yakheeeeee...Sasa kibanda maiti tumeshapazoea yakheeee..hakuna jipyaa ... Wagonjwa wengine kukata roho kwao huja juu ghafla na kuacha wosia kabla ya kulala kabisa..So it seems na hawa kafu ndiyo hivyo tena Tulikipenda ila Mungu amekipenda zaidi...
 
jamani jaribuni kuchagua mambo yakuleta humu ndani,mtu anashabikia m.kiti wa chama taifa kwenda kuhutubia mkutano kibanda maiti,bila kujiuliza kwann chama anacho kiongoza hakishiriki uchaguzi arumelu????????????huko znz si wamo na serikalini?bara kuna nn?

Walitakiwa waweke mgombea arumeru hapo nawalaumu Mtatiro na Seif wamechemsha changamoto hazikimbiwi
 
jina la eneo wanapofanyia mkutano linafanana na hali ya hiki chama, ondoa neno "kibanda" linalofuatia ndo kafu.
 
katika kutuliza hali ya hewa iliyokuwa imechafuliwa na kibaraka wa ccm Hamad Rashid mbunge wa wawi kupitia cuf, kesho mwenyekiti wa cuf ambaye ni Mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani kesho atawahutubia wakazi wa zanzibar na viunga vyake na baada yake kufanya hivyo kesho kutwa pemba.

Duh.. Hapo kwenye red pamenichanganya kidogo.. Maalim Seif yuko serikalini.. inayoongozwa na ccm.. Sasa hapo Muzorewa ni nani..? (Kwa msioelewa Abel Muzorewa alikuwa kibaraka aliepewa urais Rhodesia)
 
Back
Top Bottom