Prof. Lipumba aula!!

watu wanalalama kaifanyia nini tz,hivi kama hamkupatia nafasi aonyeshe maujuzi yake mlitaka fayanyeje? mala mnamwita Prof uchwala,wenzetu wanaojua kumtumia wamempa nafasi,sisi tutabaki kuwamaliza wasomi wetu kwa mambo ya kisiasa,wakati wenzetu wanawatumia vyema

sijui kulikuwa na sababu gani kwa nchi hii kutomtumia Prof ktk maswala ya uchumi,hata kama tunautofauti wa kisiasa lakini ni mtu muhimu ktk mambo ya kiuchumi alitakiwa apewe nafasi ili aonyeshe uprof wake,lakini wabongo dharau kibaoooooooooo kumbe hatuna lolote
bibi hunieleza(kikuwapi cha kumpikia mgeni mwenyewe kulamba mwiko) akimaanisha tunakuwa na kazi ya kuwasomesha then tunaambulia patupu,wanaojua kuwatumia wanawatumia
 
Igwe, unajua kuwa concept ya management agencies ni brain child ya Prof Lipumba? Aliwaambia Mwinyi na Kigoma Malima (Malima akiwa waziri wa fedha nae akiwa mshauri wa uchumi) kuwa income tax department iwe independent wakamuona juha. Museveni alipomchukua at the same capacity na aka implement concept hiyo Uganda na performance ya URA ikawa bomba tukalazimishwa na world bank kufuata model hiyo hiyo!

Kubali usikubali, Prof ni kichwa japo si politician.

Mkuu tuweke mambo sawa: Uganda Revenue Authority iliperform vizuri kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Mtanganyika aitwaye BC Mwenda miaka ya 90 ambaye kabla ya hapo alikuwa Commissioner of Income Tax Tanzania. Rais wa Uganda hakusita kumsifu wazi wazi. Prof Lipumba huenda alishauri uanzishwaji wa URA lakini hakushiriki katika uendeshwaji wake.
 
kile kichwa,nenda udsm katazame historia yake mpaka sasa hajifutika au kwa vile ibra ingekuwa slaa ilikuwa chereko
 
Hayo yote ni maneno ya wivu, angekuwa mkristo mngemsifia, yaani nyie ni watu wa ajabu sana, na hata mchungaji wenu mkapa alimwita profesa uchwara leo kikowapi? Nasikia hata slaa udaktari wake ni wa kupiga kitu noah! Profesa atakuwa analipwa paundi laki na 80 elfu kwa wiki, kama milioni 700 kwa wiki, kuhusu suala la kuifanyia nini tanzania hata nyerere hakufanya lolote tz alipoteza muda wake kuwasaidia wakristo wenzake kule biafra nigeria, uganda msumbiji na south africa
 
Atakuwa analipwa paundi laki mbili na themanini elfu ( 280,000) kwa wiki.
 
Mkuu tuweke mambo sawa: Uganda Revenue Authority iliperform vizuri kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Mtanganyika aitwaye BC Mwenda miaka ya 90 ambaye kabla ya hapo alikuwa Commissioner of Income Tax Tanzania. Rais wa Uganda hakusita kumsifu wazi wazi. Prof Lipumba huenda alishauri uanzishwaji wa URA lakini hakushiriki katika uendeshwaji wake.

Mkuu, soma vizuri nilichoandika. Hakuna mahali niliposema Prof alishiriki kuanzisha URA, nilichoandika ni kuwa concept ya kuzifanya government departments kuwa management agencies (kama URA, TRA, KRA, TANROADS n.k) ni brain child yake.

Got it now?
 
Back
Top Bottom